Search results

 1. M

  Taarifa ya CHADEMA kwa wahanga wa HESLB, mnataka mpewe nini tena?!

  Makato ya HESLB kutoka 3% hadi 15% , na 6% ya rentetion ya Kila mwaka ya deni ni mwiba kwa wanufaika wa mkopo. Nawachukia wote kutoka moyoni waliohusika kuandaa na kupitisha sheria hii kandamizi na ya kinyonyaji
 2. M

  CCM imefisadi mpaka Magari ya Serikali. Mkurugenzi wa uchaguzi imebidi afanye kazi kwa bodaboda

  Mnh! Sasa ndio nimejua uelewa wako nilikuwa nafuatilia hoja zako unazotumia kupangua hoja za wapinzani, naona unapwaya.
 3. M

  Kilimo kwa njia ya mtandao

  Njia hiyo haijawahi kufanikiwa mkuu, kuwa makini wengi ni matapeli, ni walewale akina Mr. Kuku farm tofauti ni version tu,
 4. M

  Ninahisi nimebugi, nataka tuandikishiane nimpe milioni 5 ya msingi. Anipe mwanangu atakapofikisha umri

  Changamoto ninayoiona kwako, ni kukosa msimamo binafsi, unajua unataka nini ila hauko tayari kumwambia mwenza wako unachokitaka. Matokeo yake mke ndiye anayekupangia cha kufanya. Nilichogundua kuna mambo mawili hayakufurahishi 1. Kumlipia ada mtoto wa mme mwenzio , hili wanaweza wachache...
 5. M

  Mzaliwa wa kwanza

  Mtafute mtu wa kumlaumu mkuu ili uwe na amani.
 6. M

  Majukumu ya familia

  Ni kweli uyasemayo, wengi hatuna uhuru wa kiuchumi kwa hiyo tunajitahidi angalau kujenga mazingira mazuri ya usimamizi wa fedha kwa kadiri baba wa familia anavyoona inafaa, wengi wetu wanaume ndio wamekuwa wasimamizi wa fedha na mwanamke anapohitaji fedha basi atapewa kadiri ya mahitaji yake au...
 7. M

  Bodi ya Mikopo ongezeni tozo walau ifike 20%

  Ni chuki tu imekujaa , na unaelekea kuwa mchawi usipobadilika
 8. M

  MPESA: Kutoa Tsh. 10, 000 wanakata Tsh. 1,500

  Ni makubwa sana, siku hizi palipo na uwezekano natumia benki, huduma za mobile money ni ghali sana siku hiz
 9. M

  Jinsi watu wanavyolizwa na Tigo Niwezeshe

  Kumbe ndio maana wanapenda kuwakopesha watu bila wao kuhitaji kukopa, jana nimekaa nashangaa meseji imeingia kwamba nimekopeshwa kifurushi cha dk za mitandao yote, nikabaki najiuliza nimekopa saa ngapi,kumbe wanaiba hivi, laini yao imebaki ya kupokelea simu na sms napo sio sana, ninampango...
 10. M

  Sema ukweli wako, ukiona Tsh. 50 mbele yako unaiokota au utaipita kama hujaiona?

  Vitu anavyoweza kununua sh 50 kama yenyewe ni vichache sana.
 11. M

  Naombeni ushauri kuhusu mahusiano haya ya mama yangu na huyu mwanaume

  Kila mwanamke anahitaji na anahaki ya kuwa na mwanaume kwa mtazamo wangu, kuwa na mwanaume sioni kama ni tatizo, tatizo inategemea jinsi anavyobehave kwenu. Ushauri wangu, watumieni wajomba au watu wake wa karibu wamshauri ajirekebishe kama anamissbehave, pole sana mkuu nafahamu unavyoumia na...
 12. M

  Kuoa mama wa nyumbani nako kuna adha yake

  Unataka amuombe nani mkuu, hilo ni jukumu lako
 13. M

  Dah! Narudi home nakuta vibaka washafanya yao

  Pole sana mkuu, tafuta nyumba yenye usalama
 14. M

  Ushauri: Shughuli za kijamii zianze kurudi tatatibu kuanzia Mei 20 hadi Juni 15

  Bia yetu, Naona unabet maisha wewe, kuna watu wanaakili ndogo hadi unashangaa
Top Bottom