Search results

 1. BASHADA

  J. K. Nyerere: We run walk while others walk. Naomba msaada

  Naomba mwenye kukumbuka anisaidie hiyo statement aliitoa Nyerere, mwaka gani na kwenye tukio gani. Ikiwezekana na kitabu chenye quotation ya hiyo statement nitafurahi
 2. BASHADA

  Kuna Mmasai tulikuwa tunasafiri naye alinishangaza

  Wiki iliyopita nilikuwa nasafiri kwa gari langu binafsi nikiwa na rafiki yangu. Njiani tukachukua abiria (Kama mjuavyo ni jambo la kawaida sana, kama namna ya kuchangia mafuta na wenye magari wengi hufanya hivyo). Tulipata abiria, ikabaki nafasi ya mtu mmoja tuu. tulipofika mji uliofuata...
 3. BASHADA

  Bei za matanki ya maji Dar au Moro

  Wakuu heshima kwenu. Nahitaji kujua bei za matanki ya maji kwa Dar au Moro kwa size tofauti tofauti na makampuni tofauti ili nijibalance kwa mpunga wangu kidogo nichukue size gani na kampuni gani. Mimi siko Dar ila itabidi nifanye mpango na wenye magari wanaopeleka mizigo Dar wanaporudi warudi...
 4. BASHADA

  Incubator mashine inauzwa

  Capacity mayai 704, ni automatic. Imetumika kwa miezi 5 tuu, bado Mpya. Inatumia umeme. Iliunuliwa kwa bei ya 2.2m, lakini kwa sasa kuna inauzwa 1.7m. Anayeuza ana family problem ya haraka. Mnunuzi serious maongezi yatakuwepo
 5. BASHADA

  Je kuna madhara gani kama hutoenda JKT?

  Hii ni kwa wahitimu wa kidato cha sita. Je, mtu aliyechaguliwa kwenda alafu asiende atakumbana na madhara gani huko mbeleni? Je, hatachaguliwa kwenda chuo? Naomba majibu yasiyo na jazba, nimeulizwa huku uswazi nikajikuta sina jibu
 6. BASHADA

  Vifaranga wa kuku wa kienyeji- Iringa

  Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Toa order yako mapema, unaweza kupata vifaranga at least 100 kila wiki (uwezo wangu ni kutoa vifaranga 150 kwa wiki) Wewe utaamua unahitaji wenye umri gani, kuanzia wiki moja, mbili, tatu au mwezi mmoja. Mteja atapata ushauri wa bure jinsi ya...
 7. BASHADA

  Nafikiria kupiga kura ya mbunge na diwani tu

  Nimetafakari jinsi kampeni zetu zinavyoenda, mpaka sasa sijaona mgombea urais ambaye ananishawishi. Nimejikita kufanya tathmini ya wagombea wa CCM na CHADEMA (UKAWA). Vyama vingine ni wasindikizaji. Kati ya hao wawili, sijaona mwenye kutimiza kiu yangu. Kuna issues za msingi hazizungumziwi...
 8. BASHADA

  Ushauri kuhusu Umbilical Hernia kwa mtoto wa miaka 7

  Wadau naomba ushauri maana naelekea kuwa confused. Nina mtoto mwenye umri wa miaka 7. Huyu mtoto amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuumwa tumbo kwa style ya kushtukiza, yaani inamuanza ghafla na baada ya muda fulani anapata nafuu. Nimejaribu kwenda hospitali mbali mbali, lakini wamekuwa...
 9. BASHADA

  UDSM, DUCE and MUCE: Shift from Unit system to credit system

  I am quite aware that some Universities are using credit system. But UDSM and its constituent colleges (DUCE and MUCE) which were previously using unit system will change to credit system, from this 2014/2015 academic year. This system will start with first years (without affecting the...
 10. BASHADA

  Mfanyakazi wa ndani yatima, amenusurika kifo kwa kunywa sumu kwa mateso

  Wana JF, naomba ushauri wenu huyu binti niliye naye story yake inasikitisha sana, mpaka wakati mwingine inaniliza. Kama mjuavyo maisha yetu haya ya Mr & Mrs kuwahi maofisini lazima utafute msichana wa kazi. Kwa kuanzia, mke wangu alitafuta msichana ambaye ni ndugu kwa upande wa kwao lakini...
 11. BASHADA

  EX GALANOS 1997-2000, hawa watu wako wapi?

  Kwa wale tuliosoma Galanos A level miaka tajwa hapo juu, naomba mwenye taarifa za watu wafuatao wani pm na ikiwezekana nipate contacts zao Shumbi Jackson, alikuwa Prefect mpole sana. Alimaliza 1999. Lohay (jina la pili linanitoka, nasikia yuko Babati ni mwanasheria lakini sina contacts...
 12. BASHADA

  Graph ya ndoa, kwa nini inakuwa hivi?

  Uzoefu unaonyesha kuwa ndoa nyingi (siyo zote) kadiri siku zinavyoenda ndivyo mashamsham ya upendo hupungua na maisha kuwa kama kawaida. Ndoa nyingi hususan zenye miaka kuanzia kumi na kuendelea grafu zao za upendo zimeshuka sana. yaani mume hata akisafiri haoni uzito sana kummisi mke wake, na...
 13. BASHADA

  Msaada plz matatizo ya macho (upofu)

  Wadau, habari za leo. Mimi niko mikoani, nina shemeji yangu (dada wa mke wangu) ana binti yake kule Lushoto. Huyo binti imefikia hatua ya kuachishwa shule kwa sababu ya upofu. Mwanzoni alikuwa anaona japo kwa shida ila taratibu kadiri muda ulivyokuwa unaenda akawa haoni na imefikia hatua hata...
 14. BASHADA

  CCM hawaishiwi mbinu: Soma hapa

  Hii ni mbinu mpya imeibuka sasa hivi kwenye taasisi za serikali, kuna kikundi kinajiita wafanyakazi wanachama wa CCM wameunda umoja wao na wanafanya vikao na mikakati ya kuimarisha chama kwa kuongeza wanachama kwa kuwashawishi. Wanapita ofisi kwa ofisi. Halafu wanaenda kukuandalia kadi hata kama...
 15. BASHADA

  Basi la sumry mbeya arusha na harufu ya ufisadi

  Ndugu wana jamvi, hivi majuzi nilisafiri na basi la Sumry lililokuwa linatoka Arusha kuja Mbeya. Tulipoondoka Morogoro, alipanda mtu mmoja aliyevaa nguo za Jeshi (bila shaka ni mwanajeshi yule),tulipofika usawa wa lile bwawa upande wa kushoto ukielekea Iringa (Sijui jina lake), na kabla ya...
 16. BASHADA

  Channel 10: Francis Godwin ateta, nusura auawe

  Kipindi cha Hamza Kasongo, mwandishi wa Iringa na makamu wa IPC na mmiliki wa blogu ya francisgodwin ametoa ushahidi kuwa alikuwa akijaribu kupiga picha baada ya Mwangosi kuuawa, polisi wakamnyooshea bunduki akakimbia akapotelea porini msituni. Aliporudi akachukuliwa na dereva wake, akawa...
 17. BASHADA

  Mgomo dhidi ya jeshi la polisi nchi nzima

  Nikiwa na uchungu, machozi yakinilenga lenga nimetafakari jambo hili. Napendekeza tuwe na mgomo dhidi ya Jeshi La Polisi nchi nzima. Kila mtu amsusie polisi popote pale, tukikutana barabarani, unapita kwa mbali usimsogelee, kwenye hoteli, bar etc. ukimkuta amekaa hakuna raia kumsogelea, na...
 18. BASHADA

  Redio DW: Watu 32 wamekamatwa wakielekea Mbeya kwenda kufanya vurugu

  Redio DW BON, imeripoti kuwa JEshi la polisi limewakamata watu 32 waliokuwa wakiend Mbeya kwenda kufanya vurugu, wakitokea Iringa. Pia Kuna watu waliokamatwa kuhusiana na kifo cha Daudi Mwangosi. Msemaji wa Polisi ameulizwa kuhusu kilichomuua Mwangosi, JIBU: Inasemekana anepigwa na kitu ambacho...
 19. BASHADA

  Nape: Marufuku kutumia ofisi za serikali kutimiza matakwa ya kisiasa...

  Jamani taarifa ya habari Leo usiku huu Nape kama kawaida yake akiongea kwa kufoka akiwa Mufindi amesema watumishi wa serikali wanaotumia ofisi za umma kutekeleza matakwa ya vyama fulani vya siasa sasa marufuku. Source: TBC
 20. BASHADA

  Udhalilishaji wa wanawake: Afisa ustawi wa jamii (w): Nimejisikia tu kutokuzungumza

  Nimeangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku huu ITV, huko Tarime kuna mwanamke ameripotiwa kupigwa na mumewe mara kwa mara na hatimaye kufukuzwa na pamoja na watoto sita. Waandisi wa habari wakamfuata afisa ustawi wa wilaya ambaye alikataa kuzungumzia tatizo hilo, alipoambiwa kwa nini? Akajibu...
Top Bottom