Search results

 1. tanga kwetu

  Chenji kurudishwa Ikulu; Mfumo wa fedha za serikali umebadilishwa lini?

  Miaka yangu michache ya utumishi wa umma (miaka nane) nilikuwa nikishuhudia ofisi za serikali ifikapo June mwishoni huwa zinarejesha pesa iliyobaki hazina. Yaani kama hazikutumika kwa sababu yoyote ile. Niliona ipo maantiki kuzirejesha hazina maana ndipo zilipotokea. Sasa naona kumezuka mtindo...
 2. tanga kwetu

  TCRA na jeshi la Polisi, ganzi ya kushughulikia uhalifu huu inatoka wapi?

  Moja ya majukumu ya kisheria ya Mamlaka ya Uthibiti wa Mawasiliano (TCRA) kama ilivyopewa na Tanzania Communication Regulatory Act Number 12 ya mwaka 2003 ni kulinda maslahi ya mteja (Protecting Consumer Interests). Kuna meseji ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Whatsapp uliosema...
 3. tanga kwetu

  Mliokuwa hijja mlipiga kura ama la?

  Kumekuwa na maneno toka kwa watu mbalimbali akiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif kwamba waliokuwa Hijja hawakupiga kura. Wanaowatetea kwamba walipiga kura si mmoja wa waliokuwa Hijja. Labda baadhi au wote ya walioenda Hijja wamejibu lakini sikupata fursa ya kuwasikia...
 4. tanga kwetu

  Laptop hii ina tatizo gani?-Msaada Please!

  Laptop yangu ni Brand ya Lenovo. ina umri wa miaka miwili tu. natumia Kaspersky 2013 niliyokuwa nai-update daily. kwa wiki ya pili sasa nikiiwasha inaunguruma na hata mlio wa kuwaka (starting up tune) unalia ila Screen hai-display. nimejaribu kutoa battery mara kadhaa kwa muda tofauti lakini...
 5. tanga kwetu

  Msaada wa kisheria-kubadili jina la ukoo wa watoto

  kuna dada yangu kazaa watoto wawili na mwanaume ambaye hakufunga naye ndoa ya kimila wala ya kikanisa ila waliishi pamoja kwa miaka 6. kwa sasa wameachana tangu 2005 wakati huo first born alikuwa na miaka 6 na second born alikuwa na miaka miwili yaani kwa sasa first born ana miaka 14 (yuko form...
 6. tanga kwetu

  Nokia e71

  simu yangu ni Nokia E71. ni wiki ya pili sasa inakataa kufungua facebook na e-mail yangu ya gmail. Yaani nafika hadi kwenye password na zikishafunguka tu, cursor haisogee na wala hakuna command inayokubali zaidi ya ku-exit. Tatizo laweza kuwa ni nini? Solution yake?
 7. tanga kwetu

  Maandamano ya wafanyakazi wa migodini Afrika Kusini na Jeshi la Polisi la Tanzania.

  Leo wakati naangalia taarifa ya habari channel e niliona habari ambayo ilinivutia. Kulikuwa na mamia kadhaa ya waandamanaji ambao walikuwa wakisindikizwa (in fact being closely watched) na mamia ya askari wakiwa na silaha (armed police officers). Walikuwa wakiwa wanawatizama tu na...
 8. tanga kwetu

  Kisheria ni sawa Ofisi ya ustawi wa jamii kusikiliza 'rufaa'??

  mdai (baba) ameshinda mahakama ya mwanzo ya kuishi na mtoto (wa miaka 7), mdaiwa ameenda ofisi za ustawi wa jamii ('kukata rufaa') kwamba haridhiki na uamuzi huo na anataka apewe haki ya kuishi na mtoto. Hata mimi kama jirani yao niliridhika na mwenendo wa kesi ya awali yaani hoja za mdai (baba)...
 9. tanga kwetu

  Madaktari jiteteeni kwa bidii, magamba wanawafarakanisha

  katika kuendeleza propaganda zao, jana Kikwete nae ameungana na wana-magamba kupotosha madai ya madaktari walio kwenye mgomo hapa nchini. Jana, ****** aliongelea dai moja tu kati ya madai kadhaa ya mdaktari; nyongeza za marupurupu ya madaktari. Hii imefanya sehemu kubwa ya jamii kuamini kwamba...
 10. tanga kwetu

  Nini majukumu ya waziri wa nchi ofisi ya rais-mahusiano ya jamii

  nimejaribu ku-google/ku-search bila mafanikio. Kwa wanaojua (with reference/link) naomba mnijuze majukumu ya kiofisi ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Mahusiano ya Jamii, nafasi inayoshikiliwa kwa sasa na Mh. Stephen Wassira (MB). Kwa nini nataka kujua? Nitaeleza baadae baada ya kupata hayo...
 11. tanga kwetu

  Anaomba msaada wa ushauri wa kisheria

  Naomba wajuzi wa sheria mumsaidie ushauri wa nini afanye huyu dada kwa kisa cha kweli kilichompata kazini kwake. yeye anafanya nyumbani kwa afisa ubalozi (mzungu) wa moja ya balozi za nchi za Scandinavia jijini Dar. Kazi yake ni mpishi na jiko lipo karibu sana na ofisi binafsi ya huyo afisa...
 12. tanga kwetu

  Nini haki ya mwenza kwa mali baada ya separation?

  Naomba maelezo yenu wanasheria....kama wenza wa ndoa ya kikristo wametengana rasmi na kugawana mali zilizopo wakati huo lakini baadae (wakati wowote post separation) mmoja wao (mume au mke) akiwa single vile vile akachuma mali kwa kipato chake je mwenza wake anaweza kudai mgawo? au atakuwa na...
 13. tanga kwetu

  Divorce lawsuit!!

  Naomba wajuzi wa sheria mnijuze mambo ya sheria katika suala hili; nimekamata texts kama 4 za ki-cybersex, texts kali za kingono kwenye sent items ya simu ya mke wangu kwenda kwennye namba ya mwanaume wake (simfahamu ila ni mwanaume ambaye anasema ni bf wake wa zamani). Nimenakili tarehe na muda...
 14. tanga kwetu

  Detention

  Naomba wajuzi wa sheria mnisaidie kwa hili. Je, ni katika mazingira yapi au kwa sababu zipi Polisi wanaweza kumuweka mtu korokoroni (Lock up)? Mfano, Nikienda Polisi kushtaki kwamba Mr. X kanitukana tukiwa waiwili tu then nakamatwa nakuwekwa ndani bila ushahidi, hapo imekaaje? Asanteni!!
 15. tanga kwetu

  Hotuba ya mbowe ndani ya mwanahalisi na upupu wa ms!!

  tolea namba 248 la gazeti la Mwanahalisi (tarehe 29/6 - 5/7/2011...la leo) lina kurasa 8 za nyongeza za Hotuba ya Kiongozi wa kambi Rasmi ya Upinzani Bunge la JMT, HE. F. A. Mbowe (MP). Hii ime-cancel upupu wa MS na vibaraka wake alioutoa wiki iliyopita kwamba CDM wameitosa Mwanahalisi kwa...
 16. tanga kwetu

  State department wanavyom-value JK

  Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these...
 17. tanga kwetu

  Waziri akishaisoma hotuba bungeni, bunge haliwezi kubadilisha kitu-Spika makinda

  kwenye taarifa ya habari ya saa 2 jana usiku, Spika (bi Kiroboto) wa bunge la JMT clearly alisikika akisema kwamba once waziri (mathalani) wa fedha akiisoma hotuba yake ya bajeti ambayo imeshapitishwa na vikao vya chini basi wabunge kwenye bunge hawawezi kubadilisha kitu. kama huyu ndio refarii...
 18. tanga kwetu

  Asante waziri wangu wa fedha, Zitto Kabwe

  Wafanyakazi wa serikali tulilipwa mishahara yetu ya April,2011 tarehe 7 May,2011. Hii haikuwa kutokea katika miongo ya hivi karibuni. Chama dume (CDM) kikiwa kinaunguruma nyanda za juu kusini, HE Zitto Kabwe aliichana LIVE serikali chovu ya CCM kwamba imefulia na inakopa benki za ndani ili...
 19. tanga kwetu

  Kuagiza engine used toka Japan-msaada

  nahitaji kuagiza engine ya Mitsubishi Canter toka Japan. Ni piece moja. Nitafanyaje?
 20. tanga kwetu

  Any jimama in tanga?

  jimama linaloishi tanga lini-PM kwa mapenzi ya kuibia na ya kiutu uzima. Awe tayari kupima ngoma na STDs kabla ya malavidavi.
Top Bottom