Search results

 1. Emanueli misalaba

  Mfahamu Marehemu Dr Sebi

  Sky Eclat asante sana kwa post yako hii yenye faida ndani yake.
 2. Emanueli misalaba

  Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

  Pascal Mayalla huenda wewe ni afisa kipenyo, huwa unapenyezewa nyeti kutoka Makumbusho.
 3. Emanueli misalaba

  Uchaguzi 2020 Viapo vya mawakala

  Kama ni hivyo na vingingi hivyo kwamba vina ukweli ndani yake, daaaah najisikia kuvunjika moyo. Kwa ajili ya uchaguzi huru na wa haki tume huru ya uchaguzi inahitaji sana sana. 2021-2024 kiwe kipindi cha kupigania tume huru ya uchaguzi ipatikane.
 4. Emanueli misalaba

  Hospitali Kuu ya Rufaa Zanzibar Mnazi Mmoja shida iko wapi?

  Drone Camera ni Mnazi Moja Hospitali ndiyo hospitali kuu kwa Zanzibar kuliko zote.
 5. Emanueli misalaba

  Unafiki na ubinafsi wa Watunga sheria wetu Zanzibar, Wawakilishi kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar

  Wafanyakazi wa sekta binafsi upande wa Zanzibar, mioyo yetu inatuuma sana, kwa sababu ya Mfuko wa hifadhi ya zanzibar ZSSF, Mfuko huu namna ambavyo Wawakilishi wa wananchi na watunga sheria wetu walipitisha sheria kandamizi na za kiuonevu, mfuko hauna fao la kujitoa kwa mwanachama wa sekta...
 6. Emanueli misalaba

  Zanzibar 2020 Zanzibar ina wakazi laki 8, wabunge 75 wa nini?

  USSR takwimu za kwamba zanzibar ina wakaazi laki nane umezitoa wapi? Una uhakika zanzibar ina wakaazi hao? Je wewe ni Mzanzibari hata utake wabunge wawe idadi unayotaka? Pilipili usiyo ila inakuwashia nini? Zanzibar tumekubali kuungana nao na kutengeneza muungano wa nchi ya Tanzania wakiwa ni...
 7. Emanueli misalaba

  Uchaguzi 2020 Ikiwa uzinduzi wa kampeni za CHADEMA ulikuwa ule, basi muacheni Lowassa aitwe Lowassa

  Nimejaribu sana kuperuzi you tube nione sera za Mgombea wa Chandema Mh Tundu Lissu alizo toa kwenye uwanja wa Zakhiem Mbagala bila mafanikio, pia picha za mkutano hazikuwa clear, ukija kwenye sauti ya vyombo hazikuwa zimetulia, uchaguzi wa mwaka huu Chandema mmmmmmh.
 8. Emanueli misalaba

  Jenerali Ulimwengu afunguka kuhusu Rais Mkapa

  Umiliki wa makaa ya mawe Kiwira, kashfa ya ununuzi wa Radar, mtakula majani ila ndege ya rais itanunuliwa, NBC kubinafisishwa kwa bei ya kutupwa, mauaji zanzibar na Mwembechai .......
 9. Emanueli misalaba

  Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

  Kwani kwani nchi nyingi za Kiafrika Rais anatokana na Sanduku la kura au System ya nchi husika?
 10. Emanueli misalaba

  Kwa matokeo haya ya waliounga juhudi kuangukia pua, mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao?

  Mimi hisia zangu zinanituma hawa watu Jpm hatawaacha nje ya mfumo mwakani 2021 serikalini kuna vyeo vingi bila shaka atawashika mkono tena.
 11. Emanueli misalaba

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

  Sawa kiongozi nimekuelewa sana kwamba Mnyeti mtu wa familia ila Kitwanga kwa kuwa ni rafiki wa Jiwe na kwamba Ubunge ameukosa imani yangu ni kwamba baada ya uchaguzi wa 2020 atapewa uteuzi wowote ule hatamwacha hivi huvi
 12. Emanueli misalaba

  Wako wapi hawa miamba? Mbona hawajatia nia wala kuchukua fomu?

  Vipi wakuu spika Job Ndugai, Jenster Mhagama, Iddi Azan Zungu, Harmonizer (msanii) Dr Faustine Ndugulile wamechukua fomu, maana naishi porini sana habari nyingine zinanipita.
Top Bottom