Search results

 1. Ta Kamugisha

  Kituko cha utotoni ambacho uwezi sahau mpaka leo

  Enzi za shule ya Msingi, nilikuwa napenda sana michezo mimi na mdogo wangu, ingawa mzee alikuwa hapendi tuwe tunachelewa kutoka kucheza mpira maana alikuwa Mjeda JWTZ Ila tulikuwa na tabia ya kuiba Ice cream, kwa jina maarufu ziliitwa "ashikilimu" nadhani wote mnazifaham. Tulikuwa tunaziiba...
 2. Ta Kamugisha

  Naomba Gbwhatsapp kwa ajili ya Iphone

  Tafadhali naomba Apk ya Gbwhatsapp kwa ajili ya iphone, nimejaribu niliyokuwa nayo kwenye techn imegoma, naomba mwenye hii kitu kwa ajili ya Iphone anisaidie, nimejaribu kudownload bila mafanikio cc Chief-Mkwawa na
 3. Ta Kamugisha

  Msaada Iphone 8 plus

  Wakubwa za xmas, naomba msaada wenu, nina i phone 8 plus ila mpaka sasa nimeshindwa kurejesha contact zangu kupitia Gmail, kabla ya hapo nilikuwa natumia techno na nilipokuwa narejesha acc yangu ya gmail contact zote zilikuwa zinarudi, ila imekuwa tofauti na hii Iphone, nimejaribu ila kila...
 4. Ta Kamugisha

  Uchaguzi 2020 kwa Urais CCM hawatatumia nguvu kubwa

  Labda kama hauna macho kwa yanayofanyika. Kiukweli hawatatumia nguvu nyingi kwenye kampeini, kwa mfano 1. Vituo vya afya vinaota kama uyoga 2. Barabara kama wanatandika mikeka tu kila kukicha 3. Reli ndio siongei 4. Ndege.... 5. Viwanja vya ndege 6. Mabadiliko ya ccm 7. Mahospitali ya...
 5. Ta Kamugisha

  TTCL tumerudi Nyumbani tufungulieni Milango basi!!

  Kiukweli nimekubali kuwa mzalendo na kurudi nyumbani ila sasa milango yenu bado umefungwa, kwa nini hamtaki kutufungulia Milango wakati Mmetuita wenyewe? 1. Nilirudi nyumbani pale arusha mjini na mambo yalikuwa poa sana tena nikapewa chakula kitamu cha 4G na mboga za kutosha yaani bundle za...
 6. Ta Kamugisha

  Wana Ndoa: Ikitokea Papa au Serikali wakafuta Ndoa zote:

  Tukapewa nafasi au sharti kuwa kama unataka kuoa u - apply upya? Je uta apply ili urudiane na mwenzio? Au utakimbilia ndoa mpya? Tuwe wakweli wana ndoa kwa jinsi ndoa zilivyo kwa sasa na umepewa nafasi ya kupiga penati, tena penati ya Mwisho na ya Ushindi .
 7. Ta Kamugisha

  Halotel wapunguza bundle la Chuo "TUMEKWISHA"

  Hakuna msemo mwingine zaidi ya "Tumekwisha" kwa sisi tunaotumia line za chuo za halotel, kwa maana hiyo nawaaga rasmi kuwa sitakuwa nanyi leo na hata milele. Tulizoea unajiunga cha 10,000 kwa mwezi na kupewa GB 10, Kwa sasa wamepunguza mpaka GB 6 kwa mwezi kwa Tsh 10,000 Tumekwisha sisi wazee...
 8. Ta Kamugisha

  Wale ambao hatujawai kwenda Gerezani wala Selo tukutane hapa

  Nasikia ni kubaya, na hakufai kwenda, mm sijawai kwenda Lock up wala jela. Ila siku moja nilienda kumwona mshikaji selo, harufu niliyoikuta kule dah! Mpaka leo napaogopa hata kwenda kuona mtuumiwa! Je tufanyeje ili yasitukute maana nasisikia si kila aliye jela ana makosa, wengine wanasingiziwa...
 9. Ta Kamugisha

  Vichekesho Azam Tv Live

  Nipo Naangalia vichekesho Azam Tv live, Kiukweli wachekeshaji wa Tanzania bado tupo nyuma sana aisee, ingawa wametangulia watangulizi, Bado kuchekesha sisi wabongo hatujaweza, ngoja tuone wale waliotangazwa wiki nzima, Bado tuna safari ndefu, MC nae bado aendani na comedy yenyewe Kwa kifupi...
 10. Ta Kamugisha

  Huyu dada Monica Michael ni Tapeli kuweni makini

  Taadhali kwa anayenunua vitu kwa huyu dada Monica Michael anapatikana hasa kwanye facebook kwa jina la Monica Michael, instagram na whatsapp, huyu dada ni tapeli na mwizi, husijaribu kufanya nae biashara ya aina yoyote ile, yeye anauza viatu, saa, jezi za timu mbali mbali za ulaya , anatumua...
 11. Ta Kamugisha

  TANESCO Vs Mgao wa Umma Tz

  Kiukweli uko miaka ya nyuma palikuwa na nini? Kwanini kwenye ukame kama huu tena Miami hatujasikia mgao wa umeme kama kipindi kile Waziri akiwa Mh. Ngeleja? Je, Ni kweli huu mgao ulikuwa unatengenezwa ili wafanyabiashara wauze majenereta na mafuta yao mazito? Je,Ni kweli Prof. Muhongo amekuwa...
 12. Ta Kamugisha

  Mtela Mwampamba aula, ateuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo (DAS)

  Ameteuliwa kuwa Katibu Tawala wa wilaya (District Administrative Secretary) wa Ubungo , uteuzi tayari wa ma-DAS
 13. Ta Kamugisha

  Azam Tv: Naomba ufafanuzi wa malalamiko yangu kuhusu michezo

  Kwanza nikupongeze kwa kuwa Sport Manager Azam Tv: Nina malalamiko yafuatayo kuhusu Azam Tv hasa kwenye Sports: 1. Tunaomba uboreshe michezo kupitia Azam TV, TV yenu inatuonyesha Ligi Moja tu yenye maana duniani tofauti na mlivyokuwa mnajinasibu kuwa nyie ni TV ya michezo! Michezo ipi zaidi ya...
 14. Ta Kamugisha

  Msaada wa Simu yenye HDMI

  Kama kichwa cha Habari kinavyosema, naomba kufahamishwa ninunue Simu IPI yenye port ya HDMI ambayo nawe za kuiunga kwenye Tv Na kula Mpira live. Pia naomba bei yake kwa sasa dukani Natumai nimeeleweka
 15. Ta Kamugisha

  Azam TV acheni kutuchakachua

  Mimi ni Mmiliki wa kisimbuzi cha Azam, nimelipia package ya Sports. Cha kushangaza napata Azam Sport HD, Man Utd, Liverpool TV na Madrid TV. Naomba kuuliza, hivi Fox Sport siyo channel ya michezo au Kombat Sport, MCS International Sport, hizi channel si za sports? Kwanini hamziweki kwenye...
 16. Ta Kamugisha

  Airtel mmeamua kutuua Watanzani Tunasubiria Vietel sasa

  Kama maigizo sasa maana watanzania tunazidi kuumizwa na hii mitandao, sasa airtel wamepandisha vifurushi vyao vya internet, kiukweli wameniumiza hawa jamaa. Mimi nilizoea kununua cha wiki cha 1GB kwa elfu 2000, ila kuanzia jana wamekipandisha mpaka 1GB kwa elfu 3000. Kiukweli tunaomba hao...
 17. Ta Kamugisha

  T.B Joshua na utabiri juu ya Tanzani

  Tukumbushane jamani juu ya uyu mtabiri juu ya tanzania, kuna siku moja akiwa anahubiri akajitokeza mtanzania mmoja na akamwombea na mapepo yake yakatoka, ila baada ya kumwombea akamwambia baadea wakutane ili ampatie utabiri wa nchi yetu, nadhani wengi wetu tuliona na hapa Jf ilirushwa. Je uyu...
 18. Ta Kamugisha

  GX 110 naiuza

  Nauza GX 110 VVTI, ECONOM, KM 11/Litre, mpya imepaki, ipo geita, Tsh. 12,000,000 bei ya kuanzia kupunguziana inakubalika, ni cc 2450, kiyoyozi kipo full, redio + CD inafanya kazi na ya ukweli, km 112,000 imetembea, ina Gia D,D3,D4, L-L3 + P. Kwa mawasiliano na picha zaidi kwenye whatsupp...
 19. Ta Kamugisha

  TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

  Si mimi ni utabiri wa TB Joshua leo, ameonyeshwa rais mmoja Africa atatekwa na ameonyeshwa watu wakiwa club wanacheza then wanalipukiwa na nchi iyo ni jirani na Kenya, Angalizo, amesema siyo kenya tena,je itakuwa nchi gani? Misa ya leo jumapili ndo kasema, na amesema ataendelea kuomba ili...
Top Bottom