Search results

 1. mzalendoalltz

  “Usiogope Covid. Usiache itawale maisha yako." Maneno ya Trump

  My take: Walitakiwa kumsikiliza Rais John Pombe Magufuli alituambia tangu miezi kadhaa iliyopita kuwa tusiogipe, kama dunia ingezingatia ujasiri huu wa Rais huyu mjasiri zaid duniani leo tusingekuwa tunaahirisha shule kama wenzetu Kenya, tungekuwa na COVID-19 free ZONE like Tanzania. Kongole kwa...
 2. mzalendoalltz

  Ni ipi akili kubwa hapa? Kufungia watu wafe njaa ama kupambana kwa tahadhari watu wale maisha?

  Nimeangalia ndugu zetu hawa wafuata mkumbo nimegundua mengi sana. Mosi: Kuna wananchi wanadanganywa hapa ati COVID-19 inaongezeka kwa kasi sana, yawezekana hii ikawa ilikuwa janjajanja ya watu fulani kupiga hela. Pili: ina maana gani unamfungia mtu asiambikizwe COVID-19 ili hali mtu huyohuyo...
 3. mzalendoalltz

  Katiba ya Kenya ni nzuri sana ila hawaioni

  Kuna kipindi alikuja mjinga mmoja hapa akasema utamu wa katiba ya kenya na kuponda sana katiba ya tanzania nakubali katiba yetu ina mapungufu na ya kwao ni nzuri ila nashangaa kwann wanataka kuibadilisha to suit some minority needs and not majority. Utamu wa katiba mpya, Wakenya tujifunze na...
 4. mzalendoalltz

  Wakenya tusome hapa

  Viongozi wa Kenya endeleeni kushupaza shingo mwisho wa siku zitavunjika. Ninachotaka kusema ni nini? Wasaidieni wakenya(wananchi) kwa sababu hii vita ya Corona ni kwenda nayo kwa umakini sana. Wazungu ni watu wa ajabu sana, Kwanza hawapendi nchi yenu bali wanapenda kuitumia kama tambara bovu...
 5. mzalendoalltz

  Naona hapa kuna jambo lakini wawe makini sana wanaojaribu kuliibua bila kusababisha madhara kwao

  Naona hapa kuna nchi wanaitumia Tanzania kama sehemu ya kisingizio kuwa kuongezeka kwa kwa Coronavirus ni kwa sababu ya TZ kutofanya lockdown. Lockdown haina maana kwa nature ya huu ugonjwa, cha maana ni elimu kwa wananchi waelewe jinsi unavyoenea na kujikinga kwa kuvaa PPE, kula vyakula vya...
 6. mzalendoalltz

  Huwa tunasema Kenya ina viongozi wanaofikiri kila Jambo ni fursa lakini kwa hili mmefeli

  Hawa viongozi wana akili kweli wanaona jinsi China inavyohangaika na hili gonjwa halafu wao kwanza ndio wanafanya misifa ati wanasema wasafiri wote wako salama. Mkenya gani aliyenda kuwapima huko China na kuiletea taarifa serikali? Akili za panzi Wafukuzwe kazi maana wana akili ndogo sana hawa...
 7. mzalendoalltz

  KQ and ATCL wanaelekea wapi?

  Wana JF kuna mmoja anapunguza ndege na kuna mwingine anaongeza ndege hii imekaaje? Hii ina tofauti na wale wanaotamani kuikimbia ndoa na wengine wanataka kuingia kwenye...
 8. mzalendoalltz

  Magufuli si mchezo, wale majirani mnao mhadaa ipo siku mtakubali tu

  Naona Rais Magufuli anafanya vitu vinavyokuna mioyo, anafanya juu chini kuhakikisha nchi inajengwa, Rufiji hydro power Nchi yoyote yenye umeme si kificho kuwa uchumi wake hukuwa haraka sana, kutokana na ukweli kwamba viwanda vikubwa na vidogo vitaongezeka, mazingira yatadumishwa maana hata...
 9. mzalendoalltz

  Mh Rais Hebu tupia jicho la pili huko Tamisemi/Tarura ziara za nje ya nchi zina umuhimu?

  Tunajua huu ni wakati wa kila mtanzania kbana matumizi, kulipa Kodi na kujinyima mengi ili tuweze kujenga Bwawa letu la umeme na mwisho wa siku umeme utapungua bei sana. Hawa wanasimamia barabara za mjini zinazofadhiliwa na world bank, barabara hizi bado hazijafikia viwango wa trunk roads kwa...
 10. mzalendoalltz

  Katika pitapita zangu nimekutana na hili namuomba MK254 anitafsrie

  Hivi kweli jambo kama hili kwa nchi yenye kipato cha kati yanawezatokea ama naota.
 11. mzalendoalltz

  Bariki, Accasia na GoT nani mshind?

  https://www.thecitizen.co.tz/news/Barrick-CEO-speaks-of-risks-in-Tanzania-situation-/1840340-5130542-kurjikz/index.html
 12. mzalendoalltz

  Tanzania na Uganda tuungane kusaidia wenzetu Wakenya waliokumbwa na baa la njaa

  Ukame Kenya Waturkana 14 wafa kwa njaa Nimewahi kusema maneno mengi hayavunji mfupa. Wakenya wengi wanaleta habari za kuonyesha kuwa wako second world, lakini ukiwaambia kuwa utajiri mwingi haupo kwa wananchi wa kawaida hawaelewi. Utajiri mwingi wa Kenya Umelala Nairobi sehemu nyingine ni...
 13. mzalendoalltz

  Kenya wako vizuri kujifumza

  Katika pitia somasoma yangu ya bbc nimekutana na hili Wakenya nao wameenda kujifumza si China, USA wala EU bali kutoka Tanzania. Si kila wakati mnasema Tanzagiza, mara LDC lakini muwe mnasema Tanzatechno maana hapa mmefunga safari kwenda kujifumza. Hongereni majirsni Jinsi kinyesi kinavyogeuka...
 14. mzalendoalltz

  Wakenya kazi mnayo, ina maana Wachina wakichukua port ya Mombasa wana uwezo wa kuchukua na sehemu nyingine ya nchi?

  Huwa nakisikia haya majamaa yanavyoongea kwa kujigamba unaweza ukahisi hii dunia ni mali yao, kumbe kazi ya ni kusaini tu mikataba bila hata kuangalia ina athari gani. Kuna Mkenya humu kaandika uzi kwa majigambo akishangilia kuona viongozi wake wakisaini mikataba ya EPA bila hata kuangalia nn...
 15. mzalendoalltz

  Kumbe Kenya pamoja na kujidai koote na shirika lao la ndege walidhulumu ndege za EAC

  Nimensikia Rais wangu akisema baada ya EAC kuvunjika Kenya ilitoa order ya ndege zote zipack pale Kenya. Tuliambulia ndege 1. Ebwana Wakenya pamoja na kujidai kote walidhulumu ndege za tz, ug bila hata shukrani. Hawa jamaa ni hatari
 16. mzalendoalltz

  Kuna watanzania wako serious na kauli ya Rais ya viwanda

  Kuna hawa jamaa wanajiita WOP, Himo-Tuneries aisee wana Products za viatu, bags, football, mikanda, n.k vyoti ni ngozi original. Niliwahi kununua kiatu miaka mitano iliyopita mpaka sasa utafikiri ni kipya na kwa sasa naona wanauza vitu vya kwa bei ya kawaida sana.Kwa kweli wananikosha Roho...
 17. mzalendoalltz

  Wizara ya mambo ya ndani angalizo

  Kuna wageni, kama vile wachina wanasema wanakuja kufanya utalii lakini wakifika wanapokelewa na wachina wenzao hasa kwenye kazi za barabara (ujenzi wa barabara), migodi, n.k . ukifika kwenye hizi sector kuanzia mpishi, mlinzi, dereva wote ni wachina, wabongo wanapewa kazi za hovyo sana. wana jf...
 18. mzalendoalltz

  Hongera Rais Wangu, Ila kuna mapato yanapotea

  Pole na Shughuli wana JF Kwanza napenda nijitambulishe kuwa mimi siegemei kwenye siasa bali uzalendo zaidi Napenda tena kutoka moyoni kumpongeza Rais wangu kwa mambo mengi mazuri anayoyafanya, hataka kama kuna machache anakosea lakini kwa mwelekeo wa Rais Wangu, ana kauzalendo ndani yake...
 19. mzalendoalltz

  TANESCO Tegeta mna tatizo gani?

  Wana JF, TANESCO inatunyanyasa sana, wanakata umeme kila wakiamua bila hata taarifa. Yawezekana Mtukufu Rais hajui kinachoendelea. Tunamuomba Rais aitembelee TANESCO maana kwa hali biashara haziendi TRA watakusanya nini? Sisi wananchi wa kawaida. Jua kali ndani hakukaliki wakati mwingine...
 20. mzalendoalltz

  EPA Kuangamiza EAC

  Ndugu wanajf Nimeona tujadili hili suala kwa kina. Je huu si UKOLONI mambo leo. Watu wa Ulaya wanasema eti si tukauze free kwao. Halafu sisi tusiwatoze kodi yoyote katika bidhaa zao 90% zinazoingia nchini. Sisi tunazalisha nn, Kenya wanasema wanauza maua Ulaya je, Wakenya wajue kama watakubali...
Top Bottom