Search results

 1. Mzee wa kusawazisha

  Utofauti wa English na English language kwa wenye Degree ni upi?

  Kule kwenye application kuna masomo mawili haya English na English language, ukichagua English zinakuja Primary Schools na English language zinakuja Secondary School, swali kwa wazoefu, tunaomba ufafanuzi ili tuchague kwa usahihi asante
 2. Mzee wa kusawazisha

  Nisaidieni wana CIA huyu mwanafunzi namba yangu kaitoa wapi

  Siku ya juma 3 kuna missed call iliingia kwenye simu yangu majira ya sa 3 asubuhi Nikaituma sms akajibu ni mimi mwanafunzi nilikua nataka kujua kama upo hai Corona umesalimika. Swali la kwanza namba yangu umeitoa wapi akajibu kwani ni vibaya kua na namba yako. Niliokota ofisini iliandikwa...
 3. Mzee wa kusawazisha

  Msaada radio mfumo wa sauti kama picha ilivyo

  Nimetoka kununua kispika ila nashindwa kutoa sauti mashine mzima kabisa kama inaonekana hana upande wa flash inasoma ila sauti ndo shida spika yake ya zamani ilitolewa mwenye kujua tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Mzee wa kusawazisha

  Ndugu zangu wa Arusha Mwenye kujua braeburn international school

  Ndugu yenu hapa kutoka mtwara vijijini Nimetuma juzi applications ya teaching kupitia barua pepe nimejibiwa leo Kua wamepokea applications zangu wata shortlist June 24..and they will be back to me ONLY IF... . Hivi Mwenye kujua hii shule iko wapo pale arusha na maisha Yao pale.. NB: naweza itwa...
 5. Mzee wa kusawazisha

  Nafuata cheti changu chuoni Mwenye kunipa connection ya shule ya private

  Wakuu Sasa ni wakati wa kukiishi kile nilichokua nakisomea ndani ya miaka 20 above! Kwa Sasa biashara Zina ukakasi Sana nimetafakari Sana nimeona heri Kua na kazi japo ya salary ndogo tu ili biashara ikifeli unakua na PA kuinuka. Kimsingi sikua na duku duku na kazi nilipomaliza chuo mwaka Jana...
 6. Mzee wa kusawazisha

  Nipo CLINIC nimemleta wife mama K hatua ya kwanza wote kupima VVU

  Wife ni mjamzito, Kibaya zaidi sijawai pima HIV na nimemaliza chuo mwaka Jana nilidet na mtoto m1 sikuwai pima aisee na huyu nae sijui yukoje.. Nawaza nikimbie? Nikikimbia hatohudumiwa hapa nahitaji ushauri wenu kabla sijatimua mbio..
 7. Mzee wa kusawazisha

  Mfumo wa maisha ya Sasa japo nina shahada naona bado giza totoro

  Hua najiuliza tabu zote zile chuoni Toka mwaka wa Kwanza hadi wa mwisho naishia hivi.? Nilikua na ndoto nikihitimu chuo niwe msaada kwa wazazi walionisomesha kwa shida hivi Sasa Sina hata uwezo wa kununua chumvi kwa mama. Nilikua na ndoto nikimaliza chuo soon nioe na kweli nilifanikiwa...
 8. Mzee wa kusawazisha

  Wajuzi wa mifuko ya jamii eg. NSSF naombeni ufafanuzi wenu hapa

  Ukiwa unatarajia kufanya kazi kwenye secta binafsi utaratibu wa kujaza form za mifuko ya jamii kama NSSF ukoje? Je, Kuna utofauti gani kujaza form kabla ya kuanza kazi na baada ya kuanza kazi? Je, mwajiri anahusikaje kabla ya kuanza kazi na baada ya kuanza kazi? Tozo na gharama zikoje?
 9. Mzee wa kusawazisha

  Naomba nipimwe IQ yangu humu ndani Nina hisi nina akili lakini sijui kuzitumia

  Wakuu Habarini Za jioni poleni kwa changamoto za hapa na pale niende moja kwa moja kwenye Mada :... Nimemaliza chuo mwaka Jana fani ya education art, sikuwai kukutana na SUP wala carry. Balaa lipo huku mtaani nimekuja nimeanzisha vibiashara kabla ya kusaka ajira hata private schools lakini...
 10. Mzee wa kusawazisha

  Chuoni sijawahi Pata SUP, Huku mtaani Kuna kanuni gani? Nipeni kanuni za pesa

  Wakuu nimetoka kumaliza chuo mwaka Jana! Miaka mitatu yote sijawahi Pata hata supplementary (namaanisha Nina degree honorable). huku mtaani mambo yapo tofauti kidogo. Kuna kiwango flani cha pesa ama cha uchumi nakitafakari nikifike kwa wakati lakini kila nikiload material bado! Wakuu wenye...
 11. Mzee wa kusawazisha

  Niliyopitia wakati wa kuuza karanga zangu baada ya kuzivuna

  Niliamua kulima mwaka huu karanga nilipata fununu Kua karanga Zina pesa ndefu.. Tayari karanga zimekomaa nikafanya harakati za kuzivuna namshukuru Mungu zilikubali Sana nilipata debe 21 sawa na magunia 3. Nikaanza kuingia mtaani kusaka wateja unaenda anakumbia kaniletee MI najikaza narudi...
 12. Mzee wa kusawazisha

  Hali hii ni tete tu mke wangu kachukuliwa bila ridhaa yake wala yangu

  Moja kwa moja twende kwenye d Mada husika, Toka ijumaa mke wangu alilazwa hospital ya wilaya wale wenyewe kumbukumbu watakumbuka juzi nilipost uzi hapa! Sasa Leo ameruhisiwa Dada Dada zangu walipofika kumuuguza moja wapo ameona bora atoke nae Adi kwake kwa mapumziko tu,,na ametaka nikamchukue...
 13. Mzee wa kusawazisha

  Madktari mnisaidie mke wangu ameanguka gafla na hawezi hata kusimama miguu inamuuma

  Chanzo kulikua Kuna watu Wanagombana Sasa yeye akapatwa mshituko akaishiwa Nguvu ndipo anadondoka mimi nimeitwa kazini Kua mkeo ameanguka nilistuka Sana. Nimeenda nikamkuta amelala anapata pumzi kwa shida Toka siku Ile juma 4 Adi Leo hata kusimama hawezi. Kwa Sasa yupo hospital alipewa drip za...
 14. Mzee wa kusawazisha

  Madktari mnisaidie mke wangu ameanguka gafla na hawezi hata kusimama miguu inamuuma

  Chanzo kulikua Kuna watu Wanagombana Sasa yeye akapatwa mshituko akaishiwa Nguvu ndipo anadondoka mimi nimeitwa kazini Kua mkeo ameanguka nilistuka Sana. Nimeenda nikamkuta amelala anapata pumzi kwa shida Toka siku Ile juma 4 Adi Leo hata kusimama hawezi. Kwa Sasa yupo hospital alipewa drip za...
 15. Mzee wa kusawazisha

  Huyu mke wangu aisee! Hivi wanawake wa kihaya ndo walivyo?

  Wakuu Toka nimemsafirisha mtoto mzuri kutoka bukoba to mtwara Nina miezi miwili! Nililazimika kuchukua likizo ya mwezi mmoja na nusu ili niwe nyumbani tu na huyu binti! Sasa muda umefika nataka nichakarike na kazi lakini huyu mke wangu simuelewi! Kila nikitaka kutoka asubui inakua mgogoro Mara...
 16. Mzee wa kusawazisha

  Nimehamisha salon kutoka eneo moja na jingine. Duh! wateja bado Sana sijui ndo ugeni

  Wakuu siku ya jumamosi nimehamisha salon kutoka mji mmoja kwenda mwingine lakini huku napambana na changamoto ya wateja inafika muda nakumbuka kule kwa mwanzo duh Sent using Jamii Forums mobile app
 17. Mzee wa kusawazisha

  Natafuta partner wa 3 wa kupanga nao mipango ya biashara

  Wakuu hapa tayari Nina wazo nahitaji member wengine wa 2 tupange mawazo chanya ya biashara ili tufanikiwe tuna hitaji mawazo chanya yenye Nguvu Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app Sifa za partner wawe na mawazo ya Aina hii Kua mtende jangwani unachipua na kustawi vizuri hata kama Kuna...
 18. Mzee wa kusawazisha

  Ushauri Nina uwezo mkubwa wa kutafuta pesa lakini ndoa yangu na mke wangu ipo hatarini

  Wakuu Sina mengi Leo naomba wale wenye wisdom wanieleze hapa namna gani naweza kutenga mda wa kutafuta pesa na kumpa muda mke wangu.. Jana nikiwa kwenye harakati zangu mke wangu alinitext na kulalamika simpi muda wa kutosha.. Na ikumbukwe Kua Sina mwezi tu Toka nianze ishi na muhaya huku kusini...
 19. Mzee wa kusawazisha

  Nina changamoto ya kihisia Natamani nikae siku hata 3 bila kusex na mke wangu lakini giza likiingia tu namlaza chali

  Wakuu nisaidieni ila chanzo nahisi ni huu uzuri wa mke wangu huyu wa kihaya.. Nifanyaje nikae japo wiki? Kuna watu wameoa Toka kitambo humu waje hapa Sent using Jamii Forums mobile app
 20. Mzee wa kusawazisha

  Toka mke wangu nianze kumkabidhi pesa zangu zote nikitoka kazini napata kitu cha ziada

  Wakuu nimeamua kujitoa kwa wife wangu, nakabidhi Amana yangu yote nikitoka kazini basi anajiskia Safi Sana na anajitoa Kwangu kwa kila kitu.. Mwanaume hebu fuata hii principal utaona matokeo Amani full Maraha tu.. Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom