Search results

 1. POMPO

  Update: Mkutano wa Mbowe Shinyanga Mjini

  Wanaukumbi., Kamanda wa anga, Mh. Mbowe atakuwa na kikao cha ndani cha kanda ya seregenti na watia nia wote wa majimbo husika ya Shinyanga, Simiyu na Mara Hakuna kulala hakuna kula kazi ya ukombozi inaendelea. 'People's
 2. POMPO

  Kahama: CCM wafanya vurugu kwenye kikao cha Mbowe

  Aman iwe nanyi wanajamvi. Huda huu 22:20 09.03.2015. CCM kupitia kwa baadhi ya wanachama wa CHADEMA wanafanya furugu katika mkutano wa Mh.Mbowe na wadau wa CHADEMA Kahama. Kamanda Mbowe kamaliza kuhutubia mkutano wa hadhara leo jioni kwa aman kabisa na kisha kuanza kuendesha vikao vya ndani...
 3. POMPO

  BAVICHA kuandaa maandamano nchi nzima kushinikiza Prof Mhongo (Kiporo) kujiuzulu

  Walaamu. Uongozi wa Baraza la VijanaCHADEMA Taifa. BAVICHA umemaliza kikao chake cha dharula pamoja na mambo mengine kwa pamoja kimeadhimia, Kuratibu maandamano nchi nzima yasiyo na kikomo kuanzia Jumatatu wiki ijayo kwa madai mbalimbali ikiwemo 1. Kuchukuliwa hatua ya kinidhamu kwa...
 4. POMPO

  Bunge lasitisha mjadala wa Tegeta Escrow Account

  Bunge limesitisha mjadala / report ya sakata la ITPL / Escrow account. Hii inatokana na mapema leo. Mh. Lukuvi kutoa ratiba mpya ya shughuli za bunge na kushindwa kuonyesha ni lini ratiba ya kuruhusu mjadala huo. Mbunge wa CUF ameonyesha wasiwasi huo pamoja na Sugu. Baada ya hoja hiyo...
 5. POMPO

  Live on ITV: Kipima Joto na Tume ya Jaji Warioba

  Wanabodi. Karibuni kufuatilia kipima joto live kutoka studio za ITV, leo Ijumaa tarehe 07 /11/ 2014 saa 0900, Ambao hamna access na ITV karibuni msibanduke JF. Mpaka kieleweke Mada.: katiba inaopendekezwa. Je haki ya kushiriki katika mchakato umezingatiwa? Bwana Polepole, anasema swala...
 6. POMPO

  Kumekucha: Maalim Seif Hamad Kujiuzulu umakamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

  Wakuu, Hali ya mambo visiwani Zanzibar siyo nzuri hata kidogkids goo, (wala si ya kufurahia) toka jana jioni ilipotoka taarifa ya kufukuzwa kazi kwa Mwanasheria Mkuu wa SUK Athuman Masoud. Kumekuwa na vikao usiku kucha kwa viongozi na wanachama wa CUF Zanzibar, na kuazimia pamoja na mambo...
 7. POMPO

  Songea: Nchimbi apata pigo tena, kamanda fuime kumvaa

  Baada ya kuombwa na wazee na vijana wa songea mjini... Kamanda Fuime akitangaza nia, leo 02March 2014, katika kata ya Lizaboni- MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Ruvuma Joseph Lusius Fuime ametangaza nia ya kugombea Ubunge kwa tiketi ya Chama hicho katika...
 8. POMPO

  Obama kuwasafisha Lowassa na Rostam!

  Rais wa USA- Kamanda Obama, kutembelea mitambo ya Symbion, ambayo ilitokana na Dowans, ilioleta kashfa ya ufisadi na kupelekea waziri mkuu, wakati huu Lowassa kujiuzulu. Je! Hii ni nguvu ya Lowassa na Rostamu?. Je! Ni kutaka kumsafisha? Je! Hafahamu mitamba anayoendelea ilianzia wapi...
 9. POMPO

  City sports lounge mnatukera

  city Sport Lounge, mgahawa uliopo katikati ya jiji la Dar, mtaa wa Samora/Azikiwe, kwenye round about ya askari, umekuwa ni kero sana kwa sasa, kila mara hakuna umeme, ama mafundi kila siku wanatengeneza, YES, watu hupenda kufika pale kupata moja moto moja bariiiidi lakini mnatu-bore CC Tusker...
 10. POMPO

  Bungeni: JJ Mnyika azidi kuonyesha udhaifu wa Serikali ya CCM

  Wakuu, Hivi sasa bungeni anaongea mbunge wa Ubungo, Mh! Mnyika, ameendelea kuonyesha udhaifu wa serikali kwamba: - Mkataba wa kimataifa wa kubabili uhalifu, umeletwa toka 1973 ha leo ni 2013, miaka arobaini, ndio serikali inauleta mkataba wa bungeni. -JK aliongopa kwenye mkutano wa APR Afrika (...
 11. POMPO

  Tuienzi vipi siku ya kumbukumbu ya kifo cha Mwl. Nyerere?

  WanaJF, Ni miaka 13 toka Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere atutoke, Alizaliwa tarehe 13 Aprili, 1922. Alifariki dunia 14 Oktoba, 1999, daima atakumbukwa kuwa: Ndiye rais wa kwanza wa Tanzania aliiongoza Tanzania toka mwaka 1961 hadi mwaka 1985. Anakumbukwa na watanzania...
 12. POMPO

  The Truth About Men...

  "I can't find Mr. Right." This is the most common complaint I've heard over the last several years from friends and strangers from all walks of life. This is not a unique perspective of a particular class, race, or socioeconomic stratum but applies to college freshman as well as successful...
 13. POMPO

  Ester Matiko alipua Jeshi la Polisi kwa mauaji

  Mbunge wa viti maalum CCM, amesema bungeni kuwa Polisi mkoa Mara wanahusika na kumuuwa kijana Chacha ambaye anatuhumiwa kwa wizi wa kuku.
 14. POMPO

  Mechi ya waheshimiwa wabunge

  Wakuu, kuna matangazo mbalimbali yanaendelea hapa nchini kuwa kutakuwa na mechi ya mpira wa miguu uwanja wa taifa DSM, JMosi kati ya waheshimiwa wabunge wapenzi wa YANGA dhidi ya wazao wapenzi wa SIMBA, hivyo itakuwa ni SIMBA vs YANGA. wana JF: Je ni sahihi kwa (wanasiasa)wawakilishi wetu...
 15. POMPO

  priligy uk

  Na hii ni siasa? hope utakuwa umekosea jian mkuu! pole sana
 16. POMPO

  Wakuu wa mikoa inayolima korosho kuandamana kumuona rais Kikwete

  Na Steven Augustino Wakuu wa Mikoa inayolima Korosho nchini wameahidi kupeleka kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Kikwete kero ya ubabaishaji wa bei ya soko la zao hilo ili aweze kulitafutia ufumbuzi wa kudumu zikiwa ni juhudi za kuwawezesha Wakulima kupata matunda ya...
 17. POMPO

  Hatimaye PM Mizengo Pinda azuru kaburi la Mwl. J.K Nyerere

  Wakuu! Baada ya kushutumiwa kwa muda mrefu na baadhi ya watoto wa Mwl. Nyerere kuwa toka awe PM. Hajawafi kufika butiama kijijini kwa mwalimu kwenda kumsalimu mama Maria Nyerere na kudhuru kaburi la Mwalimu. Hatimae jana amefika, kumuona mama nyerere na kudhuru kaburi.. Nawasilisha.
 18. POMPO

  Bungeni Dodoma: Mbunge Abood anaongea na simu ya mkononi

  Wakuu; Kupitia tbc. Mh. Abood wa jimbo la morogoro ameonekana akiongea na simu yake ya mkono ndani ya ukumbi wa bunge... kwa kujificha. Wakati bunge linaendelea . Wakuu hii imekaaje aise!
 19. POMPO

  Nani msemaji wa jeshi la police TZ

  katika semina elekezi ya majuzijuzi Dodoma Rais kikwetee moja ya mambo mengine alisisitiza kila idara na wizara ziwape nafasi wasemaji wao. back to my point. nani ni mzungumzaji wa jeshi la polisi? kwa sababu huyu kamishina Chagonja ni kasishina wa mafunzo, cha ajabu ndio kawa msemaji wa jeshi...
 20. POMPO

  Songea: Leo CCM wanafanya mkutano wa hadhara, kesho CHADEMA

  Wakuu: Nimetua Songea (Nyumbi bombi) Chama cha CCM kinazidi kujichanganya leo hii kinafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwaja vya majengo, ambapo CHADEMA wanafanyia hapo mkutano wao baada ya maandamano ya zaidi ya km4, magari ya matangazo chameda yameshaingia na baadhi ya makamanda ili...
Top Bottom