Search results

 1. jipitishe

  Msaada wa Thin client Software

  Habar wana jamvi Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu free thin client software, nimejaribu kuinstall open thin client but napata error so kama kuna mtu anajua nyingine plz help! Natanguliza shukran zangu kwenu wadau
 2. jipitishe

  Msaada wa Kisheria (sheria za kazi)

  Habari zenu wadau Naomba kujuzwa juu ya hili. Mimi niliajiriwa sehemu fulani na nimefanya kazi kwa takriban mwaka mmoja. Lakin sikuwa nimepewa contract zaidi ya offer letter na confirmation letter(nilipewa confirmation baada ya kumaliza probation) ila sikupewa contract wakawa wananipiga...
 3. jipitishe

  Ras simba

  Habar wana JF hususan wa jukwaa hili la lugha! Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mwalimu (kituo kizuri) mzuri wa lugha ya kiingereza na nilipata kumsikia jamaa anayeitwa RAS SIMBA,naomba kuuliza yafuatayyo: 1: Ofisi zake zilipo 2: Kwa wanaomfahamu naomba wanipatie sifa zake ama uwezo wake ktk...
 4. jipitishe

  How to create Mail server in linux

  Greetings! Kindly advice step by step how can I create and configure an e-mail server in a linux server which will be able to send and receive (SMTP) and pop mail(pop3) and also be able to manage users' e-mail accounts(such as create, delete) Kind regards
 5. jipitishe

  Msaada Kuinstall Airtell Modem kwenye Ubuntu 10.04

  Tafadhali naomba msaada wenu kuhusu kuinstall airtell modem kwenye ubuntu 10.04 Natanguliza shukrani zangu kwenu....
 6. jipitishe

  log on incoming mail server before sending

  hey guys!... Nilipata tatizo la kusend email kwa kutumia outlook ilikuwa inaleta error 800ccc80, nilifanikiwa kuondoa tatizo baada ya kugoogle na kupata cha kufanya kuondoa hilo tatizo but I want to know why I have to log on incoming mail server before sending...?
 7. jipitishe

  Tofauti ya blog na website

  Wadau naomba kujuzwa juu ya tofauti ya blog na website, hususan nataka kujua kuhusu blog ni kitu gani na website ni kitu gani? Ni hayo tu....
Top Bottom