Search results

 1. mbenge

  Spika Ndugai: Siyo lazima mbunge kuapa ndani ya bunge lililo muhimu ni mbunge kuapa mbele ya Spika!

  Nafikiri CDM inapaswa kukubaliana na mazingira ya kisiasa yaliyopo nchini kwa hivi sasa. Huwezi kumsusia nyani shamba la mahindi. Isipokuwa hata kama kuna misimamo tofauti juu ya ushiriki wa wabunge wa viti maalum bungeni, inawapasa kutafuta mazingira mazuri ya kuweka wazi kwa umma juu ya...
 2. mbenge

  Waziri Mkuu Majaliwa: Wakuu wa Mikoa kagueni Mawakala wa Saruji, mkiwakuta wamerundika mzigo wakamateni mkawashitaki!

  PM sijui kama anatambua kuwa ktk kufanya biashara kuna suala la "warehousing" ambalo lipo halali kabisa kisheria. Kuhifadhi bidhaa kwa muda kwa matarajio ya kupata faida baadaye kutokana na "seasonal availability of goods at the market" ni mojawapo ya "speculative motive" ya mfanyabiashara...
 3. mbenge

  Tanzania hit by second ICSID dispute related to Mining Retention Licenses

  Makada wa "veggies" watatuambia ni muendelezo wa vita vya kiuchumi. Yaani vita vimepamba moto dhidi ya mabeberu na wasaliti wachache waliopo hapa nchini. Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 4. mbenge

  Serikali msiwafutie Watoto matokeo, toeni matokeo yao haraka. Hawana hatia. Tatizo ni Mfumo

  Mkuu hawa makada wa CCM wakiambiwa kuwa inahitajika taasisi imara ili iweze kuiongoza nchi hii kwa ufanisi hawaelewi. Wao kila kitu kwao ni itikadi tu ya chama chao, weledi, utaalamu, ujuzi na miiko ya kazi wanavipuuzia. Wanaona ni sifa kumsifu na kumuabudu mtu mmoja mwenye nguvu za kikatiba...
 5. mbenge

  CCM acheni kufanya biashara ya elimu, nchi hii ni yetu wote

  Ndani ya muda wa miaka miwili toka sasa, yaani ifikapo mwaka 2022 kuelekea 2023 ndipo Watanzania watakapo elewa umuhimu wa vyama vya upinzani. Watawala waliokosa maono wataanza kutafuta kila aina ya kisingizio cha kushindwa kutekeleza ilani ya chama chao. Nafasi ya kumtafuta mrithi wa aliyepo...
 6. mbenge

  Mchungaji Erasto: CHADEMA inaendeshwa kwa misaada 100% kwahiyo ni lazima wautetee ule upande mwingine

  Hivi mtu mwenye akili timamu anaweza kusema kuwa kuna vita vya kiuchumi vinaendelea hapa nchini!? Watawala wameshindwa kabisa kuiendeleza ama kuhamasisha sekta binafsi, hawana sera wala maono juu yake. Kinachofanyika ni kama kufanya bahati nasibu juu ya mikakati na mipango ya kuwa na sera nzuri...
 7. mbenge

  Prof. Kabudi aieleza Jumuiya ya Kimataifa kuwa Tanzania haijawahi kushindwa vita ya aina yoyote

  Hii wizara naona Prof Kabudi imeshampwaya kabisa, pengine wamjaribu sasa January Makamba ama Emmanuel Nchimbi ambaye pia anaweza kuteuliwa kuwa mbunge Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 8. mbenge

  Barua kwa Rais Dkt. John P. Magufuli kuhusu kazi ndogo uliyoahidi kumpatia Tundu Lissu

  Huyu sio Bia Yetu ambaye kaja kivingine baada ya uchafuzi mkuu. Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 9. mbenge

  Je, kwanini 'Urais' wa Zanzibar umemkubali na kumpendeza kwa 'haraka' sana Dkt. Hussein Ally Hassan Mwinyi?

  Ukikosekana uchaguzi basi kinachobakia ni uchafuzi na ubaguzi tu. Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
 10. mbenge

  Jerry Rawlings, kiongozi wa zamani wa Ghana afariki dunia

  Tuna jambo moja tu ambalo linaweza kuwapambanua viongozi waliopo ama waliowahi kutawala nchi za Afrika. Wachache mno ni viongozi halisi walio watawala watu wao kwa hekima na busara. Waliobakia ambao ni wengi ni watawala waovu, dhalimu na wa kiimla, ambao huongoza watu wao kwa njia za mabavu...
 11. mbenge

  Je, wajua Vyama vya Siasa TZ ni Public Parties? Maamuzi yake lazima yazingatie Public Interest na siyo kufuata ujinga na ubinafsi wa viongozi insane!

  Kwa jinsi uchaguzi wa mwaka huu ulivyoendeshwa na kuja kuletewa matokeo yenye mashaka mengi, ni dhahiri kabisa kuwa uongozi wa taifa wa chama tawala umefilisika mno kifikra na kimaono. Hiki kinachoitwa kuwa ni CCM mpya, si chochote wala lolote lile zaidi ya genge la watu waliopoteza dira na...
 12. mbenge

  Kesi tano zinazomsubiri Mahakamani Tundu Lissu

  Mithali 14:34 "Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wo wote" Mbinu chafu na haramu zilizotumika kukipa ushindi chama tawala ni dhambi kubwa juu ya nchi yetu. Dhambi hii haitawaacha watu dhalimu waliohusika kufanikisha uovu huu hata wakabaki salama, itawatafuna mmoja baada ya mwingine.
 13. mbenge

  Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

  Nilichokishuhudia hii leo wakati nikitimiza wajibu wangu wa kiraia wa kupiga kura, niliweza kuziangalia vyema fomu za kupigia kura kwa nafasi ya uraisi, ubunge na udiwani. Wakati fomu za wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani, majina yalipangwa kufuatia mpangilio wa alphabeti za vyama vyao...
 14. mbenge

  Uchaguzi 2020 Dua ya Askofu Mwamakula: Atakayehusika na kudhulumu uchaguzi afedheheshwe yeye hadi kizazi chake cha nne!

  Hili tu la TCRA kuamua kuzima kwa hila mitandao ya kijamii ili watu wasiweze kupashana habari, ni sehemu mojawapo ya laana hiyo.
 15. mbenge

  Zanzibar 2020 Zanzibar: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 toka maeneo mbalimbali

  Huu ni wakati sahihi wa kuchukua hatua za kidwanzi dhidi ya upuuzi wowote ule wenye sura ya dhuluma.
 16. mbenge

  Uchaguzi 2020 Waraka kwa Wagombea: Kama wewe ni Mgombea na uliwekeza nguvu nyingi kwa Vijana tegemea leo kuangukia pua kwenye kura

  Mkuu, unazungumzia vijana ama kundi lipi la vijana? Vijana hawa waliojaa hamasa kubwa sana kote nchini wenye kiu kubwa ya kufanya mabadiliko yenye tija kwao, ama unawazungumzia UVCCM na green guards ambao wamezoea vitu vya dezo?
 17. mbenge

  Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

  Katika siku za mwisho za utawala wa mfalme Sauli, licha ya utisho wake mbele za anaowatala, haikuwa salama yake ya kubaki ktk kiti chake cha ufalme. Jambo hili lilikuwa ni bayana kwa kuwa Mungu alimkataa. Magufuli licha ya kuzungukwa na washauri wengi waliokuwa wanafiki kupitiliza, lkn kuna...
 18. mbenge

  Uchaguzi 2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

  Mkuu, kwa kipekee sana na wewe umejitoa sana kutuhabarisha kila siku na tena pasipo kuchoka habari za kampeni za CHADEMA haswa mgombea wa nafasi ya uraisi TAL ktk kipindi chote cha kampeni za uchaguzi wa mwaka huu. Kongole nyingi sana zije kwako.
Top Bottom