Search results

 1. A

  Ilikuwa kosa Lowassa kumuunga mkono Kenyatta

  Kilichomfanya Lowassa kumuunga mkono Kenyatta kilikua kitendo very miscslculated, kama alikua amefanya hivyo na chama chake kumpiga bao Mh. Rais Magufuli kutokana na urafiki wa karibu aliokuwa nao na Odinga. Basi matokeo ya mahakama kutupilia mbali ushindi wa Uhuru yanamuweka Lowassa na Chama...
 2. A

  Rushwa Wizara ya ardhi bado ni janga la rushwa la kitaifa

  Wadau, Pamoja na jitihada za serikali yetu ya awamu ya tano kuchukua hatua kadhaa za kuboresha utendaji katika Wizara ya ardhi bado cancer ya corruption iko pale pale! Hii pia inachangiwa na wakuu wa vitengo kufofuatilia au kutokuchukua hatua kwa watumishi walio chini yao. Suluhisho la wizara...
 3. A

  Chanel ten yaendelea kumpa coverage Makonda

  Wadau, Kituo cha televisheni cha chanel ten leo katika taarifa ya habari ya saa mmoja imeendelea kumpa coverage Paul Makonda pamoja na katazo lililotolewa na chama cha wanahabari Tanzania, je chama kwa kukiuka agizo hilo kitamchukulia hatua gani? Na msukumo huu wa kituo hiki kukiuka...
 4. A

  BRELA bado kuna harufu ya rushwa na uzembe

  Wadau, mimi ni mjasiria mali ambae nilikuwa nataka kufungua kampuni yangu, kwa utaratibu wa BRELA unatakiwa ulete proposal ya jina la kampuni yako na system yao inafanya search ili kuhakiki jina hilo, kama hakuna mtu mwingine mwenye jina kama lako basi system italirudisha na kulipa okey. Hicho...
 5. A

  WATOTO WALIOUNGANA, MUHIMBILI HAINA UWEZO WA KUWATENGANISHA

  Kuna watoto amezaliwa huku wakiwa wameungana sehemu za tumbo watoto hawa wamezaliwa huko singida na wameletwa muhimbili, nachotaka kusema ni kuwaomba muhimbili wasijaribu kufanya majaribio kama operation hawajawahi kuifanya au kujaribu kufanya experiment na viumbe hawa wachanga, waachieni...
 6. A

  KAULI YA RAISI MAGUFULI KUHUSU 'TOTAL OVERHAUL' YA JESHI LA POLISI INA MAANA GANI?

  Naunga mkono kauli ya Mh. Magufuli wakati akimwapisha kamanda sirro ya kuwa afanye 'total overhaul' ya jeshi la polisi. Kwa kusema hivyo naamini pia alikuwa anamaanisha jeshi lifanye kazi kwa mbinu za kisasa na weledi mkubwa pamoja na kutumia busara kuliko ilivyo sasa, kama sikosei 'overhaul' ni...
 7. A

  Ajali iliyochukua maisha ya waanety 32, "TRAFFIC HAWAWEZI KUEPUKA LAWAMA"

  hebu fikirieni ndugu zangu kiwango cha faini wanazotupiga barabarani, tena siku hizi imefikia hatua ya kulazimisha makosa au kuvizia kwa madhumuni tu ya kuingiza pesa, najiuliza hii pesa tunayotangaziwa inaingia kwa mamilioni inakwenda wapi!??? Tulitegemea ingewekezwa basi kwenye vifaa vya...
 8. A

  Mh. Kitila mkumbo maji Dar es salaam sasa bei maradufu

  Nilikua namsikiliza ndugu yangu Katibu mkuu Maji leo pamoja na kuhimiza usambazaji wa maji na kulipa madeni sijui kama anaelewa bei za maji katika jiji hili zimepanda mara dufu kiasi cha kujiuliza kama kulikoni tunaishi jangwani ilhali nchi imezungukwa na maji na mito pande zote za nchi. Bidhaa...
 9. A

  Hivi tumejifunza nini kwa kifo cha mchezaji Ismail Khalfani wa Mbao Fc?

  Tumekua ni watu wakusimulia tukio linapotokea na baada ya muda tunasahau na maisha yanaendelea bila kujifunza wapi tumekosea na nini kifanyike. Mfano ni tukio la mchezaji ismail wa mbao fc. ukiliangalia kwa makini inawezekana ni mshtuko wa moyo baada ya kuanguka hivyo kusababisha moyo kusimama...
 10. A

  Hizi lugha za kudhalilishana za ATCL sijui viongozi hawa vipi!

  Nilikua naangalia taarifa ya mkulu wa Air Tanzania aliyokua akiitoa juu ya wafanyakazi wa ATC. Kinachonihuzunisha si hatua zilizochukuliwa bali ni kauli ambazo zimeonekana kama kuwadhalilisha wafanyakazi ambao inakusudia kuwapumzisha. Hawa watumishi hawana kosa na waliajiriwa kwa kufuata...
 11. A

  Hakuna! Sijaona mbadala wa kiongozi ambaye angeangusha Tsunami yo moto kama Magufuli!

  Anafanya mambo ambayo huko nyuma ilikua ni desturi, ulaji wa wachache bila ya wengi kufahamu, kama hili la Viongozi kuweka mifedha ya umma kwenye fixed deposit kumbe wanavuta mihela kiulaini bila ya watu kujua yapungue. Nilikua nashangaa nchi changa tena maskini kama hii benki kibao! Marekani...
 12. A

  Jamani serikali, hivi kweli mbunge Lema yuko Lupango mpaka leo?!

  Duh! Hivi Mh. Lema kakosa nini kiasi cha kusota lupango mpaka leo? People's Power iwapi na viongozi mlituahidi kuja kwa wingi mahakamani kumtoa mbunge wetu, kama hataachiwa! Kipi kimewarudisha nyuma makamanda wangu ? Halafu siwaoni viongozi wa kitaifa hata mmoja kuja mahakamani kumpa...
 13. A

  Rais Magufuli ametisha, amevunja rekodi ambayo waliomtangulia wameshindwa

  Kweli Rais Magufuli ni jabali ambalo Mwenye enzi amemjalia uwezo wa kuthubutu ambao wengi walio mtangulia kwa miaka thelathini wameshindwa tena walishindwa kweli kweli kwakuwa hawakuwa na dhamira. Fikiria mipango mikubwa ambayo waliomtangulia walikua kila kukicha yanaongelewa mdomoni pasipo...
 14. A

  Kunani Lema kutengwa na wanasheria nguli?

  Nimekaa nikajiuliza mbona Lema hatetewi na nguli wa kisheria waliopo CHADEMA kama Tundu Lissu au Mabere Marando badala yake anatetewa na mawakili wa changa na wasiojulikana, je ni ishara kuwa hawamjali au wamemchoka kwa vurugu zake na utitiri wa kesi alizonazo?
 15. A

  Msiba wa Mh. Sita unanipelekea kuuliza, kupita mbele ya marehemu, nini unachotakiwa kukifanya?

  Katika coverage hii ya kumuaga Sitta, naangalia napata swali pengine wadau mtanisaidia, hivi kuaga mwili wa marehemu ni kupita na kuchungulia tuu au kuna kitu unachotakiwa ukitekeleze pale mbele ya mwili wa marehemu kama sala fupi ya kumuombea kwa mola, kama ni sala iweje watu wanapita na...
 16. A

  Hilarry won the US Election, American people have spoken

  Damn America election system, Hilarry must have won majority votes, watch this!
 17. A

  PM Modi abolishes its currency notes in a supp rise move

  The Magufuli of India, PM Modi has made a surprise move by abolishing Rs 500, Rs 1000 currency notes from midnight tuesday: PM Narendra Modi's address to the Nation. Corruption, terrorism, black money weakening the nation. In a major step to check black money, Prime Minister Narendra Modi on...
 18. A

  Nachukia kuwaona wanamuziki wengi wa bongo flava wanapo perform live

  Sijui kwanini wanamuziki wa kibongo inapokuja ku perform live ukiondoa christian bella wengi wanaimba tofauti na nyimbo zao tunazoziona kwenye luninga na redioni. Pumzi na key zinapotea sijui tatizo liko wapi.
 19. A

  Hili jiji litaondokana na utegemezi wa traffic kuwa ndio taa za barabarani na utatuzi wa foleni?

  Nashindwa kuelewa mamlaka za serikali hii zimejipanga vipi kuhusu kukithiri kwa foleni, Imeonekana sasa kazi na suluhisho ni kuwaachi Traffic police. Kwakweli polici wetu pamaja na kulaumiwa wakati mwingine. wanafanya kazi kubwa sanaa. Huku wahusika kuonekana hawana habari au wamegubikwa na...
Top Bottom