Search results

 1. Synthesizer

  Kauli ya Magufuli kuwa Kabudi na Lukuvi hawatagombea Urais haikuwa ya ghafla, ilipangwa siku nyingi na ndio mwanzo wa mgogoro ndani ya CCM

  Siku Magufuli alipotamka hadharani kwamba Kabudi na Lukuvi hawatagombea Urais kwa sababu ya umri wao mkubwa, wengine walicheka wakiichukulia kama ni kauli ya ghafla. La hasha, hii ilikuwa ni kauli ya kimkakati ambayo Magufuli alikuwa ameitafakari na kupanga kuisema kabla hata ya kuingia Uchaguzi...
 2. Synthesizer

  Tofauti na Magufuli, Nyerere alielewa mataifa tajiri yanatuonea, kutuingilia na alijua jinsi ya kubabiliana nayo kwa busara bila nguvu na umwamba!

  Kuna kitu kimoja ambacho Magufuli anapaswa kutafakari sana - jinsi ya kukabiliana na mataifa tajiri pale ambapo anaona kama yanatukandamiza au kutuingilia. Nasema hivi kwa kuwa ni wazi sana Magufuli anapewa ushauri usiofaa na Kabudi - kujaribu kuyakabili haya mataifa kama vile tuko sawa nayo -...
 3. Synthesizer

  Magufuli ili TAZARA isife, ongea na China ili iunganishwe na Malawi kupitia Mbeya au Tunduma, na pia ipitie Morogoro na Iringa mjini!

  TAZARA haina hali nzuri. Na sababu kubwa ni kwamba utegemezi wa Zambia kwa TAZARA umepungua sana. Kwa sasa Zambia inaweza kupitisha mizigo yao sehemu nyingine zaidi ya Dar es Salaam, kutia ndaniMsumbiji na Afrika Kusini. Lazima tuseme ukweli Wazambia kwa sasa hawana shida sana na TAZARA, japo...
 4. Synthesizer

  Katika awamu hii chini ya Rais mpya Malawi, Magufuli atumie fursa hii kutatua mgogoro wa mpaka kati ya Malawi na Tanzania

  Hili tatizo la mpaka kati ya Tanzania na Malawi hadi leo halijatatuliwa. Suala ni kwamba, kuna dalili za mafuta ndani ya Ziwa Nyasa, ambalo Malawi wanaliita Ziwa Malawi. Na suala la uwezekano wa mafuta lilizua upendezi mpya wa ziwa kwa Malawi wakasema kwamba mpaka kati ya Tanzania na Malawi siku...
 5. Synthesizer

  Wabunge wa upinzani Hong Kong wajiuzulu wote kupinga sheria ya uzalendo ya China

  Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong. Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
 6. Synthesizer

  Zanzibar mnapaswa kudai utaratibu ndani ya CCM wa angalau Naibu Spika atoke Zanzibar ikiwa Spika ni wa kutoka bara

  Kuna mambo yanaweza yakawa hayako kwenye Katiba, lakini yakawekwa kuwa uratatibu unaokubalika. Kwa mfano, ni utaratibu wa CCM kumwachia Rais kutoka CCM kugombea awamu ya pili ya Urais bila kumpinga. Hilo haliko kwenye Katiba ya CCM lakini limekubalika kwa watu wa CCM. Kwa msingi huo basi...
 7. Synthesizer

  Si halali wala haki kwa Serikali ya CCM kuwatoza wananchi fedha ili kutumia Daraja la Nyerere kwenda Kigamboni, ni ubaguzi

  Nimetafakari sana juu ya hii Serikali ya CCM inayodai ipo kwa ajili ya wananchi, hasa wanyonge. Na hakuna mtu anakaebisha kwamba Kigamboni kuna hao wanyonge wengi tu. Sasa kwanini hawa wanyonge wa Kigamboni walazimishwe kutoa fedha kwa kutumia daraja la Nyerere kwenda Kigamboni? Tunajua kwamba...
 8. Synthesizer

  Ni bora Bunge likawa na Wabunge wa CCM 100% kuliko kuwa na Wabunge wachache wa Upinzani. Faida na hasara zake kwa CCM na Upinzani ni hizi

  Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya...
 9. Synthesizer

  Uchaguzi 2020 Itokee Lissu akashinda Urais, akakupa nafasi ya kutoa pendekezo, ni kitu gani alichofanya Magufuli utamwomba akiondoe mara moja?

  Wengi nasikia tu mnasema ooh Magufuli hajafanya lolote, ooh katupiga sana nk. Lakini pale ninapouliza baadhi ya watu kwamba ni kitu gani ambacho amefanya Magufuli ambacho unaona hakifai, wengi wanashindwa kutoa jibu la haraka. Sasa leo ningependa kuwauliza katika mtandao wa JF, kwamba ikitokea...
 10. Synthesizer

  Uchaguzi 2020 Busara, hekima na kuvumiliana vinahitajika kwenye suala la ushirikiano wa CHADEMA na ACT-Wazalendo

  Kuna mambo fulani yanaweza kuwa yanakiukwa katika suala zima la ushirikiano wa Chadema na Act wazalendo kuhusu kumuunga mkono Tundu LIssu wenye kugombea uraisi. Lakini kila mtu, pamoja na CCM wenyewe, anajua kwamba NEC wamekuwa wakifumbia macho ukiukwaji tatibu za uchaguzi katika mambo mengi...
 11. Synthesizer

  Ushauri kwa Rais atakaeshinda: Uza Dreamliner zote, nunua ndege ndogo hata 30 na achana na route za nje

  Ni wazi suala la kununua Dreamliner limetupiga sana, kwa kuwa tulitegemea zingepiga route za nje na kuingiza faida lakini mambo hayajawa hivyo. Na Corona imeharibu hata zaidi. Ushauri wangu kwa raisi ajae, Tundu Lissu au Magufuli - uza hizo Dreamliner tuweke kipaombele kwenye flights za ndani...
 12. Synthesizer

  Ni wazi reli za Arusha na Tanga walirekebisha kutumia kodi yetu ili kujifanyia kampeni maana treni hatuzioni na sasa zimekuwa kero za faini za trafiki

  Kuna vitu vinaudhi sana. Serikali ya CCM walifanya mbwembwe nyingi kusema wanafufua huduma ya treni kwenda Arusha na Tanga. Na tukumbuke walitumia fedha yetu ya kodi, sio fedha za CCM. Sasa ni wazi kwamba yote haya walifanya kwa ajili ya kampeni waliyotaka kufanya ya maendeleo ya vitu, ili...
 13. Synthesizer

  Uchaguzi 2020 Viongozi wa taasisi kama Polisi na NEC kuibeba CCM dhidi ya vyama vya upinzani ni kuelewa kwamba wapinzani wakichukua serikali wataondolewa vyeo vyao

  Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini? Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
 14. Synthesizer

  Uchaguzi 2020 Ni vipi unawashawishi wakazi wa Dar waliobomolewa nyumba kwa upanuzi wa barabara wakati kwa wakazi wa Mwanza ulisema wasibomolewe walikupigia kura?

  Kuna wakati najiuliza kati ya wanasiasa na wapiga kura ni nani ana kumbukumbu fupi zaidi. Kwa mfano, wakati fulani kulikuwa na kampeni ya kubomoa nyumba bila kulipa fidia hapa Dar, na wananchi wote wakalaani sana kitendo hicho. Hivi katika wale waliolaani kitendo hicho ndio walewale...
 15. Synthesizer

  Wakati wa mvua na mafuriko Dar es Salaam ndipo somo kwamba madaraja ya baharini sio kipaumbele cha kwanza kwa wakazi wa Dar litaeleweka!

  Wanasiasa wa upinzani wanapotoa maoni kwamba kuna vitu vya lazima na msingi zaidi kufanyika Dar es Salaam badala ya kujenga madaraja ya kupita juu ya bahari, huwa wanabezwa sana. Hatukatai hizi flyover zinasaidia sana kupunguza adha ya foleni Dar es Salaam lakini lazima tukiri kwamba flyover sio...
 16. Synthesizer

  Sasa nimeelewa kwanini Waarabu walituchukua kirahisi kwenda utumwani. Mke kupigwa na kukubaliana na mume anapoambiwa unaona umenifanya nikupige!

  Ulishawahi kusikia hadithi kwamba kuna wakati Waarabu walipata watumwa kirahisi kwa kutoa shanga na vioo kwa machifu wetu? Na pia kuna habari kwamba walitumia tende, wakawaonjesha watu tende, waliponogewa wakawaalika kwenda kweye merikebu zao za utumwa na kuwafungia huko, na kuishia kuwa watumwa...
 17. Synthesizer

  Mume haishi kumsimanga na kumkashifu mkewe kwa kukalia makochi yao ya gharama kwa sababu za kipuuzi kabisa

  KIla mtu mwenye hekima anakubali kuwa huyu ni mwanaume asiyefaa hata kidogo kuwa kichwa cha familia kwa jinsi anavyofanya mambo ya kitoto na kuwa na gubu kubwa kwa mkewe. Kisa chenyewe kilianza pale mume alipomwona jirani yake akinunua makochi ya gharama kubwa kutoka nchi za nje. NIiyale...
 18. Synthesizer

  CCM jaribuni kutumia akili na busara kuelewa maoni ya upinzani. Kuhoji sio kupinga

  Nimeshangaa kuona kwamba wengi wa wanachama wa CCM pamoja na viongizi wao wamekuwa wakiwashambulia watu wa upinzani kila wanapotoa maoni juu ya miradi kama SGR, ndege za ATC, mradi wa umeme wa SGR, flyover nk Utakuta mtu anasema kwa nini unapanda ndege za ATC alizonunua Magufuli wakati...
 19. Synthesizer

  Jiulize; Ethiopia wana Dreamliner zaidi ya 20, SGR, barabara nzuri, flyover nyingi, lakini bado watu wake wanafia kwenye malori wakizamia Bondeni!

  Ni afadhali CCM wameamua kukaa kimya kuhusu kujisifia kwamba wameleta maendeleo nchini sijui wamenunua Dreamliner mbili, wamejenga flyover Tazara na nyingine Ubngo kwa hiyo wameleta maendeleo Tanzania, na hiyo iwe sababu ya kuwachagua tena. Maendeleo kwa ajili ya nani? Bibi yangu kule kwetu...
 20. Synthesizer

  Mlituahidi SGR Dar - Moro kuwa tayari toka Novemba mwaka jana 2019, hadi leo ni visingizio tu, mara mvua, mahandaki, mara madaraja, blah blah, blah!

  Tuliambiwa kwamba awamu ya kwanza ya SGR Dar es Salaam kwenda Morogoro, kupitia Pugu, Soga, Ruvu, na Ngerengere ujenzi wake ungekamilika mwaka jana November 2019. Mkasema ooh, kuna handaki karibu na Morogoro inabidi lichimbwe limechelewasha kazi (yaani kama vile hamkujua kuwa kutakuwa na hilo...
Top Bottom