Search results

 1. gonamwitu

  Ushauri : Nahisi nimeambukizwa ugonjwa wa zinaa

  Habari wana jamiiforum wiki kama mbili zilizopita kuna mwanamke nilifanya nae mapenzi bila kinga baada ya kufanya nae mapenzi after one week kuna mabadiliko kadhaa yamejitokeza na ninahisi kaniambukiza ugonjwa wa Zinaa 1: Nikikojoa nasikia maumivu sana na baada ya kumaliza kukojoa nikikaa kuna...
 2. gonamwitu

  Naweza ku-renew akaunti ya benki ambayo sijaitumia kwa miaka 6?

  Akaunti hii ya benki sijaitumia kwa miaka 6 nawezajeku renew iwe active tena nipeni process akaunti ilifunguliwa nikiwa Mbeya for now nipo DSM.
 3. gonamwitu

  Najisikia raha sana ninapowaumiza wanawake

  Ahlan wasalan wanajukwaa salamu nawasalimia, Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi, mimi ni mmoja kati ya wanaume nilyeumizwa sana na wanawake imefikia stage nawachukia sana wanawake. Kutoka chini ya uvungu wa moyo wangu, kwa nia ya dhati kabisa nimedhamiria kuwaumiza wanawake na...
 4. gonamwitu

  Hey guys, hivi hii ni kweli au utapeli?

  Hey guys salamu nawasalimu habari ya nyinyi? Naomba kuuliza wakati nipo net naperuzi kuna page imefunguka kuna maelezo nimejaza then vikatokea vibox nikabifungua ikatokea iPhone 11 wakaniambia nimeshinda kuipata hiyo gift nijaze details zangu including bank card number hii iko vipi? Code...
 5. gonamwitu

  Simu yangu aina ya Tecno Pop1 imezima msaada wadau

  Simu yangu aina ya Tecno pop1 imezima kuna fundi kaicheki kasema inatakiwa iflashiwe je kuflash ni sh ngapi? Je, inaweza kusolve tatizo?
 6. gonamwitu

  Mrithi wa kiti cha ufalme wa bongofleva hawezi kutoka kwenye mikono ya Ali Kiba wala Diamond Platnumz,

  Ahlan wassalan wana jamvi, baada ya pilika pilika za sikuu ya Christmas hopefully mko poa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mrithi wa kiti cha ufalme wa bongo fleva hatatoka kwenye mikono ya hawa manguli wawili wanaotifuana na kupelekana mchaka mchaka kunako game ya bongofleva...
 7. gonamwitu

  Lavalava kaikalia nafasi yangu pale WCB

  Ahlan wasahlan wanajamvi, Hopefully mko poa. Ni yule yule mzee wa kuumiza gonamwitu a.k.a Santiago Pandamunio a.k.a Masokolindo Mavi ya Kuku. Back to the topic. Kiukweli kunako viunga vya WCB huyu msanii wa kuitwa Lavalava kwa uwezo mdogo alionao na kushindwa kubadilika kuendana na gemu...
 8. gonamwitu

  Rayvanny: Almasi pekee iliyobakia WCB

  Ahlan wasahlan wanajamvi, Wazima ninyi? Hopefully wote wazima. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Honestly speaking, Rayvanny ndiyo almasi pekee iliyobakia WCB, kivipi? Twende kazi... 1. Rayvanny ni msanii ambaye ni 'complete package', ana uwezo wa kuandika kuliko wasanii wote...
 9. gonamwitu

  Mbosso badilika, gemu itakushinda

  Ahlan wasahlan wanajukwaa, Huyu kijana wa kuitwa Mbosso "Khan Mushedede" kutoka viunga vya WCB kiundashi, melody na hata jinsi anavyoimba yuko njema. Shida yake ni moja tu: habadiliki, kila siku nyimbo zile zile, uandishi ule ule, mahadhi yale yale. Kila wimbo anataja maandazi, kachori...
 10. gonamwitu

  Tbway360 acha dharau young killer ni msanii mkubwa tu

  Leo kwenye kipindi cha Friday night kinachorushwa na EATV km kawaida yao ya Kuwaita wasanii na kuwahoji baada ya ma underground kibao kuhojiwa ikafika ZAMU ya ney wa motego na Mimi mars na ney wa mitego wakahojiwa but young killer alikuwa nje muda ukawa unaelekea tamati halafu dogo haitwi so...
 11. gonamwitu

  Ninatafuta kazi nina Diploma ya Civil Engineering.

  Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu nimemaliza chuo na nimesoma Civil Engineering kwa ngazi ya Diploma natafuta kazi as a Civil Technician kwa maana ya kazi inayoendana na taaluma niliyoisomea au kazi nyingine yoyote halali ya kuniwezesha ni survive in this toughest situation.so...
 12. gonamwitu

  Natafuta kazi Nina Diploma ya Civil Engineering.

  Habari wakuu,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nimemaliza chuo so natafuta kazi as a Civil Technician or other non related jobs nikiwa na maana hata kazi nyinginezo zisizohusiana na professional yangu.mwenye kufahamu sehemu ambapo naweza kupata kazi kwa maana ya connection au kuna...
 13. gonamwitu

  Tumalize utata,hivi huyu kubwa la wambea warumi ni mwanaume au mwanamke?

  Ahlana wassalan wananzengo..!! Ramadhani kareem..!! Let me go straight to the topic kumekuwa na utata kwa muda mrefu sasa kuhusu huyu mbea wa kujotolea warumi kama ni mwanaume au mwanamke kutokana na threads anazopost humu kujaa utata mpaka tunashindwa tumuweke kundi gani coz kama jamaa ni...
 14. gonamwitu

  It feels so sexy mwanamke akijamba mbele yangu.

  Ahlan Wassalan, Ramadhan Kareem ndugu wana jukwaa kiukweli napenda sana mwanamke akijamba mbele yangu especially tukiwa chumbani wawili tu it feels so sexy naenjoy sana wakuu
 15. gonamwitu

  Handsome boy mpya

  Ebwana eeh mambo VP handsome boy mpya jf naomba mnikaribishe
Top Bottom