Search results

 1. mis lemich

  Ni njia zipi sahihi kwa. Upande wako mwana JF

  Habari wana jf ... Katika migogoro ya kifamiliar au mahusiano. Ni njia IPI inayotumika kuleta maelewano Kati ya mume na mke wenye migogoro?
 2. mis lemich

  Umewahi kukutana na ukatili maishani mwako?

  Habari wakuu .. natumaini wote hamjambo Naomba tupeane ushirki wa mawazo na hata experience kwa aliyewahi kukutana na maswaiba ya ukatili ambayo had I Leo hii hawezi kuusahau ... ...... Unaweza kuwa ukatili ulokuathiri : kiakili :kihisia au kimwili...
 3. mis lemich

  Yatosha ..

  Nimegundua kumbe naweza bila huyu aliyechanachana moyo na maisha yakaenda yaliyopita kubaki hadthi baada ya kuona kumbe duniani watu wameumbwa kwa usawa wa aina yake .. Tofauti zetu ni chache Sana asilimia kubwa tunafanana . Maneno haya ni faraja tosha kuufariji moyo ili uache yaliyomo...
 4. mis lemich

  Am not disapoibted

 5. mis lemich

  Kwako mama, msichana au mwanamke, pata ushauri kuhusu uzazi

  Habari zenu wanajamiii Napenda kukumbusha kwamba Tanzania inapambana sana na vita dhidi ya vifo vya mama na mtoto kabla na baada ya kujifungua. Lakini suala hili bila ushirikiano wako wewe mwanamke au msichana uliye mjauzito bado suala hili litakua ni gumu. Kwanza unapokua karibu na...
 6. mis lemich

  Ukipenda kweli ukatendwa au kuachwa utafanyaje?

  Habari wakuu. Natumaini hamjambo....... Hivi.. Ukipenda na ukazama kweli. Na siku ikatokea ukaachwa au ukatendwa na umpendae ambaye tumaini lako lote lilikuwa kwake.... Utafanya nini ili uzimudu hisia Kali za maumivu?.. Kama imewahi kukutokea tushirikishe ulifanyaje .....
 7. mis lemich

  Unaomba ushauri kwani huna akili ya kufikiri mwenyewe?

  Habari wakuu, Mtu anaweka wazo kupata ushauri au kupata ideas za watu inamaana hana akili ya kufikiri mwenyewe? "Kunawatu wanaimani tofauti na hili tusaidiane hapa .."greatthinkers'
 8. mis lemich

  Ex wako akirudi kuomba kuyajenga. Atakuwa na maana gani?

  Habari za masiku wakuuu Umeachwa na mpenzi wako tena anakuringia wewe sio mzuri Sana ni wa kawaida kuna watoto grade one wanaomba nafasi kila siku kazi kwangu kuwachagua .. Anakuonyesha wazi akiwa na mwanamke...... Then anakuambia ... Naomba turudiane tuwe Kama zamani.... Hivi uyo atakuwa...
 9. mis lemich

  Nyimbo gani nzuri za kusikiliza ukiwa na maumivu ya kuachwa?

  Ni nyimbo za aina gani nzuri kujiliwaza unapokua upo mpweke na mwenye maumivu ya kuachwa[emoji17] [emoji17] .... Wakuu
 10. mis lemich

  Malizia hii sentesi upendavyo ukianza "....

  Mapenzi ni.......................
 11. mis lemich

  Mdahalo: Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaongoza kuchepuka?

  Hbari za alfajiri wana jamii.. hebu tupashane.. "Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaongoza kuchepuka ??"
 12. mis lemich

  Kwanini wanaume hawatulii na wake zao?

  Unakuta mwanaume ameoa mke ni mzuri wa sura shepu na sifa nyingi ..Lakini bado macho haya pazia .... Ni kwanini asilimia kubwa ya wanaume hawapendi kutulia indeed na wake zao?? tusaidiane wadau
 13. mis lemich

  Ni sheria ipi inayoruhusu mtoto achukuliwe na baba yake na akiwa umri gani?

  Habari ... Ni sheria ipi inayoruhusu mtoto achukuliwe na baba yake na akiwa umri gani....? Endapo wazazi wametengana
 14. mis lemich

  Nini unaweza kufanya kama mpenzi wako amekuacha kwa maneno ya kusikia kwa watu

  Nini au ni kitu gani unaweza kukifanya kama mpenzi wako akikuacha kwa maneno ya kusikia kutoka kwa watu [emoji101]
 15. mis lemich

  Natafuta mtu wa kubadIlishana nae kituo cha kazi

  Habari zenu wandugu Mimi ni nurse daraja la afsa muuguzi daraja la pili(RN) nipo wilaya ya iramba. Singida ...Natafuta Wakubadilishana nae kituo cha kazi atoke , ARUSHA IGUNGA, DODOMA, MOROGORO, SHINYANGA, KILIMANJARO,TANGA, tuwasiliane kupitia email. Leonidarosemichael@gmail.Com.
Top Bottom