Search results

 1. R.B

  Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

  Njia ya Maji. Port ya kisumu na nyamilembe Ni karibu sana
 2. R.B

  Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

  Hizi Ni roho mbaya. Za kiafrika km tulivyokuwa tunagoma kuendeleza Dodoma. Kwani wangeitumia isingekuwepo.
 3. R.B

  Chato inafaa kujengwa Ikulu kubwa baada ya Dar es Salaam

  Chato ni eneo zuri ki ulinzi kwa kiongozi ikibidi zaidi ya Dar es salaam na Dodoma 1. Kiusalama imezungukwa na ziwa Lina visiwa zaidi ya 60; Ni rahisi kuondoshwa kupitia njia ya Maji 2. Ulinzi : Kuna vikosi vikubwa vinne . Biharamulo,Ngara, Rwamishenye,Kaboya na Kwa Mbali Mwanza . Kiulinzi...
 4. R.B

  Mbuga ya Akagera Rwanda nao wapandikiza Faru watano baada ya Serikali kupandikiza Ukoo wa simba Burigi

  Five critically endangered eastern black rhinos have been flown from Europe to Akagera National Park in Rwanda. The rhinos come from the European Association of Zoos and Aquaria (EAZA) breeding program and will add vitally needed fresh genetics into Rwanda's fledgling population, made up of...
 5. R.B

  Rusumo, Ngara: Watu 8 wanashikkiliwa na Jeshi la Polisi wakituhumiwa kuiba mafuta baada ya lori la mafuta kuanguka

  Jana kuna picha wa wananchi wa wilaya Ngara wakichota mafuta baada ya gari la mafuta kuanguka. Mkuu wa mkoa amemuagiza kamanda wa polisi mkoa Kagera kuwakamata wote waliochota mafuta na kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria. *** Watu nane Wilayani Ngara wanashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za wizi...
 6. R.B

  Utaratibu mpya wa mabenki kukwanza mihamala- Sahihi lazima ifanane na ya Kitambulisho cha kura au uraia

  sijakupata Dola inachukuaje pesa za watu wake??????????????
 7. R.B

  Utaratibu mpya wa mabenki kukwanza mihamala- Sahihi lazima ifanane na ya Kitambulisho cha kura au uraia

  Benki kuu imetoa maelekezo kwa mabenki ; kuwa mtu asitoe wala kutuma pesa kama sahihi yake ya kutoa au kutuma pesa haifanani ya Kitambulisho cha KURA au URAIA. Baadhi wateja wamechindwa kufanya miamala benki za CRDB kwa sheria hiyo. Nilitegemea kwa maagizo hayo. 1.Mabenki yaitishe utiwaji wa...
 8. R.B

  Serikali ongeza , maoni haya ya wadau; mazungumzo mapya ujenzi wa Bagamoyo port

  Nimepata taarifa China wanataka mazungumzo na serikali kuhusu ujenzi wa Bandari Mpya ; Serikali waongeze masuala haya kwenye mazungumzo yao. 1.FEEDER SHIP- zisiruhusiwe ku berth bandari ya Bagamoyo. Hizi meli zipark bandari ya Dar es salaam, Tanga na Mtwara. Feeder ship maana yake- Meli kubwa...
 9. R.B

  Tetesi: Akagera National Park ya Rwanda inavyochukua wanyama wa pori ya Burigi na Kimisi na kuwafungia kwenye fensi

  TUNASHUKURU KWA MAAMUZI YA HARAKA NA MSINGI; VIVA JPM VIVA BUNGE LA JAMHURI NA KIGWANGWALA T
 10. R.B

  Serikali yatoa siku 4 kwa wafanyabiashara wa Korosho kusema tani wanazohitaji. Baada ya hapo hawataruhusiwa tena kununua

  USHAURI WA BURE; Biashara ni Network - Kumbuka hawa wanunuzi wana Network na wanunuzi; lazima serikali ijue root cause; JUA KULE NJE TUNAUZIA PRIVATE SECTOR , AMBAYO INA SIMAMIWA NA SERIKALI ZA HUKO; IKI GOMA PRVATE SECTOR;SERIKALI YA HUKO HAINA NGUVU. TUJUE WALE WANAYO STOCK YA MIAKA 5-10...
 11. R.B

  Mzee Mwinyi ulikuwa mtu mzuri lakini sio Rais mzuri

  ILIFIKIA NGUO TUNAFUATA zanzibar, frigi, tv
 12. R.B

  Watendaji wa serikali Bukoba(M) ni tatizo sugu

  MKUU WA MKOA TUTAWALETEA MHAYA; KAMA KILIMANJARO KWA ANNA NGWIRA ; KELELE ZITAISHA ZA UHAMIAJI, KAHAWA NA MIFUGO
 13. R.B

  Waziri Mkuu abadili gia Angani; afanya mkutano wa hadhara wilayani Biharamulo bila ratiba ya mkoa

  Mkoa na wananchi wa Mkoa Kagera wana Vilio vikubwa . ambavyo wanalia kama samaki Bharini. Moja wapo Mitandao ya Mkoa Kagera imepigwa Stop mwezi mmoja kabla ya ziara ya waziri Mkuu. Ikiwemo facebook, blogs zote zimebaki domant. na sababu kubwa ni matatizo na changa moto za mkoa Kagera. kwa mara...
 14. R.B

  RPC Olomi aliyesimamishwa kazi Kagera ni nani ?

  JPM alitoa Ruksa wakulima wauze kwa Waganda??
 15. R.B

  MARA: Mbunge wa Serengeti(CHADEMA), Mwl Marwa Ryoba Chacha ajivua uanachama na kujiunga CCM

  bajeti yake hipo; unataka ipigwe kama ESCROW. Ndo maana ya DEMOCRASIA
Top Bottom