Search results

 1. Mawawa

  Wakimchezesha Morrison, Niyonzima na Lamime ' wanapigwa ' 3 kwa 0, ila wasipowachezesha ' watapigwa ' 2 kwa 1 au 1 kwa 0

  Mpira uwanjani mzee siyo mbaya ngoja tusuburi utabiri wako.
 2. Mawawa

  Wiki ya pilika pilika mitaa ya Msimbazi na Jangwani

  Miamba ya soka Tanzania Simba na Yanga jumapili hii zitamenyana katika kombe la FA hatua ya nusu fainali. Ikumbukwe msimu huu yanga kapata matokeo mazuri dhidi ya mtani wake simba. Jana katika pita pita zangu nilipita kwenye moja ya vijiwe vikubwa vya mashabiki wa timu hizi. Kulikuwa na...
 3. Mawawa

  Amaboko ya Diamond & Rayvanny yabuma

  Sikia dayamondi kampigie magoti harmonize lasihivyo chama linakufia mkononi🤣🤣🤣🤣
 4. Mawawa

  Amaboko ya Diamond & Rayvanny yabuma

  Wcb siku hizi wameishiwa hawana ubunifu kama kipindi cha nyuma. Toka waondoke mavoko na harmonize chama linazidi kudidimia.
 5. Mawawa

  Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

  Mimi mtanzania wa darasa la saba naona mapicha picha tu uchumi wa kati ndio nini? Ufafanuzi tafadhali.
 6. Mawawa

  Ubunge wa Tanzania ni wa hovyo kabisa

  Acha kufananisha mchanga na dhahabu. Bulaya tu peke yake ni zaidi ya wabunge wote wa lumumba, a.k.a wazee wamapambio🤫🤫🤫
 7. Mawawa

  CCM: Hatma ya Uanachama wa Membe ilishafika mwisho akitaka aombe upya au asubiri msamaha!

  Sisi wana ccm tupo nyuma yako goo goo Membe.
 8. Mawawa

  Uchaguzi 2020 CCM kuangukia pua Tarime Vijijini

  Acha akili za kisogoni wewe kwa miaka 50 mmewafanyia nini watanzania zaidi ya kuwafanya maskini wa kutupa.
 9. Mawawa

  Uchaguzi 2020 CCM kuangukia pua Tarime Vijijini

  Kwani yeye ndio anapiga kura? hii nchi siyo ya baba enu mkafikiri mnaweza kutuamulia watanzania poor lumumba.
 10. Mawawa

  Uchaguzi 2020 Tuseme Ukweli tu: Ikitokea Dkt. Tulia akashindwa mimi nipigwe Ban milele humu JF

  Sawa dr Tulia acha kulialia, kama itatendeka haki ubunge mbeya utausiki tu kwenye mitandao, alafu acha kujikomba komba na vihongo vyako vya bajaji.
 11. Mawawa

  Uchaguzi 2020 Arusha Mjini: Lema Vs Gambo; Lema atashinda mapema mno

  Labda kwa mitutu yaani Arusha mjini Gambo awe mbunge?✌✌✌
 12. Mawawa

  Uchaguzi 2020 Kampeni inayosambaa Iramba ni "Kumi ya Dkt. Mwigulu Yatosha"

  Kama mbeya mjini, Arusha mjini, kawe, Ubungo, Mikumi, Hai, Moshi mjini etc. Si kweli eeeh😊😊😊
 13. Mawawa

  Hivi ni lazima chaguzi zetu zisimamiwe na wasimamizi kutoka nje? Afrika tutakuwa watumwa mpaka lini?

  Wewe mwenyewe hapo ulipo kuisimamia familia yako tu hauwezi.
 14. Mawawa

  Maigizo ya Ikulu na UVCCM jana Ubungo 19 Jun 2020

  Toka lini muvi ya kibongo ikanoga 🤣🤣🤣
Top Bottom