Search results

  1. T2020JPM

    Kwa hili la mdahalo wa wagombea Urais, Lissu unazidi kuchemka

    Kitendo cha mgombea wa urais kupitia chadema kuomba mdahalo na jemedari wetu Magufuli kimezidi kumpoteza kwenye ramani. Najua yupo busy na kampeni naomba wafuasi wake mliopo hapa jamvini mnijibu maswali yangu. 1. Baada ya kuzunguka sehemu mbalimbali ndani ya nchi akifanya kampeni, je Lissu...
  2. T2020JPM

    Uchaguzi 2020 Ikiwa mgombea ubunge hafai kuchaguliwa kwa kutojenga jengo la Kanisa, Je mgombea Urais anayetoka chama kisichojenga ofisi

    Nimekuwa nikiona baadhi ya members wakipiga sera na ahadi za Gwajima anazozitoa kwa wana Kawe kuwa hazitekelezeki kwa kigezo cha kushindwa kujenga jengo la kanisa lake. Tukija upande wa pili tunaona pia CHADEMA nao wameshindwa kujenga jengo la ofisi yao kwa miaka mingi sana zaidi ya kuendeshea...
Top Bottom