Search results

 1. B

  Theft at Dar Airport last checkpoint. Be aware!

  Theft at the FINAL Security Checkpoint in Dar Int'l Airport I am writing this personal experience not to get any sympathy from the reader but to raise awareness to the public out there not to fall Victim as I have. I wouldn't want to see or read any of you getting the same or a similar...
 2. B

  Adha tunazopata mitaani kwa matangazo kwa kupitisha magari ya Ma-Speaker makubwa kwa kupaza sauti

  Kila mwanachi anastahili kupata utulivu nyumbani kwake. Hiyo ni haki ya msingi kwa kila raia. Mbali ya hayo wengine tuna wazee wenye matatizo mbali mbali, wengi wao wanahitaji utulivu majumbani mwao. Pia wengine tunawatoto wachanga, kina mama wajawazito etc etc. Kelele za aina yoyote hazipaswi...
 3. B

  Cheti cha University kimeokotwa

  Cheti kimeokotwa hiki pamoja na cheti cha form four na six vyote original.Tafadhali sambazeni kwenye groups nyingine.Piga simu 0784292758
 4. B

  The Anti-Christ Paul

  This article is based on facts and all references are well noted. Welcome to a Genuine Well Mannered & intellectual discussion. Come with your facts and references. This is not a place of Use of bad language or Insult on any one's faith. Only facts. Enjoy! Follow Jesus or Follow Paul? The...
 5. B

  Cement Bukoba

  Kwa ndugu zetu wakati wa Bukoba. Bei ya cement Bukoba kwa Jumla inafika bei gani?
 6. B

  The history of Christmas

  The History of Christmas origin of christmas I. When was Jesus born? A. Popular myth puts his birth on December 25th in the year 1 C.E. B. The New Testament gives no date or year for Jesus’ birth. The earliest gospel – St. Mark’s, written about 65 CE – begins with the baptism...
 7. B

  ATHARI ZA KURUHUSU MACHINGA BARABARANI.

  *WAMACHINGA* *Wamachinga wameachiwa ruhsa kabisa popote wanapotaka wapange na wala wasibughudhiwe ....* Matokeo ya Uamuzi huo..wa kuipendela sehemu moja ya jamii... Jamii zengine nyimgi zimeathirika sana *Wenye maduka* wamevamiwa sehemu zao za kupita wateja hawana ubavu wakuwasogeza...
 8. B

  Dk. Mwele Ntuli Malecela kuachishwa kazi.

  Zika na NIMR Dk. Mwele Ntuli Malecela leo si Mkurugenzi tena wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Ikulu leo imemtangaza Profesa Yunus Mgaya kuwa mbadala wake. Kwanini Mwele kaondolewa? Nimeulizwa hili swali na baadhi ya watu nami nikauliza hapa na pale ili kupata majibu. Na...
 9. B

  1500 years Old Bible found in Turkey

  Interesting. It says Jesus was never Crucified!
 10. B

  CHUKUA TAHADHARI

  TAHADHARI kwa wale wanaotumia barabara za makutano ya ubungo, kuna mtoto wa kiume mwenye Kati ya miaka 11-12 ambaye ni mwizi na anatumia dawa za kienyeji kutekeleza uhalifu. Anachofanya ni kusogelea magari yaliyoko kwenye foleni. Inaweza kuwa foleni ya kutoka mjini, kimara, mwenge au buguruni...
 11. B

  The HIDDEN story of how US was used to build Israel.

  Check out the utube link of a writer & researcher Alison Weir. Very interesting information.
 12. B

  Should Tanzanian Government Censor Dirty music video clips & Lyrics?

  Music plays an important role in the socialization of children and adolescents. Almost everywhere its available through radio various recordings, internet and new technology’s parents are unaware of lyrics which their children’s are listening to due to children listening through earphones. The...
 13. B

  Watanzania Tulipotoka na Tunapoelekea

  Nchi yetu ipo katika utawala wa CCM tokea Uhuru hadi hivi sasa. Nchi imefikia katika hali hii mbovu ya kiuchumi na maendeleo kutokana na sera mbovu za uendeshaji nchi tokea uhuru hadi mwishoni wa awamu 4. Mbali ya kuwa na rasilimali na malighafi za kutosha, hii ni wazi kuwa Tanzania tumeshindwa...
Top Bottom