Search results

 1. Werrason

  Thamani ya mke

  Wasalaam wana jukwaa, kuna hii story nimeikuta mahali nataka kushea nanyi..... Mume alirejea nyumbani na kukuta ujumbe juu ya meza umeandikwa "NIMEONDOKA" ilikuwa jioni, alienda jikoni na kukuta kukavu, aliwaita watoto na kuwauliza wakasema walimuona Mama akiondoka na begi lakini hakuwaambia...
 2. Werrason

  Daktari na Mgonjwa

  Daktari alikuwa anamuandaa Mgonjwa ili amng'oe jino, hivyo akawa anajaribu kumpa stori za hapa na pale kama kumtoa wasiwasi. Daktari: unajua jinsi “gloves” zinavyotengenezwa? Mgonjwa:Hapana. Daktari: Huwa wanachukuliwa watu wenye viganja vyenye saizi mbalimbali, wanapakwa vitu vya aina ya mpira...
 3. Werrason

  Kwa ke wote popote mlipo!

 4. Werrason

  Mack D yuko wapi?

  Leo nimeukumbuka wimbo wa ''jumba bovu''" nimemkumbuka mchizi wa Dar Skendo. Kuna nyimbo zake kali zilizobamba kama "Baisho" akiwashirikisha unique sisters na wimbo "njoo cheza nami" Yuko wapi siku hizi? Anapiga ishu gani? Muziki ameacha???
 5. Werrason

  Inglish Midiam Skul

  Karibuni
 6. Werrason

  Bibi wa Town

  BIBI HATARI WA KUPINGA Bibi alienda benk, akataka aonane na meneja. MENEJA:unashida gani bibi? BIBI:nataka kufungua akaunti niweke milioni 30 zangu ss hivi. MENEJA:mh! Pesa zote umezipata wapi? BIBI: Nimezipata kwenye mchezo wa KUPINGA, hata wewe ukitaka tunaweza pinga tu! MENEJA: Mmh...
 7. Werrason

  Mkanye mkeo!!!

  Blaza mkanye semegi....
 8. Werrason

  Nimeikuta Mahali

  No comment
 9. Werrason

  Haya ni madini ya aina gani?

  Haya ni madini gani?
 10. Werrason

  Ingekuwaje?

  Salamu wana chit chat. Hivi siku moja tunaamka tunakuta watu wote tumebadilika jinsi, yaani me wamekua ke na ke wamekua me ungefanya nini?? Hapo wife wako anaamka ndio mume wewe mke! Binti zako wamekuwa wavulana and vice-versa Je dunia ingekuwa nzuri zaidi ya wakati huu? Kwa mtizamo wa...
 11. Werrason

  The darkest hour is just before dawn.

  Wanajukwaa hususan Wanamabadiliko kuna msemo kuwa kadiri mnapokaribia ngome ya adui vita huwa kali na vifo vingi hutokea kwenye mapambano, hivyo msiogope kwa thread zilizojaa huku toka kwa wapinzani! Mkurugenzi alikiri ccm wamewekeza kwenye mitandao, mlidhani ni nini??? Tunapaswa tumalize...
 12. Werrason

  Nimeikuta Mahali!!!

  Je kuna uhusiano au coincidence???
 13. Werrason

  No Comment

  Sijui anamjibu nani!!!
 14. Werrason

  Hii rangi ya mlango sio!!!

  Huyu fundi brn!
 15. Werrason

  Ukweli

  Kuna ukweli hapa!
 16. Werrason

  Msaada: Mahari kwa wasambaa inatolewaje?

  Habari wana MMU. Kuna rafiki yangu anajiandaa kwenda kujitambulisha ukweni Lushoto Tanga, sasa alikuwa anaomba msaada wa mtu anaejua utaratibu na hata kuorodhesha vitu vinavyotakiwa kwenye mahari kwa kabila la wasambaa. Atashukuru kwa msaada wenu
 17. Werrason

  Swali kwa waliooa

  Naomba waliooa na kuolewa pia mnakaribishwa kushare experience zenu, bila kusahau wadau ambao ni single si vibaya tukapata maoni yao. Hivi wanaume mliooa, mlioa wachumba/wanawake mliowapenda(bila kujali sana tabia)? au mlioa wanawake sahihi(mwenye tabia njema,mama, msikivu, mvumilivu,mcha Mungu...
 18. Werrason

  Hodi ndani, nimechoka kuchungulia dirishani.

  Hello GT,wakuu nimechoka kuchabo nami naomba kuwa mmoja wenu.
Top Bottom