Search results

 1. S

  Tukikumbuka ya Magufuli, hatutayasahau ya Bernard Membe

  Watanzania si wasahaulifu wa mambo na wala si watu wasiojua mbichi na mbivu. Tofauti ya Rangi nyeupe na kijani,manjano ama nyekundu. Hii siile miaka ambayo siasa ilikuwa ni ya kishabiki. Wananchi walidanganywa wazi wazi na WANASIASA kwa sababu hawakuwa na namna waliendelea kutawaliwa...
 2. S

  Kwanini baadhi ya Watanzania hufurahia sana mabaya yanapotutokea kama Taifa?

  Ni swali linalonishinda kujijibu. Labda mnisaidie kuelewa. Ni kwa nini hasa baadhi ya Watanzania hufurahia sana wakati nchi inapitia changa moto mbalimbali hasa zinazohusu kusutwa ama kunyimwa misaada na wafadhili? Ndege yetu ilipokamatwa SA, wengine walipiga vigelegele vya furaha, tunapotaka...
 3. S

  Magufuli Haeleweki !!

  Rais Magufuli mara nyingi anashangaza sana na wakati mwingine HAELEWEKI. Ninaposem Haeleweki nina maana ya kusema HATABIRIKI his next move! Labda amekuwa mwanafunzi mzuri wa msemo huu wa Kiingereza usemao‘ ”When people KNOW you they DESTROY you, when they FAIL to know you they CALL YOU...
 4. S

  Uchaguzi 2020 Taasisi za Kimataifa zatoa tafiti zao kuhusu Magufuli na uchaguzi wa 2020

  Habari za utafiti wa hivi karibuni toka shirika amaTaasisi ya kimataifa ya Intelijensia ya Kiuchumi/ Economist Intelligence Unit/EIU lenye makao yake makuu jijini London Uingereza, limetoa matokeo yake ya kitafiti kuhusu UCHAGUZI ujao wa 2020 wa Tanzania. Taasisi hiyo ya kimataifa ambayo ndo...
 5. S

  Bila Magufuli kushika utawala awamu hii ya 5 je nchi ingekuwaje kufikia mwisho wa mwaka huu na kipindi kama hiki?

  Hebu kidogo tuchemshe bongo. Nimeleta swali zuri tu tulijadili. Kama rais Magufuli asingeingia madarakani katikla awamu hii nchi ingekuwaje na hasa kwa watu MASKINI na wanyonge? Sisemi he is flawless/mapungufu. Maana ukweli kabisa nchi hii tulifikia kipindi cha mtu kulinga hata kukutisha kwa...
 6. S

  Kutekwa na kuachiliwa kwa Mo ni baraka kwa Serikali ya Magufuli

  Baada ya kelele nyingi na mizinga mingi ya maneno ya lawama Ziliyotupiwa serikali ya MAGUFULI kuhusu utekwaji wa Bilionea Mo na hatimaye kupatikana/Kuachiliwa kwake na watekaji waliokuwa wamemteka na KUJULIKANA kuwa walikuwa ni watu kutoka nchi jirani. Hili limeondolea lawama serikali ya Mh...
 7. S

  Ili kutimiza ndoto dhidi ya ufisadi itabidi, PCCB, DCI na DPP washirikiane kwa dhati pasipo mashindano!

  Wakati mwingine ninamhurumia sana Mh Rais Magufuli anapopangua teuzi na kupanga upya. Kwa akili ya haraka bila kuwa na uelewa ni rahisi kumwona kama HAJUI ni nini anachokifanya. Pointi yangu ni kuwa Sasa Mh rais Kamuapisha Mkuu mpya wa PCCB . Na katika ushauri wake RAIS aiisisitiza sanal sana...
 8. S

  Ikulu ifafanue kauli ya Rais Magufuli kuhusu uzazi wa mpango, maana tayari imepotoshwa

  Kauli ya jana ya Mh.Rais John Pombe Magufulii kuhusu mpango wa uzazi umeeleweka vibaya na hivyo kipotoshwa na VYOMBO VYA HABARI vya KIMATAIFA. Wengine wamesema "Rais Magufuli AUKATAA MPANGO WA UZAZI Tanzania" Na mashirika mengi pia yameandika magazetini leo habari hizo za KUPOTOSHA...
 9. S

  Wateule wa Rais Magufuli tuondoleeni aibu hii

  Ninapoandika uzi huu sisemi kwamba ni WATEULE wote wa rais wana tabia hii ambayo nitaielelza hapa chini. Ila ni BAADHI yao hawajui kabisa ETHICS za KIUTUMISHI.Na wanafanya kama vile mwalimu na mwanafunzi wa shule ya msingi. .Sina maana ya kudharau Walimu wa Msingi bali ni mfano tu kuwa...
 10. S

  Mwanasiasa mwanamke mwenye asili ya Kitanzania aingia Bungeni Pakistani

  Katika historia ya kwanza ya Paskstani, chama cha PPP kinachoongozwa na mwana wa aliyekuwa waziri mkuu wa Pakstani Marehemu Benazir Butho, kimemteua mwammke wa kwanza mwenye asili ya Tanzania Bi Tanzeen Qanbran aliye na umr iwa miaka 39 kama mbunge wa viti maalumu. Bi Tanzeela aliye na shahada...
 11. S

  Jina la "Magufuli" liandikwe katika moja ya ndege kubwa

  Wana JF naandika uzi huu ili tuujadili. Mh. Rais Magufuli kusema ukweli tuache haya mengine huyu rais kafanya makubwa kwa muda mfupi sana. Anahitajika KUKUMBUKWA na KUTAMBULIWA kama kiongozi jasiri anyeona mbali. Moja ya jambo hilo ni kufufua shirika letu la ndegeATCL ambalo lilikuwa limekufa...
 12. S

  Mh. Tundu Lissu apewe ulinzi na Serikali ya CCM punde atakapomaliza matibabu nchini Ubelgiji

  Wana JF naandika hili katika bipartisan views/Maoni yasiyoegemea chamachochote. Ili mtu asije akaanza kuniita majina. Tundu Lissu ni kiongozi mashuhuri wa upinzani na hilo halipingiki. Ombi langu ni kuwa itakuwa vizuri sana kwa serikali ya CCM kumpa ulinzi kama Kiongozi mashuhuri aliyeepuka...
 13. S

  Joto la mafanikio ya Serikali ya Magufuli laanza kuigwa na nchi zingine

  Mafanikio ya nchi yetu na mabadiliko katika hali ya kubadi;lisha mambo na utendaji wa mambo na hasa KASI ya Rais Magufuli katika kuleta MAENDELEO, imeanza kuigwa hata na jirani zetu. Tayari nchi ya Uganda imeamua kufuata mkondo wa Tanzania katika kuliamsha shirika la ndege la Uganda kwa kununua...
 14. S

  Jifunzeni toka Zimbabwe, Mugabe aitwa bungeni ili ahojiwe kuhusu ufisadi!

  Bunge letu la Tanzania linahitajika sana sasa KUBADILIKA kilingana na NYAKATI. Tumeimbiwa wimbo wa oh Mafisadi tutawawafunga, Oh mafisadi watajaa gerezani sijui nini. Na matokeo yake ni madogo sana. Wimbi hili liloanza halitakoma linahitaji BUNGE JASIRI lisilo mwangalia mtu usoni. Ningeomba...
 15. S

  Sitashangaa sana ikiwa siku moja kama RC Paul Makonda atapewa uwaziri

  Naandika maoni yangu ama mada yangu huhusu mtu aliyeitwa majina mengi sana ili kimuharibia sifa zake kielimu na ki social. Kinachonishangaza ni kuwa RC Makonda huziba masikio na kukifanya kile anachoona ni haki. Siandiki mada hii kwa kujipendekeza, maana kazi yangu inanitosha. Utabiri wangu ni...
 16. S

  Je, TISS mnawashauri nini Watanzania ikiwemo watumishi wa Serikali hasa baada ya CIA, FBI NSA nk kugutuka?

  Wana jamvi, tunaweza kuwa na mitazamo tofauti kulingana na miegemeo ya siasa zetu. Lakini inapofikia USALAMA wa nchi yetu tunavua RANGI na KOFIA za VYAMA vyetu na tinabaki Watanzania WALIO na UMOJA. Maana hatuna nchi nyingine ila ni hii yetu Tanzania. Tunaweza kuchagua marafiki huku tukiwa...
 17. S

  Mkutano wa Umoja wa Afrika: Nchi 23 zaweka saini mkataba wa anga huru; Tanzania hatumo

  Katika mkutano wa viongozi wa Umoja wa Nchi za Afrika AU uliokutana Addis Ababa chini ya Kiongozi wake mpya wa umoja huo Rais Paul Kagame, liweza kuwashawishi viongozi wa Kiafrika kukubali na katika huweka saini mkataba utakaojulikana kama Single African Aviation Market. Yaani mkataba...
 18. S

  Mbinu zinazofanywa na CCM huenda zikawagharimu

  Mbinu ama mchezo wanaotumia CCM katika kupata wanachama {VIONGOZI} toka vyama vingine vya UPINZANI na hasa Chadema huenda kukawagharimu siku zijazo. Kuna wakati hata mimi niliandika juzi juzi humu kuwa huenda wananchi wa KAWAIDA wakajiunga na CCM na nikatoa sababu nilizokuwa nimeziona mimi...
 19. S

  Hii ndiyo sababu kuu ya wana CHADEMA wengi kuhamia CCM

  Wana JF Chadema wako katika hali ya sintofahamu wakijiuliza kwa nini hasa watu wanatuacha na kukimbilia CCM? Jibu ni kuwa sababu KUU ni kuwa wengi wamegundua UNAFIKI uliomo chamani na miongoni mwa VIONGOZI wao. Hasa walipokuwa wakimwita Rais Magufuli kuwa ni DIKITETA. Mfano mzuri ni wakati...
 20. S

  TRA waangalie pia kanisa Katoliki na mengine ambayo ni tajiri sana baada ya Kakobe

  Wana JF. Sheria ni msumeno. Kama matamshi ya Bishop Kakobe yamemletea haya yote ya TRA kuangalia mali za kanisa lake basi ni lazima ionekane wazi kuwa si msukumo wa KISIASA. Kwanza mimi sijakutana naye na simfahamu in person. Once nchi yeyote ikianza kusumbua sumbua watu wa Makanisa {DINI}...
Top Bottom