Search results

 1. Quinty

  Obama Style, Romney Style and Gangnam Style

  Psy - PSY - GANGNAM STYLE ( Obama Style - Obama Style (Psy Gangnam Style Parody) Feat. Smooth-E and Alphacat Mitt Romney Style - Mitt Romney Style (Gangnam Style Parody) - YouTube Obama & Michelle - Obama Gangnam Style! (Official Video) - YouTube
 2. Quinty

  iPhone 3Gs inauzwa Tsh. 450,000/-

  Nauza iPhone 3G's iko kwenye hali nzuri nimeitumia miezi mitatu tu. Anayetaka anipm tufanye biashara.
 3. Quinty

  Nauza iPhone 3Gs - TSZ 449,000/-

  Ndugu wanajf nauza iphone 3Gs nzuri nimeitumia miezi michache tu haina mikwaruzo na inatumika kwa namza zote za Tanzania, ina cover yake, chaja na earphone zinatwanga vyema. Bei ni 449,000/- Kwa anayehitaji aniibox
 4. Quinty

  Tazama kwa makini tarakimu na maneno....umakini wa kiongozi wetu uko wapi?

  Wanajamvi hili nimeshindwa kulipatia majibu ya msingi naomba nieleweshwe ni kwanini hakuna umakini katika kuandaa hizi vitu halafu eti mkuu wetu anashika na anapiga picha na meno anatoa kufurahia...hakuna washauri au watu wakufuatilia..maana haiwezekani makosa yafanyike zaidi ya mara moja. Hizo...
 5. Quinty

  CCM na uchakachuaji wa picha

  Nimeona hii picha ukiangalia kwa makini unaona ni jinsi gani CCM wanavyotumia technologia kutengeneza picha ili ionekena wana wingi wa watu katika kampeni/mikutano yao. Hizi ndo siasa uchwara tunaziita maana kama unasera makini wananchi watavutiwa na watajaa kwenye mikutano ila kama sera zako ni...
 6. Quinty

  Natafuta nyumba ya kupanga

  Ndugu zangu wanajamvi habari zenu.? Natafuta nyumba ya kupanga nzuri ya kupanga. - Chumba kimoja na sebule au zaidi, - Kodi isizidi Tshs. 100,000/- kwa mwezi, - Iwe self contained, - Iwe na umeme, - Maji yawepo, - Iwe sehemu yenye usalama, - Iwe ndani ya geti, - Isiwe nje ya mji sana. Maeneo...
 7. Quinty

  Nauza blackberry storm 2 9550 toka usa - 350,000/-

  Nauza Blackberry Storm 2 9550 Kila kitu kinafanya kazi vyema. Imetumika na ina scratch kidogo kwa nyuma. -3.2 mega pixel -Video Streaming -Video Recording -Email Access -Beautiful touch screen -GPS enabled -Calender -MP3 Player -Speaker Phone Kifurushi kina:- -Simu BB Storm 2 9550 -Memory card...
 8. Quinty

  Tuna lipi la kujivunia Tanzania

  *NI laana, ni bahati mbaya, ni “Ujinga”, ni umaskini wa fikra, ni kupumbazwa au ni kitu gani hiki kinachosababisha tusherehekee miaka 50 ya Uhuru wetu bila ya kuwa na “vitu” vya uhakika? Hatuna maji ya uhakika, hatuna umeme wa uhakika, hatuna barabara za uhakika, hatuna chakula cha uhakika...
 9. Quinty

  Hongereni kina mama wote JF

  Mama ni rafiki wa kweli pale tunapopata majaribu na shida za dunia hii zinapotuelemea na kukosa mwongozo. Wakati maovu yanapochukua nafasi ya mafanikio; wakati wa shida ambapo marafiki tuliowaamini wametukimbia; wakati dhiki zimetuzunguka kila pande, lakini mama yuko pamoja nasi, kurudisha...
 10. Quinty

  Husb n wyf want sex

  Husband and Wife agreed dat,anytime they want sex they'll call it 'phone call' so that their kids wont understand.1 day a husband was horny, he told his son 2 tel her mom that he wants to make a 'phone call'. Mom replied; tell ur dady that network is bad 2day. Daddy responded,tel ur mom dat if...
 11. Quinty

  Barua kwa mpenzi

  Mpenzi Frank, HABARI za Pasaka mwenzangu? Wengine wanasema eti walisaka Pasaka hadi wakawakawaka sijui na wewe uliiona? Ingawa wanaowakawaka kawaida kesho yake huwa wanatamani kufa tena badala ya kufufuka kazini. Lakini lazima nikuambie ukweli mpenzi wangu. Nilikumiss kama kidonda vile...
 12. Quinty

  Katiba mpya, tunachotaka sasa

  Na Mabere Marando KUNA madai kwamba kinachohitajika sasa ni kuwaelimisha wananchi juu ya katiba iliyopo kabla ya kuandika katika mpya. Nina maoni tofauti. Suala la leo si kujua katiba yetu ya sasa. Hoja ya sasa ni Watanzania kuzingatia kinachostahili kuwa katika katiba yao waliyoshiriki...
 13. Quinty

  Kikwete, hili ni lako, usiwaachie wenzako

  Kikwete, hili ni lako, usiwaachie wadogo zako Jenerali Ulimwengu Aprili 20, 2011 BAADA ya kukaa wiki kadhaa bila kuonekana katika safu hii, wiki hii narejea ulingoni kuendeleza mjadala ule ule tuliokuwa nao kabla sijachukua likizo fupi, nao ni mjadala unaohusu uandikaji wa Katiba...
 14. Quinty

  Hongera kikwete kuizika CCM

  BABA wa Taifa hayati Julius Nyerere aliwahi kusema: "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM''. Kauli hii sikuielewa na sikujua lengo la kusema vile wakati yeye ni miongoni mwa waasisi wa chama hicho tawala. Lakini kadiri muda ulivyokwenda sasa maneno yale tayari yanapiga hodi, kelele katika...
 15. Quinty

  Hatimaye CHADEMA wamefanikiwa kusitisha muswada wa kubadili katiba 2011

  Baada ya harakati za uhakika za Wanachadema na wananchi wenye mapenzi mema kuhakikisha Muswada wa kubadili katiba haupiti zimezaa matunda baada ya muswada huo kusitishwa kutoa muda wakuujadili na kuufanyia marekebisho. Ifuatayo ni taarifa rasmi The Citizen Reporter Dodoma. The Constitution...
 16. Quinty

  The African Union: What you need to know. By Kyle Almond, CNN

  Hopes for a Libyan cease-fire were raised briefly this week when it was announced that longtime leader Moammar Gadhafi had agreed, in principle, to the African Union's "road map" proposal for peace. Gadhafi's opposition later rejected the proposal, but its leaders said they would be open to any...
 17. Quinty

  Je kama CCM hawamwelewi mwenyekiti wao, Je Watanzania tutamwelewa?

  Ndugu wanajamvi wenzangu...yafuatayo ni maneno ya wajumbe wa CCM wakimuongelea mwenyekiti wao ambaye wengi tunamjua kama Raisi wa Tanzania “Si rahisi kuwa na maamuzi mazito; tatizo la bwana mkubwa haeleweki. Tunashindwa kumsaidia. Tazama kama suala la Dowans, utadhani hakuna serikali, Waziri...
 18. Quinty

  Huruma ya Dowans inatoka wapi?

  Kutoka Tanzania Daima KWA takriban miaka mitatu sasa sinema ya mitambo ya kampuni ya kuzalisha umeme wa dharuFra ya Dowans imezidi kushika kasi kwenye macho,vichwa na masikio ya kila mwenye kiu na habari pamoja na nishati ya umeme. Sinema hii kwangu imeshnichosha licha ya baadhi ya watu...
 19. Quinty

  Hii inasikitisha watanzania

  Hii hali ya Ubungo Bus Terminal inasikitisha sana kuona kuko giza kila umeme unapokatika. Nimeshuka hapo mara kadhaa usiku ni giza nene. Sipendi kuamini kuwa uongozi wa hapo umeshindwa kugharamia generator wakati wa usiku. Hayo makusanyo ya sh. 200/- kila kichwa, 500/- gari ndogo na gharama za...
 20. Quinty

  Salamu za mwaka 2011

  Tunamshukuru Mungu tumejaliwa kuuona mwaka mpya 2011. Tumwombe Mungu atujalie uzima wa mwili na roho na mafanikio mema kwa kila mwanajf na ndugu jamaa na marafiki zetu. Pia huu uwe mwaka mwingine wa kutoa na kuchangia hoja zenye nguvu, misingi na uelemishaji. Nawatakia heri ya mwaka nyote.
Top Bottom