Search results

 1. Sanctus Mtsimbe

  Fuatilia Tamthilia ya "Siri za Familia" Msimu wa Kwanza YOUTUBE "JASONS TV"

  Sasa Unaweza kufuatilia Msimu wote wa Kwanza wa Tamthilia Pendwa ya "SIRI ZA FAMILIA" katika Channel ya "JASONS TV" YOUTUBE. Kwa Kuanzia angalia hizi Episodes chache:
 2. Sanctus Mtsimbe

  MICHAKATO - Tamthilia Mpya - Clouds TV

  Tamthilia ya MICHAKATO inaonyeshwa CLOUDS TV kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa Saa 2.00 Usiku na kurudiwa kila siku ya Jumatatu hadi Ijumaa Saa 5.00 Asubuhi. Tamthilia hii ya MICHAKATO ni Mahususi kwa jailli ya Kuburudisha na Kuelimisha jamii. Tamthilia hii inaigiza Michakato mbalimbali ambayo...
 3. Sanctus Mtsimbe

  SIONI - By BERTO: Wimbo Mpya wa Production ya Siri Za Familia

  SIONI by Berto - Official Video By Jasons Empire - Bongo Fleva Tanzania Waigizaji wa Siri za Familia ABDUL, ETHAN na DAYA Wameshiriki kama Video Kings and Queens. Tunaomba utusaidie KUSHARE. Tafadhali pitia na kutoa maoni yako ili kusaidia kuboresha kazi za vijana wetu.
 4. Sanctus Mtsimbe

  TANZIA: Msanii wa Siri za Familia Mr. Benson Afariki Dunia

  Msanii wa Maigizo Haji Jumbe ambaye amekuwa akiigiza kama Mr. Benson katika Tamthilia ya SIRI ZA FAMILIA inayotengenezwa na JASONS PRODUCTIONS na kurushwa na EATV kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 12.30 jioni amefariki leo Jumatatu tarehe 24 October 2016 katika Hospitali ya Kinondoni. Marehemu...
 5. Sanctus Mtsimbe

  Vijana wa zamani tukutane hapa - old school

  Enzi hizo ukienda Rungwe Oceanic Beach Resort ya Mzee Mwakitwange ulikuwa unakuitana na majina kama vile DJ Ngomely, DJ Pop Juice na wengine. Ukiosea jirani na hapo Rungwe, yaani Silver Sands, unakutana na kina John Peter Pantalakis, Choggy Sly na Kalikali ambaye baadaye alihamia YMCA. Ukienda...
 6. Sanctus Mtsimbe

  PENDEKEZO: Rais Magufuli, anzisha Vijiji vya Ujasiriamali

  Wana JF, Salaam sana. Awali ya wote napenda kutoa pongezi za dhati kwa jitihada zote anazofanya Mh. Rais za kuleta Maendeleo kwa Watanzania. Imekwisha dhihirika kwa hakika nia yake yeye binafsi ni ya dhati hata kama kunaweza kuwa na mapungufu machache ya kiutendaji. Ninao uhakika baada ya...
 7. Sanctus Mtsimbe

  Mh. Rais Dk. Magufuli Anzisha Vijiji Vya Ujasiliamali

  Wana JF Salaam sana Awali ya wote napenda kutoa pongezi za dhati kwa jitihada zote anazofanya Mh. Rais za kuleta Maendeleo kwa Watanzania. Imekwisha dhihirika kwa hakika nia yake yeye binafsi ni ya dhati hata kama kunaweza kuwa na mapungufu machache ya kiutendaji. Ninao uhakika baada ya...
 8. Sanctus Mtsimbe

  VIP Invitation: Two Way Digital Radio Communications Exhibition & Conference at Serena Hotel

  AIRSYS EAST AFRICA (http://www.airsys.co.uk/index.php/news/) Presents THE TWO WAY DIGITAL RADIO COMMUNICATIONS EXHIBITION & CONFERENCE 2015 Date: Wednesday 19 August 2015 Venue: Serena Hotel Dar Es Salaam Time: 8.00 AM to 6.30 PM Products to be Presented and Exhibited...
 9. Sanctus Mtsimbe

  Uthibitisho Kuwa Una Una Uwezo wa Kufanikiwa Katika Chochote

  Jaribio la Jinsi Mawazo na Maneno Yalivyo na Athari Kwa Watu na Vitu Vingine na MAFANIKIO YAKO: Ukweli ni kuwa MAWAZO yako na chochote unachofikiri kinaweza KUSABABISHA (CAUSE & EFFECT). Katika jaribio la wali uliopikwa ambao uligawanywa katika Containers mbili - na kisha ukawa unaambiwa...
 10. Sanctus Mtsimbe

  Motivational seminar for mindset and ''Kuongeza kipato'' 19th or 22nd June 2014

  We invite you to extremely exceptional Motivational Seminar for Self-Recognition involving changing the Mindset and MBINU ZA KUONGEZA KIPATO. The Seminar will mainly feature: JINSI YA KUBADILI FIKRA; KUONGEZA KIPATO na KUTIMIZA NDOTO. The Seminar will be presented by two Key Trainers &...
 11. Sanctus Mtsimbe

  Business & Pleasure Networking Event on 28th March 2014 @ Utalii College

  "AMKA NA BADILIKA" from your TV Screen of TBC1 to Live Talks . . . . . Happening this Friday 28th March 2014 at Utalii College . . . . . An opportunity not to be missed!"
 12. Sanctus Mtsimbe

  Invitation "Free Motivational Talks"

  Today Thu 6th Mar 2013 a young Successful Billionaire will conduct a Free Motivation Talks about "How to be Successful in Life" @ Tancot Hse, 2nd Floor, Sokoine Drtive. Opposite Maendeleo Bank or Luther House. Inbox to confirm participation. Limited space available.
 13. Sanctus Mtsimbe

  JamiiForums, Le Mutus & 8020 Fashions Ndani ya TBC1: Mada - Mitandao ya Kijamii

  Usikose kuwasikiliza katika kipindi cha "Amka na Badilika" - TBC1 Siku: Jumapili Saa 3-4 Usiku. Marudio: Jumatano Saa 8-9 Mchana Mada: Mitandao ya Kijamii: Faida; Changamoto na Ufumbuzi
 14. Sanctus Mtsimbe

  TV Talk Show Ya "Changamoto za Mahusiano Na Ufumbuzi Wake" 22nd January 2014

  Tunapenda kutoa mwaliko kwa wageni 30 tu watakaohudhuria katika kipindi kipya kitakachorushwa TBC1 siku ya Jumapili tarehe 26th January 2014 saa 3 hadi saa 4 usiku na kurudiwa siku ya Jumatano Tarehe 29th January 2014 saa 8 hadi saa 9 mchana. Wageni lazima wawe na uzoefu sana na mambo ya...
 15. Sanctus Mtsimbe

  Wishing You A Happy New Year 2014 on My Birthday

  For all of you specially: I would like to wish you and your family A Very Happy & Prosperous New Year 2014. I am also very thankful to God to make me see my other Birthday on 1st January. I am not getting any younger! Stay Blessed! and Happy Birtyhday to me . . . . cc: Mzee Mwanakijiji...
 16. Sanctus Mtsimbe

  Jinsi ya Kupata Mtaji kwa Bila Dhamana Kupitia DSE

  Salaam sana Tunaandaa vipindi vya TV na Radio vya DSE. Kwa niaba ya Soko la Hisa la DSM DSE, napenda kutoa mualiko kwa watu wachache hasa Wajasiliamali wadogo na wa kati (Small and Medium Enterprises - SME) katika mjadala wa kuhamasisha jinsi ya kupata mtaji kupitia DSE. Mjadala huu utaihusisha...
 17. Sanctus Mtsimbe

  TV Talk Show Ya "Tatizo La Madawa Ya Kulevya Na Ufumbuzi Wake" 24th Nov 2013

  Tunapenda kutoa mwaliko kwa wageni 20 tu watakaohudhuria katika kipindi kipya kitakachorushwa TBC1. Wageni lazima wawe wameguswa sana na tatizo la madawa ya kulevya na wawe tayari kuleta changamoto katika kipindi au kusaidia kupata ufumbuzi wa tatizo. Tafadhali thibitisha kuhudhuria kwako...
 18. Sanctus Mtsimbe

  Female TV Talk Show Co-Presenter/Host Required

  Anatafutwa Co-Presenter/Host (Female) atakasaidiana na main Main Host/Presenter katika Talk Show inayotarajiwa kuanza kurushwa katika Luninga hivi karibuni kila wiki kwa saa moja. Sifa: Awe anajua vema Kiingereza na Kiswahili Anayejiamini Awe "anatazamika" kwa viewers wa TV na waalikwa...
 19. Sanctus Mtsimbe

  Looking for Water Supply Facilities Consultants

  Salaam sana Tunafanya project inayojulikana kama CONSULTANCY SERVICES TO ASSESS THE EXISTING PRIVATE SECTOR BASED WATER SUPPLY FACILITIES SUPPLY CHAIN. Tunatafuta Consultants wafuatao: Mechanical Engineer – Degree Holder in Mechanical Engineering Not less than 10 years in (i) water supply...
 20. Sanctus Mtsimbe

  DSE Sasa Kuziwezesha SME Kupata Mitaji - Press Release

  PRESS RELEASE DSE PUBLIC AWARENESS CAMPAIGN FOR THE ENTERPRISE GROWTH MARKET “DSEs’ Enterprise Growth Market (EGM) a vehicle to Wealth Creation” The Dar es Salaam Stock Exchange (“DSE”) would like to inform the general public that it has established a new segment at the DSE. This new...
Top Bottom