Search results

 1. Pistol

  Utajuaje kua mwanao anafanyiwa unyanyasaji wa kijinsia

  Kama mzazi, Dada au Kaka nadhani ni kitu kizuri kama utajua Dalili kua mwanao anafanyiwa ukatili. Tatizo kubwa hapa nikuwa wengi wanaofanyiwa hivi hufanyiwa na watu wao wa karibu, watu ambao wewe kama Mama au Baba unawaamini na watoto huwaamini hivyo kuwa shida kugundua. Kwamba ukaribu kama wa...
 2. Pistol

  Kituo cha watoto chafungwa kwa tuhuma za kunajisi wavulana

  Mahakama nchini Kenya imeamuru kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu katika Kaunti ya Machakos kifungwe mara moja, kufuatia tuhuma kuwa wavulana tisa walikuwa wakinajisiwa kwenye kituo hicho. Idara inayoshughulikia watoto katika Kaunti hiyo ilipokea amri ya mahakama na...
 3. Pistol

  Akamatwa na Polisi kwa kuwalisha wananchi nyama ya mbwa akiwaambia ni ya mbuzi

  Mkazi wa kijiji cha Mitonji,kata ya Mbuyuni wilayani Masasi Mkoani Mtwara,Dismasi Malikitu maarufu kizito,anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kuwauzia wananchi nyama ya mbwa huku akiwadanganya ni nyama ya mbuzi. Mtendaji wa Kijiji cha Mitonji,Yunisi Makolo amethibitisha kuhusu tukio...
 4. Pistol

  Majimbo 16 yamshtaki Rais Trump

  Muungano wa majimbo 16 nchini Marekani yakiongozwa na California yameushtaki utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uamuzi wa kutangaza hali ya dharura ili kukusanya fedha za ujenzi wa ukuta wa mpakani na Mexico. Kesi hiyo imewasilishwa katika mahakama ya wilaya ya kaskazini katika jimbo la...
 5. Pistol

  Kenya yakumbwa na uhaba wa viazi kutokana na mbegu mbovu

  KENYA inakumbwa na uhaba wa tani 1.7 milioni za viazi kwa sababu ya wakulima wanatumia mbegu mbovu zisizotoa mazao mengi, Waziri wa Kilimo, Mwangi Kiunjuri amesema. Uhaba huo umefanya bei ya viazi izidi kupanda na kuwafanya wafanyabiashara kuagiza zao hilo kutoka mataifa ya nje. Mbali na...
 6. Pistol

  Iron Dome :Marekani kununua mfumo wa Israel wa kujilinda dhidi ya makombora

  Jeshi la Marekani limetangaza mipango ya kutaka kununua na kujaribu mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel kwa jina Iron Dome. Mfumo huo unaotumia rada na kutungua makombora kwa lengo la kukabiliana na tishio lolote umekuwepo tangu 2011. Idara ya ulinzi nchini Marekani imesema kuwa mfumo...
 7. Pistol

  Jiko la mkaa lasababisha vifo vya watoto wawili Tarime

  Jiko la mkaa lililokuwa ndani limesababnisha vifo vya watoto wawili baada ya kukosa hewa wakati wakiwa wamelala usiku. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Februari 3, 2019, katika mtaa wa Kebaga, wilayani Tarime mkoani Mara kwa watoto hao Witness Machugu (1) na Christina Marwa...
 8. Pistol

  Familia yapoteza watoto watano kwa kula samaki mwenye sumu

  Watoto watano wa familia moja wakazi wa Shehia ya Shanake wilayani Micheweni kisiwani Pemba, wamefariki dunia na wengine wawili akiwemo mtu mzima mmoja wamelazwa katika hospitali ya Micheweni wakiendelea kupata matibabu baada ya kula samaki aina ya kasa kibati wanaosadikiwa kuwa na sumu Daktari...
 9. Pistol

  Uganda: DJ auawa kwa kucheza muziki mbaya

  Mchezesha Muziki Nchini Uganda amepatwa na mauti baada ya kuvamiwa na kundi la vijana waliompiga kwa kosa la kuweka wimbo ambao hawakuupenda walipokuwa wanacheza muziki kwenye ukumbi mmoja uliopo wilayani Nebbi nchini humo. Dj Jerry Okirwoth alikuwa ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule...
 10. Pistol

  Missy Elliot kuwa mwanamke wa kwanza kwenye hip-hop kukubalika katika ukumbi wa ukumbi wa umaarufu wa Waandishi wa Nyimbo

  The Songwriters Hall of Fame announced their 2019 inductees today: Dallas Austin, Missy Elliott, Tom T. Hall, John Prine, Jack Tempchin and Yusuf (Cat Stevens). Missy Elliott will be the first woman in hip-hop inducted into the Hall, and only the second rapper after Jay Z. Elliott is being...
 11. Pistol

  Je, kuna sababu gani kwenye shuka la bibi harusi kupelekwa kwa shangazi mara baada ya fungate?

  Miaka ya zamani na hata sasa,kuna familia ama koo ama jamii ambazo bado zinaendeleza utaratibu huo wa shuka analolalia bibi harusi mara baada ya harusi kufungwa ili kujua kama ni BIKRA, ina maana yoyote katika kizazi chetu cha leo?
 12. Pistol

  USHAURI: Mchumba wangu anataka mwanamke wa kusimamia mali zake ananiambia haoni sababu ya mimi kupoteza muda wangu chuoni

  Mimi ni binti wa miaka 23, sijaolewa lakini nina mchumba wangu kashajitambulisha kwetu na kila kitu kimekamilika, niko chuo mwaka wa pili naingia mwaka watatu. Sababu za kuja huku nikuomba ushauri, mchumba wangu ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa kifedha tena sana, kwa sababu hiyo anawasaidia wazai...
 13. Pistol

  Saudi Arabia: Mbaroni kwa kuweka video mtandaoni akilishwa na mwanamke

  Vyombo vya dola nchini Saudi Arabia, vinamshikilia mfanyakazi mmoja wa hotel ya kigeni kwa kosa la kuweka mtandaoni kipande cha video inayomuonesha akiwa analishwa chakula na mwanamke. Mwanamke anayeonekana kwenye video hiyo akimlisha kijana huyo, amevalia mavazi rasmi ya baibui na kujifunika...
 14. Pistol

  Ndoa ya Majey na Lulu Mkuu wa mkoa ndani ya kamati

  Stori zilizopo kwa sasa huwenda ndoa ya Majey na Lulu ipo mbioni kufungwa mtu wa kwanza kuweka wazi hilo ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika; Nikiwa mwenyekiti wa kamati ya harusi ya ndugu Majizo na Bibi Elizabeth Michael(Lulu)...
 15. Pistol

  South Sudan army chief is dead

  KAMPALA-The South Sudan army boss, Gen James Ajongo Mawut has died. He died on Friday morning in Egypt where he had been taken for treatment. President Salva Kiir confirmed the death of his army boss in a statement. “It is with a heavy heart that I announce the untimely death of General James...
 16. Pistol

  Committing To Media Freedom The Focus Of Commonwealth Meeting

  The principles include freedom of expression as a cornerstone of democracy, restrictions on freedom of expression, access to information and parliaments/judiciaries and the media. Others include the role of media in elections, safety of journalists, ending impunity, media self-regulation, media...
 17. Pistol

  Trafficked Ugandan girl dies in Oman

  Msichana wa Kiganda, aliyesemekana kuwa mmoja wa wale waliosafirishwa nchi ya Mashariki ya Kati ya Oman amefariki. Ripoti zinazounganisha kifo chake kimetokana na mateso na ukatili. Vyanzo vya Oman vimeelezea Daily Monitor kwamba Doreen Karungi mwenye umri wa miaka 24,alipatikana amekufa...
 18. Pistol

  GHANA: Daktari aua mtoto mchanga wa wiki 9 baada ya Mzazi kushindwa kulipa 'bili'

  Mtoto mchanga wa umri wa wiki tisa amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ghana kutokana na wazazi wake kushindwa kulipa gharama za huduma ya kupumua kwa kutumia mashine ya oksijeni (oxygen). Kwa mujibu wa redio ya Joy FM ya nchini Ghana, mtoto huyo wa kiume alifariki dunia katika...
 19. Pistol

  Man kidnapped, abductors seek Shs1m ransom

  NAMUTUMBA- A hunt for a 33-year-old man believed to have been kidnapped for a Shs1m ransom, in Namutumba District has entered day four. Simon Mulondo, a resident of Bugobi Village, Bulange Sub-county in Namutumba District, was reportedly kidnapped on Monday evening by unknown people who were...
 20. Pistol

  Bodies of eight UPDF soldiers killed in Somalia arrive today

  KAMPALA- Bodies of the eight Ugandan soldiers killed in the Sunday al-Shabaab attacks on Uganda People’s Defence Force’s (UPDF) camps in Somalia will arrive today (Tuesday) at Entebbe airbase at about 1pm. The army spokesperson, Brigadier Richard Karemire told Daily Monitor the bodies would be...
Top Bottom