Search results

 1. A

  Usaili Auditor grade II

  Habari zenu? Utumishi walitangaza nafasi za kazi za auditor grade II, naona wameita watu kwenye usaili mwenye majina please nayaomba maana nimejaribu kuyatafuta siyaoni. Note: Kwenye account yangu inaonyesha nimeitwa kwa kwenye usaili na number ya usaili ipo ila ishu ni kwamba majina ndiyo...
 2. A

  Msaada: Anayejuwa zilipo ofisi za UMATI kwa Dar

  Habari zenu, Naombeni msaada anayejuwa zilipo ofisi za Chama Cha Uzazi na Malezi Bora (UMATI) ofisi kuu anipe maelekezo nafikaje hapo mie nipo Gongo la mboto,, Naombeni msaada nahitaji kufika kesho Asanteni
 3. A

  Dar kumejaa wanawake wazuri sana

  Habari, Kweli nimeamini mjini ndio kila kitu! Hivi hawa wanawake wanao patikana hapa dar mbona wako tofauti sana na wa mikoa mingine? Wale wanaume mnaokaa huko mikoani njoneni mchukuwe wanawake hawa maana ni... 1. Wazuri sana 2. Wanajuwa kupika 3. Wanajuwa mambo ya 6*6 4. Wasafi 5. Hawana...
 4. A

  NAHITAJI LAIN YA M-PESA KWA WATU WA MBEYA TU.

  Habari wana Jf Nahitaji lain ya M-PESA isiyo na shida yoyote kwa watu wa mkoa wa mbeya tu maana muhitaji wa hiyo lain yuko mbeya mjini. Kama unayo na unapatika mbeya hasa mbeya mjini wasiliana na namba 0752 646907 , Bei ya lain ni maelewano kati ya mmiriki wa laini hiyo na mnunuzi. Asanteni,
 5. A

  Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

  Habari zenu, Kama unatafuta kazi kwenye hizi NGO's ziwe za Local au International kuna usanii mkubwa sana kwenye kuajili au kwenye ajira zao. Yani wanajifanya wanatangaza kazi na kuita watu kwenye usaili kumbe wana Mtu wao mapema yupo na kazi ashaanza wanaita na kukufanyia usaili wakiwa...
 6. A

  Msaada wa Kufika BEST WESTERN CBD HOTEL jioni hii.

  Habari zenu, Naombeni msaada wa kufika BEST WESTERN CBD HOTEL, mie mda huu niko huku G/mboto, nataka nikaianzie wikend yangu hapo yani Kula, kunywa na kulala mpaka jumapili hapo hapo. Mwenye kujuwa au kuelewa nifate daladala gani? na nisimame kituo gani? Msaada please
 7. A

  Watu wa Procurement and MaAccountant baadhi

  Natumaini wazima, Naombeni msaada wa kuelewa hizi quatation zinanichanganya sana, mie nimesomea fani nyingine kabisa ila nataka kujuwa hizi kutokana na shughuli zangu ninazao zifanya. yani Nataka kujuwa FIRST QUATATION-hapa kuna kuwa na document gani SECOND QUATATION-pia hapa kuna na...
 8. A

  Nauza bajaji ipo Mbeya Mjini

  Habari zenu, Nauza bajaji ipo mbeya mjini, iko katika hari nzuri haidaiwi na mtu wala mamlaka yoyote. Sababu ya kuiuza ni usumbufu ninaopata unaotokana na madereva wenyewe niliowapa kazi ya kuendesha na kuniletea hela. Mtu yoyote anayehitaji bajaji anaweza kuja mwenyewe au na fundi wake...
 9. A

  Nauza bajaji iko mbeya mjini

  Natumaini ni wazima,, Nauza bajaji iko mbeya mjini, iko katika hali nzuri haidaiwi chochote na watu wala mamlaka yoyote na haijapigwa rangi. Sababu ya kuamuwa kuiuza ni usumbufu na karaha za madereva ninaowapa kazi ya kuendesha na kuniletea hela, nauza bei ya hasara tu ni Tsh 2,900,000/= ila...
Top Bottom