Search results

 1. Z

  1st, First lady

  Mama Maria Nyerere akiwa kamanda wa mgambo
 2. Z

  Mange Kimambi amshitaki Wakili Magai wa IMMMA Advocates kwa shambulio

  A Dar es Salaam businesswoman, Ms Mange Kinambi, has sued Mr Sadock Dotto Magai, an advocate from IMMA Advocates Company, claiming over 150m/- for tortuous assault at the Kilimanjaro Kempinski Hotel last Sunday. Through Tenga and Partners Advocates, the city businesswoman filed the suit at...
 3. Z

  John Nolan amefariki

  John Nolan amefariki jana katika hospitali ya Aag Khan.Wengi watamkumbuka marehemu kwenye ule mradi mkubwa wa prawns,na pia ile kesi ya Valambhia ya kudai serikali billions of shillings kwa ku supply malori ya jeshi zamani
 4. Z

  Miriam Makeba has died

  South African singer Miriam Makeba has died aged 76 after being taken ill following a concert near the southern Italian town of Caserta, Ansa news agency reported on Monday. Makeba was the legendary voice of the African continent, who became a symbol of the fight against apartheid in her home...
 5. Z

  Soma hii SMS

  Below is an sms ambayo inasambazwa kwa wabunge wa CCM.Nimeipata kutoka kwa Mbunge ambaye ofcoz siwezi kumtaja hapa.Mkakati wa kwanza ni kumng'oa Makamba thru vote of no confidence... "WAHESHIMIWA WABUNGE,BAADA YA KUMTOSA UKATIBU MKUU MAKAMBA TUINUSURU NCHI YETU KWA KUMTOSA JK.MAMLAKA YA...
 6. Z

  Matani ya Wakenya

  Matani ya Wakenya ...... 1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha zinakuwa tinted! 2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati ‘THU' hii hao (HOUSE) ni noma. 3. Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full. 4. Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu...
 7. Z

  Waziri atumia madaraka vibaya kumlinda mtoto wa kigogo

  *Ashirikiana na mtoto wa kigogo kuvunja sheria za Uhamiaji *Ala njama kuwakamatisha kwa rushwa maofisa Uhamiaji, afeli Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Wizara nyeti katika Serikali ya Awamu ya Nne anadaiwa kutumia madaraka yake kutoa amri zisizo halali kwa kumlinda mtoto wa kigogo na...
 8. Z

  Ditto Mwenyekiti mpya Bodi ya Korosho?

  Kuna tetesi kuwa JK amemteua Ditopile kuwa Mwenyekiti mpya wa bodi ya korosho.
 9. Z

  Mdogo wake Mwalimu Nyerere afariki

  Mdogo wake Mwalimu Nyerere,Josephat Kiboko Nyerere amefariki leo huko kwao Butiama.Huyu alikuwa ni last surving child kutoka kwenye tumbo la mama yao. Mungu ailaze pahala pema peponi roho ya marehemu.
 10. Z

  Gray Mgonja kuwa Governer?

  Kuna habari kuwa Gray Mgonja anakwenda kuwa Gavana wa BOT na Dr Dau anakwenda kuwa DG wa TRA....Mgonja kwa sasa ni Permanent Secretary Treasury na Dr Dau,(huyu ni mchezaji mpira wa zamani wa Yanga) yeye yuko NSSF. Bado nafuatilia hili suala kwa ukaribu sana,na habari zaidi ziko njiani
Top Bottom