Search results

 1. James Martin

  Joe Biden akichaguliwa anaweza kusaidia kuleta mageuzi ya kisiasa Tanzania baada ya "uchaguzi"

  Tofauti na Donald Trump Joe Biden anaamini kuwa Marekani inatakiwa kuhamasisha dunia kwenye mambo mbalimbali ikiwepo mambo ya mazingira na demokrasia. Baada ya huu "uchaguzi" nategemea "rais" atajaribu kuwarubuni wapinzani kwa kuwapa ajira ili wahamie CCM. Hiyo itakuwa ni propaganda kuwa yeye...
 2. James Martin

  Hivi kweli wanawake wa bara hawajui mapenzi?

  Nimesikia mara kazaa kuwa wanawake wa bara wako nyuma kwenye mambo ya mapenzi. Binafsi nafikiri hili ni swali gumu kulijibu ingawa linaweza kuwa na ukweli ndani yake. Karibu ujana wangu mwingi nilikulia jijini Dar es salaam. Nikiwa jijini Dar nilipata fursa ya "kuwajua" wanawake mbalimbali...
 3. James Martin

  Sheikh Alhad Mussa na sheikh Mohamed Iddi wamaliza tofauti zao

  Vuguvugu la uchaguzi limeleta mambo mengi sana mwaka huu. Kati ya hayo mojawapo ikiwa ni viongozi wa dini kutupiana maneno hadharani. Uhasama kati ya viongozi hawa wawili ulianza pale sheikh Alhad Mussa alivyomuombea dua ya "kipekee" mgombea wa urais kupitia CCM, John Magufuli. Hata hivyo...
 4. James Martin

  Korea ya Kaskazini ina maendeleo ya vitu lakini watu hawana uhuru

  Moja ya mdahalo unaondelea kwenye kampeni za urais ni kati ya maendeleo ya watu na maendeleo ya vitu. Mimi nakubaliana na Tundu Lissu kwa kuchagua maendeleo ya vyote! UHURU, KAZI NA MAENDELEO maana yake ni maendeleo ya vyote! Kwa mfano, Korea ya Kaskazini wana majengo mazuri, miundombinu na...
 5. James Martin

  Mh. Lissu naomba ukishinda uikuze elimu yetu angalau mtu akifika chuo kikuu aongee Kiingereza kwa ufasaha

  Mh. Lissu naamini kuna haja ya kupitia mfumo wa elimu yetu hapa Tanzania. Nimetumia mfano wa lugha ya Kiingereza kama kipimo kwasababu tunawasikia watu wakijaribu wakikiongea. Inawezekana yako masomo mengine pia yanayotakiwa yakuzwe lakini kwa sasa hatujui. Wapo watakaosema mbona Urusi na...
 6. James Martin

  Demokrasia ya Marekani bado iko juu

  Inasikitisha kuona baadhi ya watu wakitumia jina la Marekani kueneza propaganda za kisiasa. Nimewasikia baadhi ya wajinga wakijigamba kuwa nchi fulani ina demokrasia ya juu kuliko Marekani! Sasa ili kuweka mambo sawa inabidi kuwajibu hawa wapuuzi ili wasiendelee kuwajaza watu ujinga. Kwanza...
 7. James Martin

  Lissu yuko sahihi - yafaa tujifunze kuishi na "mabeberu"

  Katika dunia ya leo watu wanaishi kwa kutegemeana sana na Tundu Lissu yuko sahihi kabisa kwa kusema sisi tunawahitaji "mabeberu" zaidi kuliko wao wanavyotuhitaji sisi. Halafu hao "mabeberu" wana pombe tamuu! Kama unawachukia kweli acha kunywa Courvoisier na Jack Daniels hamia kwenye pombe ya...
 8. James Martin

  Uchaguzi 2020 Polepole kuwa na staha kwa viongozi wenzako kutoka vyama vingine

  Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana kampeni za uchaguzi huu na mmoja wa watu wanaoshiriki sana kwenye kampeni ni Humphrey Polepole. Mimi si mwanachama wa CCM lakini nadiriki kusema Polepole ni mkomavu kwenye mambo ya siasa na ni hazina kwa chama chake cha CCM. Ila kuna kitu kimoja...
 9. James Martin

  Hivi ni kweli BAKWATA ni chombo cha CCM?

  BAKWATA ni chombo cha CCM? Hili ni swali ninalojiuliza siku nyingi sana, nafikiri wengi wenu pia mnatafuta jibu. Mimi binafsi nikijaribu kuchunguza naona kama uhusiano wa serikali ya CCM na BAKWATA ni wa karibu kupita kiasi. Nakiri kwamba serikali ina uhusiano na taasisi za kidini lakini hii...
 10. James Martin

  Uchaguzi 2020 Wazazi tulaani kitendo cha watoto wetu kukoseshwa masomo na kutumiwa kisiasa

  Kampeni za mwaka zimeingia hatua mpya ya kuwalazimisha watoto kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa. Mambo hayo yametokea huko Bukoba baada ya wanafunzi kushinikizwa kusimama barabarani kuupokea msafara wa mgombea wa CCM. Mimi kama mzazi nikigundua mwanangu kesho atakosa masomo kwa ajili hii...
 11. James Martin

  Magufuli na Kim Jong-Un ni Marais pekee duniani sijawahi kuwaona wakifanyiwa interview

  Sijawahi kuwaona hawa Marais wawili wakifanyiwa interview. Ni kawaida kuwaona wakuu wa nchi wakihojiwa kuhusu vitu mbalimbali. Mahojiano hayo huwapa fursa waandishi wa habari kuwauliza viongozi maswali ambayo wananchi wangependa kujua majibu yake. Kwa mfano, kama ningepata fursa ya kukaa na...
 12. James Martin

  Uchaguzi 2020 Ndege, barabara na flyovers vilitakiwa viwepo miaka mingi iliyopita. CCM wametuchelewesha. Tukipe nafasi chama kingine

  Baada ya kusikiliza hotuba ya Magufuli akiwa Geita inasikitisha kuona anazidi kupotosha watu. Anasema kwamba huu si wakati wa kufanya majaribio kwa kukichagua chama kingine, mimi napingana nae. Ki ukweli, huu ndio muda muafaka wa kukipa dhamana chama kingine. CCM ilipewa dhamana zaidi ya miaka...
 13. James Martin

  Uchaguzi 2020 Ukiona kiongozi anaanza ku wa "blackmail" Wananchi ujue maji yamemfika shingoni

  Siku chache za nyuma nilimsikia mgombea wa urais wa CCM akiwaonya wapiga kura. Aliwaambia kwamba wasipomchagua mgombea wa CCM watakosa maendeleo. Pia alisema kwamba sababu iliyofanya eneo lao kukosa lami ni kutokana na wao kumchagua mbunge wa upinzani. Kutokana na kauli hizo kuna mambo mawili...
 14. James Martin

  CCM watangaza kuvunja amani, mwanachama ahubiri kuwacharaza "Mboko" wapinzani

  Kuna video clip inayosambaa ikimuonyesha mwanachama wa CCM akitangaza nia yake ya kuwapiga viboko viongozi wa upinzani huku akishangiliwa na wanachama wenzake. Kitendo hiki na matukio mengine kama ya kushambuliwa msafara wa Lissu inaonyesha dhamira ya CCM kwenye Uchaguzi huu. Swali...
 15. James Martin

  Lissu ukishinda uchaguzi inabidi uisuke upya TRA ili kukomesha unyanyasaji wa wafanyabiashara

  TRA ni chombo cha ukusanyaji kodi ambacho pia kinapaswa kufanya kazi vizuri na wafanyabiashara ili kuwapa ari ya kuendeleza uchumi wetu. Cha kushangaza ni kwamba wafanyabiashara sasa wanaiona TRA kama chombo cha ukandamizaji. Kwa kuwa serikali ya sasa imefeli kuisimamia TRA kuimarisha mazingira...
 16. James Martin

  Ukimuacha Tundu Lissu, hivi kuna Mtanzania mwingine ameshawahi kuhudhuria kipindi cha HardTalk?

  Tundu Lissu ni mtu mmoja anayejua kujenga hoja sana. Amethibitisha kwamba yeye si mahiri ndani ya nchi tu, bali pia kwenye majukwaa ya kimataifa ambayo yanatisha kwa mtu asiye na uzoefu. Tofauti na "waandishi" wa habari wa Tanzania ambao hawajui hata kuuliza maswali magumu, waandishi wa habari...
 17. James Martin

  CCM wanatumia voter suppression tactics lakini Watanzania wa leo sio wajinga

  Kwanza nielezee kwa wale wasiofuatilia sana mambo ya siasa nini maana ya voter suppression. Kwa tafasiri nzuri kutoka Wikipedia ni Voter suppression is a strategy used to influence the outcome of an election by discouraging or preventing specific groups of people from voting. Kwa Kiswahili...
 18. James Martin

  CCM nilikuunga mkono lakini kwa upuuzi huu sasa basi

  Siku chache zilizopita nilitoa maoni yangu kutathmini awamu hii ta tano. Niliandika kuwa pamoja na kuchukizwa na na baadhi ya mambo lakini namuunga mkono Magufuli. Niliandika pia siamini kama Rais anaweza kuyajua mambo yote ya moja kwa moja pale anapoingia madarakani, mambo mengine hujifunza...
 19. James Martin

  Hivi ni kosa kumsindikiza mtu kuchukua fomu?

  Hebu jamani nisaidieni kuhusu hili suala. Kwa mfano, kama nakwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge halafu nikaenda na mke wangu na labda watu wawili kutoka kwenye chama changu ni kosa? Kunaweza kuwepo na watu wengine walionifuata au kukusanyika kwa ridhaa yao bila mimi kupanga uwepo wao. Hebu...
 20. James Martin

  Magufuli nakuunga mkono lakini kuwa makini kwenye kipindi chako cha pili

  Wana jamiiforum leo nimeona nitoe tathmini yangu ya Rais Magufuli na kipindi chake cha kwanza cha uongozi. Najua wengine mtachukizwa na haya ninayoyaandika lakini nimeona ni muhimu kutoa maoni yangu. Mpaka sasa kwa watu waliosoma maoni yangu watagundua kwamba nilikuwa nikimsifia Rais wetu pale...
Top Bottom