Search results

  1. dareda

    Msaada: Wapi naweza sajili wazo langu?

    Wadau habari, Naombeni msaada maelekezo nna idea yangu ya kuandaa maonyesho flani (exhibition) sasa watu wangu wa karibu niliowashirikisha waliniambia kwa nature ya wazo langu wabakaji wa mawazo wanaweza kulibaka wazo hili na kulimiliki hivyo n vema nikalisajili ili niwe na haki miliki nalo...
Top Bottom