Search results

 1. M

  MASHINE YA KUKAMULIA JUICE YA MUWA YA MOTOR YA UMEME AU YA INGINE YA MAFUTA

  Habari wadau!? Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza hapo juu. Natafuta Mashine ya kukamulia Juice iwe ya motor ya Umeme au ya ingine ya Mafuta Iwe mpya au Used ila tu iwe kwenye hali nzuri katika kufanya kazi Natanguliza shukrani na karibuni tufanye biashara
 2. M

  Msaada wa kuondoa parse error wakati wa ku-instal "Apps" kwenye tablet ya huawei

  Habari za jumapili wadau!? Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza naomba msaada wenu ili niweze kuondoa hilo tatizo la PARSE ERROR ili nifanikiwe ku -install Apps mbali mbali Kama vile Mobdro, UKTVNOW etc. Aina ya Tablet ni :HUAWEI Model number: MEDIA PAD 10 FHD Android Version : 4.04...
 3. M

  Sasa ni wazi Fatma Karume kuangukia pua kwenye kesi ya madai ya bilioni moja

  _Fatma Karume vs Eugene_ KUSHINDWA KWA HII KESI. *Eti one billion Mahakama sio uchochoro wa kujipatia pesa* Askari yeyote anachukuliwa hatua kwa namna tatu.(1) Malalamiko ya ndani(2) Mashtaka ya jinai (3) Shauri la madai. Karume amechukua la tatu, shauri la madai. 1.MALALAMIKO YA NDANI...
 4. M

  Sheikh Ponda, Chagua kimoja kati ya siasa na Dini

  Habari wanajamvi? Heri ya siku ya kuzaliwa kwa bwana mtume Muhammad (S.a.W) (Happy Maulidi Day) Salam hizi zikufikie ndugu yangu katika imani ndugu Shehk Haji Issa Ponda. Nakuomba sana kwa sasa ni vema ukajibainisha kama unachokipigania ni dini ama siasa ili usije ukayumbisha kondoo wako...
 5. M

  Si huwa mnasema wanasheria wa serikali ni wachovu, mbona bado mnahenya kwenye kesi ya Lema?

  Kwa mda mrefu kumekuwa na dharau na kejeli zisizo mithilika kwa wanasheria wa serikali kuhusu uwezo wao. Kwa upande mwingine kumekuwa zikitolewa sifa zilizopitiliza kwa mawakili na hasa hawa mawakili wa CHADEMA kama wao ni wajuvi sana wa maswala ya sheria Sasa kwenye hili sakata la Lema...
 6. M

  Kabla hujafanya New year Resolution mdau pitia hapa, hautajuta

  *UKIFA MASKINI HILO NI #KOSA LAKO.* Je umeshaandika #malengo yako ya 2017 tayari? Au unasubiri tu kusema "HAPPY NEW YEAR"?? Kuishi bila malengo ni sawa na kutembea gizani unakuwa unabahatisha tu. Watu waliofanikiwa huwa na malengo ya miaka hata #mitano mbele na zaidi. Wasiofanikiwa hata...
 7. M

  Ben saanane Umeshindwa kutumia ushawishi wako kumaliza ukatili kwa kina mama na watoto Rombo?

  Habari wadau? Bila kupoteza mda nijielekeze kwenye mada. Leo nimeona nimuulize swali Ndugu yangu Ben saanane ambaye kiasili ni mkazi wa Rombo. Wakazi wa wilaya ya Rombo pamoja na changamoto na matizo mtambuka yanayowakabili yaani kama vile umasikini wa kipato,Afya Elimu na mengineyo, ambayo...
 8. M

  Kituko cha LEMA na Mwitikio hasi kutoka kwa Jamii ni Fundisho kwa wanasiasa Uchwara.

  habari wadau! Wala nisiwachoshe acha niende kwenye mada moja kwa moja. Wote mnakumbuka kituko alichokifanya Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Godbless Lema. Akihutubia mkutano wake wa hadhara katika kata ya sombetini pamoja na vituko vingine,.Ndugu lema alitoa kauli kwa Rais ambayo sidhani kama...
 9. M

  BAVICHA kuipa Serikali "Ultimatum": Mamlaka hayo wanayatolea wapi?

  Habari wakuu, Moja kwa moja niende kwenye mada. Jana October 19,2016 Balaza la Vijana la chama cha CHADEMA(BAVICHA) wametoa tamko kupitia Mwenyekiti wake Bw. Patrobas katambi dhima kuu la tamko lao ni kuitaka Serikali itoe tamko juu ya kizungumkuti cha mikopo kwa wanafunzi wanaotarajiwa...
 10. M

  Kwa hili ACT Wazalendo wanafaulu, ni mkakati mzuri kurudi kwenye Media spotlights

  Habari wakuu! Poleni na majukumu ya kila siku yakuhakikisha watoto wetu wanapishana kwenda njia ya chooni. Nirudi kwenye mada; Mtakumbuka tangu CHADEMA kutangaza vuguvugu la UKUTA chama cha ACT wazalendo kimepotea kabisa kwenye media,ndio kusema hawana ajenda (iwe mbaya au nzuri) ya kuvivutia...
 11. M

  Huu ndio unafiki wa Julius Mtatiro na UKAWA

  Kaimu Mkt CUF Taifa, Katibu Mkuu, NKM (B),Mhe. Juma Duni! YAH: SIKU MOJA YA MAAMUZI. Kwa hesabu za haraka chama chetu kina siku ya leo tu kujihakikishia usalama Tanzania Bara au kujimaliza kimyakimya.Taarifa za uhakika kutoka kwa mmoja wa viongozi wa juu wa CHADEMA ni kwamba wenzetu...
 12. M

  CUF: Rais Magufuli aache kutumia mamlaka yake vibaya aheshimu misingi ya haki, demokrasia

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Imetolewa leo Tarehe 4/9/2016 MWENYEKITI WA CCM, RAIS JOHN MAGUFULI AACHE KUTUMIA MAMLAKA YAKE VIBAYA AHESHIMU MISINGI YA HAKI, DEMOKRASIA, KATIBA NA SHERIA ZA NCHI YETU Waheshimiwa wanahabari, Awali napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru kwa kuitikia wito...
 13. M

  Kumbe gazeti la Tanzania Daima ni la Mbowe na si CHADEMA

  Habari wanajamvi? Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, siku zote tumeaminishwa kuwa umiliki wa gazeti la Tanzania Daima ni la CHADEMA kwani hata pesa iliyotumika kulianzisha gazeti hilo ilitoka kwa chama rafiki cha Conservative cha nchini Ujerumani. Sasa leo kwenye hili sakata la NHC...
 14. M

  Ufanano kati ya S. Jecha na J. Mtatiro

  Habari wanajamvi? Kama kichwa cha nyuzi kinavyojieleza hapo, Hawa watu wawili yaani S.Jecha na J.Mtatiro Licha ya utofauti wa kibiolojia ya Ubinadamu wao na kazi zao wanazozifanya, Hawa wawili wana ufanano unaokaribiana sana Ndio kusema kihurka, hawa watu wawili unaweza sema ni watoto wa baba...
 15. M

  Tahadhari kwa wanaume wa Dar wanaohamia Dodoma

  Habari wadau, wala nisiwachoshe rejeeni kichwa habari hapo juu, nawatahadharisha zile Tabia zenu za kibwege bwege sijui kula bata, Misemo yenu ya kike kike cjui vepee cjui ni shidaaaaa, Mambo yenu ya ushirikina na utapeli na wizi wa vifaa vyetu vya magari, Sijui tabia zenu za kufanya birthday...
 16. M

  Msaada wa haraka tafadhali: Wapi naweza pata leseni ya kuanzisha kiwanda?

  Wakuu wanajamvi, heshima nyingi kwenu. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, Ninashida ya kupata leseni ya kuanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza chakula cha kuku na machinjio yake (Poultry Abattoir). Kwa yeyote anayefahamu. Naomba maelezo ya mchakato na mahali pakuipata leseni hiyo. Karibuni.
 17. M

  Mungu hatunzi zawadi ya maisha marefu kwa wanafiki, kalazwe unakostahili

  Habarini,wadau, Poleni na majukumu ya kila siku ya kujitafutia riziki na nimatumaini yangu kadiri jua linavyozama basi tumepata angalau kidogo cha kurudisha nyumbani kwa ajili ya wapendwa na familia zetu. Utangulizi: Natambua uwepo wa nyuzi mbali mbali hapa jukwaani tena zikiwa na maudhui...
 18. M

  Nyumba inauzwa Mbezi Mpakani (48*75)

  Habari! Wadau nyumba iliyo kwenye uwanja wenye ukubwa wa eneo zaidi ya 48*75 iliyoko Mbezi mpakani inauzwa kwa 18 millions (negotiable) Hali ya nyumba: IMEISHIA KWENYE USAWA WA RINTER >Inavyumba vinne kimoja kikiwa ni master room >Vyumba viwili vya choo vya ndani > sitting room + Dining room...
 19. M

  Kiwanja kinauzwa G/Mboto(15m*20m)

  Habari wadau, kama kichwa hapo juu kinavyojieleza, Kuna kiwanja chenye ukubwa tajwa hapo juu (ie 15*20) kinauzwa maeneo ya gongo la mboto(Majohe karibu na soko al maarufu kwa mpemba). Kiwanja kinauzwa kwa sh 5,000,000 (Negotiable). Kwa mwenye uhitaji ani PM namba yake tufanye mawasiliano.
 20. M

  Kiwanja kinauzwa,Mbezi Mwisho(57*78)M

  Habari wadau; Kiwanja chenye ukubwa wa eneo tajwa hapo juu kinachopatika Mbezi mwisho kinauzwa. Bei ya mauzo ni Sh 4,500,000 (Negotiable) mazungumzo yanaruhusiwa. Kwa yeyote mwenye uhitaji ani PM namba yake.
Top Bottom