Search results

 1. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Itakuwaje kama Lissu akashinda urais bila kupata Wabunge wa kutosha?

  Kama tunajadili kama porojo sawa, ila kama unataka tufanye mjadala serious kabisa ni kupoteza muda tu maana kila mwenye akili njema anajua Lissu hatoshinda.
 2. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

  Tanzania ni nchi huru comrade, hao wazungu wako hawana nafasi.
 3. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam amuandikia barua Rais Magufuli siku 5 kabla ya Uchaguzi

  Mtaweweseka sana Jpm bado yupo sana. MITANO MINGINE TENA.
 4. T2020JPM

  Fahamu mchakato wa utangazaji wa matokeo ya uchaguzi wa Urais

  Wakuu, na huo ndio utaratibu utakaotumika kumtangaza jemedari Magufuli maana mpaka sasa ni ameshashinda tayari. Ccm oyeee
 5. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Namna ya kutafuta kura 3m zilizopelea 2015

  CHADEMA hakuna rangi mtaacha kuona mwaka huu. CCM tayari ushindi tunao ila tunataka wa kishindo.
 6. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Comrade huko kujitoa ufahamu ndo kunawatesa na mtaweweseka sana endelea kujitia upofu kuwa Magufuli hajafanya kitu.
 7. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Sasa akishashinda unategemea atatangazwa nani? Comrade mbona maswali ya kitoto?
 8. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Magufuli kushinda hilo lipo wazi kabisa kwa kazi njema aliyoifanya hadi vipofu wameiona.
 9. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Comrade una mawazo mfu sana, Lissu awezi kushinda kamwe wala uyo mtetezi wa wasenge Amsterdam hana madhara yeyote kwetu.
 10. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Wenzetu wapi comrade mbona huwataji? Kama unafikiri tarehe 28 hatutampigia kura Magufuli na wagombea wa ccm nikupe pole sana.
 11. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Kwamba Lissu atakuja kufunga kampuni na biashara zangu? comrade kuwa na fikra kidogo basi.
 12. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Ndio maana nimekwambia kwa mustakabali mzuri wa taifa yaliyotendeka yalipaswa kutendeka
 13. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Wapiga dili lazima mseme mmekandamizwa si mirija imekatwa
 14. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Kiongozi imara ni yule anayesimamia anachokiamini kuwa ni sahihi kwa mustakabali mzuri wa nchi bila kujali idadi ya wachumia tumbo na wapiga dili watakaomkataa kwenye sanduku la kura. Magufuli ni kiongozi imara sana nyie mkimkataa sisi wazalendo wa kweli tutamchagua kwa wingi wetu.
 15. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Nakazia Magufuli kushinda ni lazima.
 16. T2020JPM

  Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, ukishindwa uchaguzi uko tayari kukabidhi Ikulu?

  Comrade acha kabisa kuwa mpiga ramli chonganishi. Kwasababu Mbowe ameonyesha kila dalili ya kuwa mwenyekiti asiyekuwa na ukomo wa madaraka haimaanishi kuwa Magufuli naye anataka kufanya ivyo. Ccm tuna utamaduni wa kupokezana vijiti.
Top Bottom