Search results

 1. Coping Strategy

  Kupunguzwa kwa idadi ya mabehewa kwa treni ya Ubungo maziwa - Stesheni kunasababisha msongamano

  Wakuu. Tangu safari ya treni la Pugu kwenda mjini kuanza, kumetokea msongamano mkubwa wa watu kwa treni la Ubungo Maziwa kwenda mjini hiyo imetokana kupunguzwa kwa idadi ya mabehewa yake na kuongezewa treni ya route ya Pugu station. Ni vyema management watafute mbadala wa utatuzi wa hili...
 2. Coping Strategy

  Uhalali wa risiti za EFD

  Wakuu, naomba msaada hii ni receipt ni halali? nimepewa petrol station baada ya kununua mafuta ya 30,000.
 3. Coping Strategy

  Msaada, prospectus ya UDOM

  Wakuu mwenye prospectus ya chuo cha UDOM, na shida nayo,nimetembelea website yao, sijaweza iona ili ni idownload. Msaada wenu tafadhali!
 4. Coping Strategy

  msaada: mozila inakataa kufungua google

  wakuu msaada wenu, nikisearch vitu kwa kutumi google, connection inakaa ila nikitumia yahoo, wikipedia inakubali.
Top Bottom