Search results

 1. bombu

  Toyota corrola wagon

  Wapendwa, natafuta gari, used aina ya TOYOTA COROLLA WAGON ya kuanzia mwaka 2000, bei isizid Million 5. Asante kwa kunisaidia. Niko Dar es Salaam
 2. bombu

  Re: THANKS TO JF

  Wapendwa Sina jinsi ya kuielezea furaha yangu. Nimekuwa member wa JF kwa takriban mwaka sasa. Mie huwa si msomaji wa magazeti, na taarifa nyingi muhmu huzipata kupitia hapa JF. Kwa mara ya kwanza hii forum imenisaidia na nimeyaona matunda yake. Nimefanikiwa kupata kazi, amabayo kwa mara ya...
 3. bombu

  Dreva Tax na Walevi

  walevi watatu walipanda kwenye tax,basi dereva tax alipoona jamaa wamelewa akawasha gari na kuizima kisha akawaambia tushafika...mlevi wa kwanza akalipa nauli,wa pili akamwambia asante sana dereva yule wa tatu akampiga bonge la kibao dereva akajua jamaa amemshitukia ndo yule mlevi...
 4. bombu

  Education is a war

  Nimepanda gar na binti mmoja mwanafunzi, amevaa uniform, kwemye mfuko wa blouse yake kuna nembo yenye 'school motto' EDUCATION IS A WAR. Je, ni sahihi kuwaaminisha vijana/watoto wetu kuwa elimu ni vita?
 5. bombu

  Mume wangu kantongoza

  Naombeni jamani tusaidiane hili. Mume wangu alikuwa masomoni nje ya nchi kwa muda wa miaka miwili, amerudi hivi karibuni. Aliporudi kanunua line ya Airtel ambayo ndio ninayoifahamu. Mie sikujua kumbe mwenzangu kanunua line ya tigo, ambayo hakunambia. Sasa siku moja usiku nashangaa msg inaingia:-...
 6. bombu

  Hizi hela nizitumieje?

  HIZI HELA NIZITUMIEJE? Jamani nimepewa Bonus hata sijui ya nini, ila nataka nizitumie ndani ya weekend hii ziishe. Kuna vitu nimeorodhesha hapa naomba ushauri ni kipi cha muhimu nikifanye kwa hili jibonus. Niende tour, hii inamaanisha kula, kunywa, kulala mbali na nyumbani--Company...
 7. bombu

  Meno ya mtoto

  Nina mtoto mdogo ambaye ndio ameanza kuota meno, lakini kilichonishangaza badala ya kuota meno mawili ya chini, limeota jino moja ambalo limegawanyika kwa juu (ni kama meno mawili yenye mzizi mmoja). Kuna watu wameniambia kuwa liking'oka hilo jino hakutaota jino jingine katika eneo hilo. Naomba...
 8. bombu

  Be aware of ripe banana!

  Shocking! PLEASE SHARE THIS NOTE TO ALL YOUR FRIENDS!!!!! I have always wondered where those guys who sell the tu-small bananas on wheelbarrows as seen at road roundabouts source them in such huge supply and uniform ripeness! This is so wrong..... Beware This is important, read...
 9. bombu

  Je, ni jukumu la nani?

  Katika jamii nyingi za kiafrika hususani Tanzania, mwanaume ndiye huanzisha mahusiano kwa kumtongoza binti na hata kumchumbia kwa lengo la kuwa pamoja. Sasa inapotokea mwanaume/kijana akamtongoza binti bila kuweka bayana iwapo ana nia ya kumchumbia namaanisha anamuomba wawe wapenzi, na binti...
 10. bombu

  Who is a slave here?

  WHO IS A SLAVE HERE? Dear Friends! Ever wondered how hard we work to fill our lives with luxuries that we hardly have time to enjoy? LOOK AT IT THIS WAY... The luxury Cars, Land Cruisers, RAV4's, BMW's, Mercedes that are parked 8 hours, driven 30min to the office and 30min back home and...
 11. bombu

  Ingekukuta hii......

  Ingekukuta hii...... Uko ndani ya "mkoko" boomba kabisa, unamwona binti mzuuuri, unaamua kumpa lifti. Akiwa ndani ya gari binti anapoteza fahamu, unaamua kumkimbiza hospitali, wakati ukisubiri nje unamwona nesi anayemhudumia akija uelekeo wako. Anakupa hongera kwa kuwa binti ni mjamazito...
 12. bombu

  Who says men don't remember anniversaries

  A woman awakes during the night to find that her husband was not in their bed.She puts on her robe and goes downstairs to look for him. She finds him sitting at the kitchen table with a hot cup of coffee. He appears to be in deep thought, just staring at the wall. She watches as he wipes a...
 13. bombu

  5 deadly terms used by a woman!

  ‎(1) FINE: This is the word women use to end an argument when she knows she is right and you need to shut-up. (2) NOTHING: means something & you need to be worried. (3) GO AHEAD: this is a dare, not permission , do not do it. (4) WHATEVER: A woman's way of saying screw you. (5)...
 14. bombu

  What a Sad Story

  Jamani nimefungua wall yangu ya fb na kukutana na hii issue, kiukweli nimeshtuka, sikitika na kushikwa na wasiwasi, Hebu soma uone jinsi huyu mtu alvyofanya unyama huu. "Friends, jana nimehudumia mtoto mchanga ameambukizwa HIV na Housegirl, Baba& Mama wako Negative na ni vijana sana. Nadhani...
 15. bombu

  Naomba tujadiliane hili

  Hivi kuna uhusiano gani kati ya umbile la nje (physical built up/morphology) la mwanadamu na matamanio ya kingono? Huwa nashangaa sana jinsi binadamu anavyojenga sababu na anavyo halalisha matamanio. Vitu kama makalio, chuchu, macho, miguu kwa (wanawake) au kifua, urefu, ufupi rangi n.k, vina...
 16. bombu

  Hahahaaaa , hii kali

  A little boy said: Mum do you know that our house girl is an angel? Mum: Why do you say that junior? Lil Boy: Because I saw her naked with her hands on the wall shouting oh God I'm coming..... I'm coming...... I'm coming, if not for dad that was holding her tight from behind she would have gone...
 17. bombu

  Hodi Hodi Jamvini

  Hodi Hodi jamvini, Naomba Nipokeeni, Pamweni Nijiungeni, Nipate Kujifunzeni. Mara nyingi nlitembelea, Maoni nkajisomea, Jukwaa nkajipendea, Maamuzi nimefikia. Majukwaa mefuatilia, Yote yamenivutia, Sinalo la kuchagua, Yote ninayasifia Nimepita mapenzini, Mengi meyasomeni, Sikuacha Siasani...
Top Bottom