Search results

 1. Mawawa

  Wiki ya pilika pilika mitaa ya Msimbazi na Jangwani

  Miamba ya soka Tanzania Simba na Yanga jumapili hii zitamenyana katika kombe la FA hatua ya nusu fainali. Ikumbukwe msimu huu yanga kapata matokeo mazuri dhidi ya mtani wake simba. Jana katika pita pita zangu nilipita kwenye moja ya vijiwe vikubwa vya mashabiki wa timu hizi. Kulikuwa na...
 2. Mawawa

  Ukweli kuhusu Bernard Morrison ni upi?

  Kumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusiana na mchezaji kipenzi cha wana yanga Bernard Morrison. Ikumbukwe kuwa, week iliyopita yanga walisafiri kuelekea mkoani Shinyanga kucheza mchezo wao wa ligi dhidi ya Mwadui fc. Lakini mchezaji huyo hakusafiri na timu kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe...
 3. Mawawa

  Simba SC: Kuwakabili Ruvu shooting uwanja wa Taifa

  Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni. Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na wakusisimua. Kwa watakao kwenda uwanjani viingilio ni kama ifuatavyo: 1.MZUNGUKO elfu 5000 2.VIP B elfu...
 4. Mawawa

  Tetesi za usajili Yanga

  Mabingwa wa kihistoria Dar young Africans, wapo kwenye hatua za mwisho kumalizana na mchezaji huyu. Ili aje kukipiga kwa wanajangwani hao.
 5. Mawawa

  Nandy ft Harmonize

  The African princess ni moja ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri kwa sasa ndani na nje ya nchi, enjoy muziki mzuri.
 6. Mawawa

  Ligi Kuu Bara yarejea kwa kishindo

  VS Ni miezi mitatu imepita toka ligi yetu pendwa isimamishwe kutokana na janga la corona. Ni rasmi sasa kesho ligi inakwenda kuendelea ili kumalizia mechi zilizobakia, miamba kutoka mkoani Shinyanga Mwadui fc watakapo wakaribisha mabingwa wa kistori wa ligi kuu Tanzania bara, Dar young...
 7. Mawawa

  Mo hapoi wala haboi huko Simba.....

  Mwekezaji na Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba katweet huu ujumbe kwenye tweet yake, kazi kwenu wana simba kumpa saport.
 8. Mawawa

  Mechi ya kirafiki Yanga Vs KMC

  Wana jamvi tupeane updates kinachoendelea uwanjani.
 9. Mawawa

  Kati ya hawa wasanii nani ni mkali wa kuandika ngoma kali?

  Ibraa kutoka konde music world wide Au! Mboso kutoka wasafi baby 👇👇
 10. Mawawa

  Kwako Diamond Platnumz...

  Sisi wananchi wa hali ya chini tulifarijika sana na maneno yako pale ulipotangaza kuwa, upo tayari kutusaidia japo kulipia pango la nyumba kwa miezi mitatu kwa wananchi wa hali ya chini 500. Tunaona siku zinazidi kukatika na hatujapata mrejesho wowote kama msaada huo upo au laa.
 11. Mawawa

  Huyu ndiye Tundu Lissu

 12. Mawawa

  Bongo Fleva tulipotoka na tunapoelekea

  Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la wasanii wakifanya vizuri hasa kwenye soko la ndani. Wapo waliokuja wakajaribu bahati zao wakatoa hit song mbili tatu wakapotea. Wapo waliokomaa na gemu mpaka sasa tuna enjoy kazi zao hawa tunawaita wakongwe TULIPOTOKA. Miaka ya nyuma kabla...
 13. Mawawa

  Jangwani kumenoga

  Hatua za awali za ujenzi wa uwanja wetu hatimaye umeanza. Ahsante GSM,LALIGA na SEVILLA. DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 14. Mawawa

  Hivi ni kweli..?

  Kuna ukweli wowote hapa wadau na kama ni kweli ilitokea lini hii?
 15. Mawawa

  Hodi mpaka ndani

  Naombeni mnipokee wenyeji, nimatumaini yangu mtanipa ushirikiano. Ahsanteni.
Top Bottom