Search results

 1. people citizens

  Ebu taja sifa za jiji la Dar Es Salaam

  Mimi naanza ni jiji nzuri kama una pesa Wewe vp
 2. people citizens

  HAPPY JULY FOUR

  Leo ni siku ya uhuru wa marekan je kama na ww ni team usa leo tunasherekea uhuru ambao tulio upata kwa nguvu zetu wenyewe kupitia mkuu wa jeshi kipindi icho GEORGE WASHINGTON Je unasherekea ukiwa wapi mm nipo Albany New York
 3. people citizens

  Jay Z amekuwa mwanamuziki wa kwanza bilionea

  Siku zote mtu uanza kwa kupima bila kujali atafanikisha au la ongera mr Carter kwa kufika apo ulipo unastahili ongera yani mziki umekufanya uwe tajiri akika ww icon wa mziki
 4. people citizens

  Kuna watu wa bahat ya kuolewa cheki mkwanja ulivo mwangika apa

  Aaaah je uko ni ngap bora kuoa africa tu kaka angu wame mla nini
 5. people citizens

  Miaka 10 yangu marekan

  2008 to 2019 Asante mungu wangu kwa mafanikio ulio tupa familia yangu leo baba angu ni mwalimu mkuu mama anamiliki kituo cha kulea watoto a.k.a DAY CARE yani kwa life ya kiafrica sikuzan kama tunaweza fika apa tlipo Asante mungu akika ww ni wa rehema kwangu leo mm nina ndoto ya kuja kuwa lawyer...
 6. people citizens

  MSAADA PLEASE MWENYE UWEZO

  Je naweza kupata passport ya kitanzania nikiwa inje ya inchi nikafanya process zote nikiwa inje ya nchi bila kutumia jia ya embassy tafadhal kama uwezekano upo kuna zawad zipo kwa ajili Akoo naomba msaada tafadhal ukiwa na ujuz zawad ni 100 USD Stak kutumia jia ya embassy kwasababu ya sina tz...
 7. people citizens

  Natafuta nyumba ya kupanga Masaki kwa muda wa wiki mbili 2m

  Sina mengi ya kusema kama title inavosema naitaji msaada nipo inje ya ich kwa mawasiliano nitafute kwa email Adress yangu saidiabaheya123@gmail.com shart vitu kilakitu kiwepo dani Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom