Search results

 1. big-diamond

  Tazama Picha hii kisha jibu maswali

  1. Hii ni picha ya aina gani? 2. Eleza aina ya hali ya hewa ya eneo hili? 3. Taja mazao matatu yanayoweza kulimwa kwenye ukanda wenye iyo hali ya hewa? 4. Jadili vitu vitatu unavyoviona kwenye picha hii, ukielezea umuhimu na madhara yake. MUDA: Masaa Matatu
 2. big-diamond

  Biblia katika picha: Ni rahisi kwa masikini kuingia mbinguni

  Masikini wakiingia mbinguni kwa mbwembwe Sent using Jamii Forums mobile app
 3. big-diamond

  Kumbe Wanawake Wameanza Kupendana

  Kwenye harakati za kupunguza zile kauli kupata tabu sana na biti za watembea na ilani basi jioni hii najirudisha uswekeni kwenda kujificha hadi hapo kesho (Maana kuna watu huenda kulala na wengine kijificha) Hapa nipo kwa daladala iliyojaa ile kisawa sawa, basi kuna Mama tumepanda nae daladala...
 4. big-diamond

  The Tanzania Effects

  Leo kwenye kuzurula kwangu mitandaoni nikaikuta hii kitu inaitwa Tanzania Effects, Baada ya wizara ya Utalii kukomalia suala la kuitangaza nchi yetu huko Marekani especially kwenye viwanja vya michezo, wenyeji wa huko hasa wachezaji na mashabiki angalau sasa wanaifahamu Tanzania Hii kitu ni...
 5. big-diamond

  Nini maana ya sherehe za vunja jungu?

  Wadau, Kabla ya mfungo wa ramadhani huwa naskia tu kuna vunja jungu. Ningependa kujua hiyo sherehe ina maana gani?
 6. big-diamond

  Natafuta chanzo na dawa ya Breast Inflammation.....

  Rejea kichwa cha habari hapo juu....nina mgonjwa anaesumbuliwa na hayo maumivu....anahisi kuungua on her right breast kiasi cha kupandwa na homa iyo hali inapotokea, Ilimuanza kama miezi mitatu iliyopita, tumejaribu kwenda kwenye hospitali kadhaa, zikiwemo muhimbili, Dar Group na Kairuki na...
 7. big-diamond

  Chanjo zinatolewa ma serikali ni za nini?

  Tumesikia wenzetu wa west africa wakiwafukuza hawa jamaa wa red cross kwa kusema kuwa chanjo wanazotoa ndizo zilizobeba ugonjwa unawaua..na pia wameendelea kwa kusema kuwa watu waliokufa ni wale tu waliopata chanjo za kukinga ugonjwa.... Hivyo ningependa kujua hii chanjo inayopita sasa hivi...
 8. big-diamond

  Hivi ni lazima kupiga mihayo asubuhi?

  Maana sijawah kuamka bila kujinyoosha plus mihayo...ushauri plz...
 9. big-diamond

  Tujikumbushe dawa za mvuto wa mapenzi za utotoni

  Wakuu. Nakumbuka hapo zamani wakati wa utoto, tulikuwa na imani aka kasumba kuwa ukimtaka mshichana flani basi unaenda kutafuta dawa flan kama ni porini au kutafuta ndege flan unamuandaa af unamgusa msichana flan kwa imani atakufata. Basi wakati nipo darasa la nne kuna mdada alikuwa ananitesa...
 10. big-diamond

  Ipad 2, 16GB with 3G and WIFI INAUZWA TSH 450,000 AU KUBADILISHANA NA SMART PHONE

  Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ipad 2 iko sokoni, imetumika...inafanya kazi vizuri bila shida yoyote..iOS 7.0.4 Contact 0719 257214
 11. big-diamond

  A training opportunity for graduates - job seekers

  All graduates searchingfor jobs are invited for a discussion and training session on “Graduates’employability”. The discussion will focus on employability challenges, jobsearch techniques and the role of Higher Education Institutions in enhancinggraduates employability. Corporate employers’...
 12. big-diamond

  Best business, best results, smart people - be a part

  Wadau, Ni matumaini mpambano wa maisha unaendelea kama kawaida. Mimi ni mjasiriamali, nilianzisha kampun ambayo ilisajiliwa miaka mitatu iliyopita ambapo mwaka huu biashara imekuwa more serious. Ninafanya management consultancy, level yangu ya elimu kama top official katika kampuni ni MBA na...
 13. big-diamond

  Ninahitaji king'amuzi cha startimes

  Habari wakuu.. ninahitaji king'amuzi cha startimes (used)...bajeti yangu ni tsh 40,000..kama unacho basi sio vibaya ukanitaarifu kwa 0719 257214 Aksanteni
 14. big-diamond

  Raha ya kupanda Dala Dala(Tupe kituko ulichowahi kuona au kusikia kwenye dala dala

  Nimegundua kwamba watu wanapokwenda kazini asubui huwa wana hasira ya kazi na wanaporudi majumbani huwa wana stress za kazi na kuanza kukumbuka uvundo uliotokea siku nzima!sasa usiombe ukapanda gari ambalo kuna konda mkorofi,!! Mmama: Konda ondoa gari kuna joto, Konda: Usituzingue wewe, kama...
 15. big-diamond

  For ladies...im lookin for a lady friend with benefits!

  Im a man 25y,lookin for a ladyfriend with benefits in such a way that we y'all live w'out exploitin each other!! Ni PM kwa ajili ya kufahamiana zaidi!
 16. big-diamond

  Msaada kuhusu Voluntary Jobs!!!

  Ndugu wana JF Neema ya Bwana iwe nanyi nyote! Ninaomba kupata taarifa ni kwa namna gani ninaweza kupata sehemu ya kujitolea ili niweze kuongeza uzoefu zaidi na kuimarisha CV yangu kwani ndio nimemaliza chuo mwaka huu! taarifa yangu fupi ni kama ifuatavyo! Ba Development Studies University Of...
 17. big-diamond

  Wawekezaji wanaotukana viongozi wetu,nchi yetu na watanzania tuwafanyaje?????

  Ndugu wana jukwaa, binafsi napenda nieleze dukuduku langu linalonisumbua sana sana! tunao wawekezaji nchi hii ambao wamekuwa wakinyanyasa raia na hata kutukana viongozi wetu tena hadharani na wazi wazi bila hatua zozote kuchukuliwa. Yawezekana ni kweli viongozi wetu wakuu wana madhaifu mengi...
 18. big-diamond

  Magazine deal-Nahitaji sapoti wadau

  Nimeanzisha kakampuni kangu wakuu na nimeandaa magazine nzuri ambayo future prospects yake ni nzuri sana kulingana na utafiti nilioufanya so ninahitaji kuiprint, changamoto pekee niliyonayo ni pesa ya kuprint hiyo magazine yangu ambayo cost yake ni kama milioni 4 hivi. Nimeona niwaeleze wadau...
Top Bottom