Search results

 1. BASHADA

  Tumkumbushe Nape Nnauye alikopitia mpaka alipofikia na anakoenda

  Sijui alikotoka ila najua anakokwenda. Ataenda kulima Korosho
 2. BASHADA

  Waraka wa Makamba, Kinana siri nje nje

  Kibogoyo shenzi ww
 3. BASHADA

  Wezi waua mbwa na Kuiba vipuri vya Gari (inasikitisha)

  Gari halikuwa na alarm? Nimefikiria kwa haraka haraka, hivi ukiachilia alarm ya kwenye gari hakuna alarm system ambayo naweza kuset kuzunguka fence ya nyumba usiku kiasi kwamba mtu akigusa tuu alarm italia? Pia plan nyingine ni kuset nyaya za umeme za kupiga shoti kuzunguka fence yote...
 4. BASHADA

  Unapochagua Mwenza wako, ijue Sheria hii ya Mahusiano. Utakuja kunishukuru!

  vipi wale ambao wanapishana mwaka mmoja au miwili, au hata mwanamke ni mkubwa kwa miaka miwili au moja
 5. BASHADA

  Ila Waziri Kalemani hapa umefeli.....

  CCM mbele kwa mbele, maendeleo hayana chama
 6. BASHADA

  Natafuta data za mvua na joto ya kila mwezi kwenye mikoa ya Kagera, Dodoma, Tanga kuanzia 2006 mpaka 2016

  Nimeshamfahamu huyo mtoto wako, jana nilikuwa naye alikuwa anaulizia kitu hicho hicho. Nitamsaidia mkuu usijali ila na yeye atanisaidia in kind maana mzuri kweli kweli
 7. BASHADA

  Miaka inakata niliosoma nao from primary to University wengi wametoboa kimaisha mi bado nasota,najiuliza Nakosea wapi?

  Kosa lako la kwanza ni kujilinganisha na wengine. Kamwe ukifanya hivyo hutakuja kuwa na amani ya moyo na hutakuwa na malengo yako. Mimin nina gari, nyumba, mke na watoto na kazi ya salary 1.5m lakini kila nikijilinganisha na wengine naona mimi maskini wa kutupwa, nikiangalia kuna waliokuwa nyuma...
 8. BASHADA

  J. K. Nyerere: We run walk while others walk. Naomba msaada

  Naomba mwenye kukumbuka anisaidie hiyo statement aliitoa Nyerere, mwaka gani na kwenye tukio gani. Ikiwezekana na kitabu chenye quotation ya hiyo statement nitafurahi
 9. BASHADA

  TANZIA: Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

  Ndo tulipofika mkuu. Mwananchi wa kawaida ukitoa taarifa utashtakiwa maana wewe siyo mamlaka. Kuna jamaa yangu alipata ajali ya gari usiku akafa pale pale. Mwanzoni kabla hajafa tulikuwa tunahaha kwenda kuokoa maisha yake lakini kabla hatujaondoka tukapigiwa simu kuwa amesharest in peace. Kwa...
 10. BASHADA

  TANZIA: Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

  Daaaaah, asubuhi hii nimeamka tu nikajikuta jicho linapepesuka kwa spidi ghalfa nikasema "in the name of Jesus, shetani shindwa". Nikafumba macho nikasali, ile nafumbua macho nawasha data nakuta hii habari. So sad.
 11. BASHADA

  Natafuta gari used ya kufanya taxi.. budget 3m...automatic transmission

  Na muda ni mchache pia. Nimeshakutakia kila la heri sasa unapanic nini buana?
 12. BASHADA

  Natafuta gari used ya kufanya taxi.. budget 3m...automatic transmission

  Bei siyo tatizo. Imetembea km ngapi, engine ikoje? Take care gari namba A.... usibweteke na rangi inapakwa tuu. otherwise kila la heri
 13. BASHADA

  Ushauri wa Bure juu ya gari yako

  Kweli JF is never boring
 14. BASHADA

  Oddometer ya gari imeanza kujihesabu upya

  Ukitaka kudanganya walau uongo ukaribiane na ukweli. Kumbuka juzi tu hapa tumeambiwa na jiwe watanzania siyo wajinga kivile.... Kwa hiyo tuseme aseme amenunua ikiwa na 0km, ikatembea kutoka Dar mpaka Msolwa tuu ndo imefika hiyo 115
 15. BASHADA

  MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

  Uzi mzuri sana huu ila tunaomba utuwekee na upande wa pili... Mambo ya kuzingatia unapouza gari! . Mimi nauza Spacio new model, sasa nimekutana na mambo kadhaa. Hapo kwenye namba 3. wameshakuja madalali kama watatu, wote wanakwamia bei ya 6.5m, mwingine 7m, mwingine 7.5m. Mimi nimetangaza 8m...
 16. BASHADA

  Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

  HUYO ANAYEPONDA SHULE ZA WASABATO HATA HAJUI MATOKEO YA SHULE ZA WASABATO, ASINGEANDIKA UPUPU WAKE HUO, NIMEMUWEKEA MATOKEO HAYO HAPO 1. GOODWILL SS, DIV. 1= 2, DIV 2= 10, DIV 3=21, DIV 4=3, DIV 0=0, KIMKOA YA 9/45, KITAIFA 82/1371. 2. Tanzania Adventist, DIV 1=4, DIV 2=29, DIV 3=36, DIV 4=14...
 17. BASHADA

  Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

  NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK, INAONEKANA UNA CHUKI NA WASABATO, ANGALIA MATOKEO YAO HAPA CHINI ALAFU UJE TENA 1. GOODWILL SS, DIV. 1= 2, DIV 2= 10, DIV 3=21, DIV 4=3, DIV 0=0, KIMKOA YA 9/45, KITAIFA 82/1371. 2. Tanzania Adventist, DIV 1=4, DIV 2=29, DIV 3=36, DIV 4=14, DIV 0=2, KIMKOA YA...
 18. BASHADA

  Matokeo ya Kidato cha Nne CSEE na QT 2018 yatangazwa! Shule ya Wasichana St. Francis ya Mbeya yaongoza

  NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK, INAONEKANA UNA CHUKI NA WASABATO, ANGALIA MATOKEO YAO HAPA CHINI ALAFU UJE TENA 1. GOODWILL SS, DIV. 1= 2, DIV 2= 10, DIV 3=21, DIV 4=3, DIV 0=0, KIMKOA YA 9/45, KITAIFA 82/1371. 2. Tanzania Adventist, DIV 1=4, DIV 2=29, DIV 3=36, DIV 4=14, DIV 0=2, KIMKOA YA...
 19. BASHADA

  Nahitaji Gari

  Hakuna kinachoshindikana chini ya jua. Inategemea specifications na ubora wa gari lenyewe. Kuna rafiki yangu kauza Raum hivi karibuni 4.5. ila hata ukiangalia kwa macho unaona kabisa gari limechoka hata mngurumo wake. Nikuambie kitu mkuu? Mtu anaweka price tag ya gari kulingana na sababu mbali...
 20. BASHADA

  Nahitaji Gari

  Black market hujaipa maana na heshima yake stahiki. Unaitumia vibaya. Kama unajua kuwa its my legitimatedecision kuuza au kutokuuza, pia its my legitimate decision kuipublish au la. Na pia its the legitimate decision ya mteja kununua au kuacha. Upo baba!!! Tatizo JF huku kila mtu mjuaji sana...
Top Bottom