Search results

 1. jipitishe

  Msaada wa Thin client Software

  Habar wana jamvi Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu free thin client software, nimejaribu kuinstall open thin client but napata error so kama kuna mtu anajua nyingine plz help! Natanguliza shukran zangu kwenu wadau
 2. jipitishe

  Msaada wa Kisheria (sheria za kazi)

  Habari zenu wadau Naomba kujuzwa juu ya hili. Mimi niliajiriwa sehemu fulani na nimefanya kazi kwa takriban mwaka mmoja. Lakin sikuwa nimepewa contract zaidi ya offer letter na confirmation letter(nilipewa confirmation baada ya kumaliza probation) ila sikupewa contract wakawa wananipiga...
 3. jipitishe

  Tujikumbushe vitabu vya zamani

  Karudi baba mmoja na sizitaki mbich hizi si hadithi hizo ni mashairi hayo....
 4. jipitishe

  Jinsi YA KUCHAT NA RAFIKI YAKO KWENYE LAN using COMMAND

  :bolt: Hii ni kwa ajili ya windows...na sisi wa linux inakuwaje?
 5. jipitishe

  Aliyefanya interview CRDB...

  Habari yako Madewa na wana Jf Mimi sikufanya hiyo interview ila kuna msela wangu ameajiriwa juzijuzi hapo CRDB km IT officer na amefanya interview mwezi wa sept ila sijui tarehe ngapi.
 6. jipitishe

  Ras simba

  Habar wana JF hususan wa jukwaa hili la lugha! Nimekuwa nikitafuta kwa muda mrefu mwalimu (kituo kizuri) mzuri wa lugha ya kiingereza na nilipata kumsikia jamaa anayeitwa RAS SIMBA,naomba kuuliza yafuatayyo: 1: Ofisi zake zilipo 2: Kwa wanaomfahamu naomba wanipatie sifa zake ama uwezo wake ktk...
 7. jipitishe

  How to create Mail server in linux

  Thanks kwa advice... Ila achana na siasa hili ni jukwaa la technology just dadavua how to configure for mass mailing and for single mailing.....
 8. jipitishe

  How to create Mail server in linux

  Hallow iMind Kwanza kabisa nashkuru kwa mchango wako nasi kwamba sikugoogle kama unavyo dhani niligoogle na nimejifunza mambo mengi from different sources even the link given by vitendo hapo juu mi nilishapita huko kitambo ila lengo la mimi kuuliza ni kama ifuatavyo: 1: Ni kutoa fursa kwa...
 9. jipitishe

  How to create Mail server in linux

  Thanks for your response
 10. jipitishe

  How to create Mail server in linux

  Greetings! Kindly advice step by step how can I create and configure an e-mail server in a linux server which will be able to send and receive (SMTP) and pop mail(pop3) and also be able to manage users' e-mail accounts(such as create, delete) Kind regards
 11. jipitishe

  Danganya mwenzako

  Wazee wa dar es salaam........
 12. jipitishe

  Shortlisted.

  Mtoa mada alieleweka kwa 100% ila kwa kuwa wengi wenu humu JF huwa mnakurupuka ku reply kabla ya kufanya uchambuzi yakinifu na kutokuwa serious....kama vp mbaki kwenye jukwaa la jokes tu...
 13. jipitishe

  NSSF's second call

  Endelea kusubiri.....japo kuna tetesi kuwa yaweza chukua mwaka watu kuitwa NSSF.....
 14. jipitishe

  Nimeitwa kwenye interview NSSF kwa njia ya sms!!!

  Acha kuendekeza mambo ya udini wewe!....tena hii inaonesha jinsi gani wewe ulivyo mdini ndo maana baada ya kutafakari na kutoa points za msingi we unaleta udini......ACHA HIZO ***** WEWE.
 15. jipitishe

  Msaada Kuinstall Airtell Modem kwenye Ubuntu 10.04

  Thanks Ginner!... So you adviced me to switch to ubuntu 11.04....
 16. jipitishe

  Msaada Kuinstall Airtell Modem kwenye Ubuntu 10.04

  Tafadhali naomba msaada wenu kuhusu kuinstall airtell modem kwenye ubuntu 10.04 Natanguliza shukrani zangu kwenu....
 17. jipitishe

  log on incoming mail server before sending

  hey guys!... Nilipata tatizo la kusend email kwa kutumia outlook ilikuwa inaleta error 800ccc80, nilifanikiwa kuondoa tatizo baada ya kugoogle na kupata cha kufanya kuondoa hilo tatizo but I want to know why I have to log on incoming mail server before sending...?
 18. jipitishe

  Tofauti ya blog na website

  Ahsante mkuu...
 19. jipitishe

  Tofauti ya blog na website

  Wadau naomba kujuzwa juu ya tofauti ya blog na website, hususan nataka kujua kuhusu blog ni kitu gani na website ni kitu gani? Ni hayo tu....
Top Bottom