Search results

 1. E

  Simba SC is somethingwrong somewhere

  Haya tena wana Simba tumepigwa na kibonde Ruvu shooting,safari hii nyumbani kwenye kiwanja kizuri kabisa. Nasema there is something wrong somewhere siyo bure, timu inayohudumiwa vizuri haiwezi kubali matokeo kama haya mfurulizo, sasa wanaSimba tuzame kwenye mahesabu ili tuibue hizi wrong...
 2. E

  Mungu kanituma nimpe ujumbe huu Askofu Gwajima

  Mliopo karibu na Askofu Gwajima mwambieni asome hapa ujumbe kutoka kwa Mungu aliye hai. Askofu mkuu huyo wa kanisa la "Ufunuo na uzima" kaamua kuchanganya dini na siasa, vitu hivyo kwa mjibu wa Mungu mwenyewe huwa havichanganyiki. Mfano kidogo tu angalia majukumu ya Chama cha Msalaba mwekundu...
 3. E

  Kama hujasoma vitabu hivi basi wewe umekosa utamu wa kusoma vitabu

  Katika nyumba vitu vinavyoibiwa sana na watu wako wa karibu kabisa ni vitabu, kama una shelf ya vitabu kaa mwaka mwaka mmoja halafu ukaikague shelf yako lazima utakuta robo tatu ya vitabu vyako vimeibiwa. sababu kubwa ya wizi huo ni raha iliyomo katika hivyo vitabu. Kwa masikitiko makubwa...
 4. E

  Uchaguzi 2020 Ummy Fussi wapiga kura wa jimbo la Mpwapwa tuna imani kubwa kwako usituangushe.

  Sisi wananchi wa jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tuna imani kubwa na wewe Mhe. Ummy Fussi kwani tunategemea utampokea kijiti cha uongozi wa uwakilishi Mhe. George Malima Lubeleje ambaye amefanya kazi kubwa sana ya kutuwakilisha kwa zaidi ya miaka 30 lakini sasa utu uzima umemfika. Mhe mtalajiwa...
 5. E

  Kamati ya siasa Wilaya ya Mpwapwa (CCM ) fanyeni kazi zenu za Kikamati ya siasa

  Hivi ni kamati hii ya siasa ya wilaya ya Mpwapwa (CCM )au ni ya wakati wa uchaguzi uliopita ndiyo iliyofanya Madudu? Hebu kwa weledi kabisa niambieni! Imekuwaje jimbo la uchaguzi la Mpwapwa lina madiwani hawazidi wanne? Kwa weledi kabisa hebu kamati ya siasa niambieni kwa nini halmashauri ya...
 6. E

  Uchaguzi 2020 Ubunge jimbo la Mpwapwa 2020-25 twende na JUNE FUSSI tu

  Jimbo la uchaguzi la Mpwapwa tunatia aibu, Tangu lianzishwe tulibahatisha kupata mbunge mmoja tu Ali Mtaki, baada ya hapo tunapiga washout tu mala zote, mbaya kuliko zote ni kumweka siku nyingi mbunge wa sasa Lubeleje. Mbunge huyu Lubeleje hajui kabasa job description za mbunge yeye hufikiri...
 7. E

  Hili ni suala la ajabu lilowahi kutokea Tanzania miaka ya 70

  Watu siku za hivi karibuni wamekuwa wakistaajabu na mambo ya watu kutoweka au kutekwa na watu wasiojulikana, hebu someni kisa hiki kilichotokea mnamo mwaka 1977 huko mjini Dar-as-salaam. Anaitwa NEMAN CHILOMO. jinsia ni mwanaume wakati huo akiwa na umri wa miaka 24. Alizaliwa kijiji cha Kigwe...
 8. E

  Mh LEMA na HALIMA MDEE wabunge wa Arusha na Kawe kama mashahidi wa Uganda

  Wamekubali kutumikia adhabu yao ya kutohudhuria vikao vya bunge kadhaa na ili hali adhabu kama hiyo japo kuwa tofauti kidogo ingemkumba CAG, nawalinganisha na mashahidi wa Uganda ambao walikubali kwa hiyari kabisa kuchomwa moto na Kabaka Mwanga kwa sababu ya kukataa kuikana dini ya kikristo...
 9. E

  TFF wana cha kujifunza kuhusu DAB

  Awali nilisema hivi:- Kwa kumtuma huyo Bashite eti sijui akafanye nini huko Misri kwenye mashindano ya AFCON ndo karoga timu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyo Bashite ndiye anayeenda kuitia timu uvivu mwili mzima na kale kanguvu ka kupambana na Kenya kataisha. Jiwe ni scintist phylosopher...
 10. E

  Sasa jiwe ndiyo kailoga timu ya taifa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

  Kwa kumtuma huyo Bashite eti sijui akafanye nini huko Misri kwenye mashindano ya AFCON ndo karoga timu kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, huyo Bashite ndiye anayeenda kuitia timu uvivu mwili mzima na kale kanguvu ka kupambana na Kenya kataisha. Jiwe ni scintist phylosopher anashindwa kuelewa kwaamba...
 11. E

  TP MAZEMBE ndiyo timu itakayoidhihirishia timu ya SIMBA kwamba haikustaili kabisa kufika hapo ilipofika.

  Baado ya droo kupangwa jana na timu ya Simba kupangwa na timu ya TP Mazembe ya mjini Lubumbashi mimi mtoa mada nesikia mashabiki wa Simba wakiinadi timu hiyo ya DRC kama ni timu nyepesi eti watatoboa na kutinga nusu fainali, kwa maneno mengine teyari wameisha ifunga TP Mazembe. Mimi mtazamo...
 12. E

  Naomba kuweka mambo sawa: Mwl Nyerere bado hajatangazwa kuwa ni mwenye heri (blessed)

  Wana bodi na wakatolili wote pia waumini wote wa kanisa katoliki la Roma, maumini mwenzetu Julius Nyerere bado hajatangazwa ni mwenye heri, tuwasaidie wenzetu upande wa pili utaratibu wa mtu kutangazwa ni mwenye heri na hatimae mtakatifu. Kinachoendelea ni mchakato ambao ulianzwa na askofu...
 13. E

  Mchungaji Erasto, stori za Lissu na Yuda Eskariote hazifanani hata kidogo

  Kuna badiko sehemu nimeliona la mchungaji Erasto akielezea kitu kuhusu Tundu Lissu, ameenda mbali zaidi na kumfananisha na Yuda Eskariote mtume na mfuasi wa Yesu. Rejea: Mchungaji Erasto: Upinzani siyo dhambi ila ukikomaa huzaa usaliti. Amfananisha Lissu na Yuda Iskarioti - JamiiForums...
 14. E

  Wallece Karia nyumba yako ni ya vioo usitupie watu mawe.

  Tumekusia juzi kwenye mkutano maneno uliyosema kuhusu ndugu yetu aliyeumizwa na risasi 32. Ila nakukumbusha yaliyomkuta mwenzio Alhaji Omary Juma wa Yanga . Una nyumba ya vioo halafu unaanza kutupia wapita njia mawe Wallece Karia kiti kitakuwa kichungu hicho!!!!
 15. E

  Ndege kukosa mawasiliano toka angani kuna athari gani?

  Wadau mala kwa mala utasikia ndage ilipoteza mawasiliano toka angani baadae ikaanguka baada ya robo saa kama ile ndege ya misri ilitangulia kukosa mawasiliano baadae tukasikia imeanguka. Nauliza ndege kukosa mawasiliano maana yake nini? Kwani rubani hawezi kuendesha ndege bila kuwasiliana na...
 16. E

  Hii ni kwa wapenzi wa MAN-U tu

  Kadi nyekundu ya Eric Bailly jana, kadi hiyo imemupa tano beki huyo raia wa Senegal. Baada ya Maurinio kufurushwa sasa lazima kuweka nidhamu kwenye defence. Eric Bailly alitoa onyo kali kwa maforward wote atakaopamabana nao kwamba ni lazima waelewe wazi yeye ndiyo anachukua mkoba wa timu hivyo...
 17. E

  Waliosema Mh. Lowassa ni mgonjwa nusu yao wameshakufa

  Walisema Lowassa ni mgojwa muda wowote atakuwa RIP na wengine kudiriki kusema hatuwezi kupeleka maiti Ikulu. Cha ajabu zaidi ya nusu ya waliokuwa mstari wa mbele kutamka meno ya mgonjwa nao wafahamu mimi nusu yao wameisha kufa, na mwingine namfahamu ni mgojwa anaumwa miguu anashindwa hadi...
 18. E

  Mchakato wa Mwl Nyerere kupata daraja la Uenyeheri na hatimae kuwa mtakatifu-KINACHOENDA mpaka hivi sasa.

  Wajameni mpaka sasa mchakato huo upo (a track to senthood), kama mtakavyokumbuka mchakato huu ulianzia kwenye jimbo kuu la Msoma chini ya Mhashamu Justini baba askofu Samba ambaye ni marehemu miaka kadhaa huko nyuma. Ingekuwa madaraja hayo mawili yanatolewa na vikao vya CCM Mwl Nyerere...
 19. E

  Kwa yoyote anayehusika- vita na mashoga ni kushindwa tu kabla hata haijaanza.

  Tuseme labda ni kutafuta umaarufu nchini au ulevi tu wa madaraka ndo unapelekea mtu kudhalilisha watu wengine kwa kukurupukia mambo tofauti tofauti kila kukicha. Vita ya mashoga mtu aliyoianza ni ameshindwa kabla ya vita yenyewe hata haijaanza au labda imeanza, mwisho wa siku atawadhalilisha...
 20. E

  Yuko wapi Aliakim Simpasa?

  Yuko wapi Aliakim Simpasa mbunge mmoja wa kanda ya kusini,alikuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge fulani alikuwa ana makeke sana hasa hasa wapinzani walikuwa wanamtambua alikuwa hachelewi kumsimamisha mbunge wa upinzani kuhudhuria vikao vya bunge kwa muda fulani, kwa kweli alikuwa anayatumia sana...
Top Bottom