Search results

 1. K

  presidential decree ni nini?

  Wajuzi naomba kujua unapozungumzia presidential decree ni zipi. Naomba kuwasilisha wakuu
 2. K

  Nini maana ya msemo kazi ni kipimo cha utu

  Naomba kujuzwa kuhusu huo msemo maarufu
 3. K

  Inaruhusiwa kuvaa kanzu ukiwa kazini kwa Mtumishi wa Umma?

  Naomba kuuliza Sheria, miongozo ya kazi ya Watumishi wa Umma inaruhusu kuvaa kanzu mahala pa kazi?
 4. K

  Ndoto yangu kubwa ni kufika Dar

  Mimi ni kijana kutoka kanda ya ziwa (msukuma) natamani kufika Dar nasikia sifa zake tu japo joto kali linanifanya nisitimize ndoto yangu hiyo ya kuja Dar.
 5. K

  Nini maana ya methali hii?

  Wakuu msaada please, nini maana ya hii methali "Jitihada haiondoi kudura"
 6. K

  Filamu ya kitambo sana madawa ya kulevya naitafuta

  Wakuu, naomba kuijua jina la filamu ya kitambo kidogo iliwahi kirushwa na mlimani tv miaka 2011 miongoni wa waigizaji ni Irene Sanga. Anayeijua inaitwaje anisaidie wakuu.
 7. K

  Wadau naomba ufafanuzi kuhusu hili la Hons katika Degree

  Wadau naomba ufafanuzi tafadhali Nini maana Hons katika degree? Nje ya UD kuna chuo kinatoa? Vigezo vyake ni vipi? Chuo kina uwezo wa kumpokonya alumni wake degree?
 8. K

  Vigezo vinavyozingatiwa katika rank za Vyuo Bora Duniani

  Wadau, naomba msaada kujua ni vigezo gani vinavyozingatiwa katika kupanga ranks za Vyuo Bora Duniani? Naomba kuwasilisha
 9. K

  Je, Rais akivunja Bunge Nchi inaongozwa na nani?

  Wajuzi wa sheria, Naomba msaada wakati rais anavunja bunge kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nani anaongoza nchi? Naomba msaada katika hilo.
 10. K

  Ipi bora kati ya Kozi ya Rasilimali Watu (Human Resources)inayotolewa ba Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na ile ya Chuo kikuu Mzumbe?

  Naomba wajuzi mnijuze ni Human Resources (HR) Manager yupi ambaye atakuwa na weledi kati ya HR Manager aliyesoma degree yake Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) au Chuo cha Mzumbe (MU) kulingana na course outline ya kila chuo husika. Naomba kuwasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
 11. K

  Uzi wa lodge au guest house classic Dar zilizojificha

  Wadau tujuzane guest house na lodge kali dar zilizojifisha Bei ya yake na maeneo inapopatikana. Sent using Jamii Forums mobile app
 12. K

  Tatizo la nywele kuwa nyekundu kwa wanaume

  Nina tatizo kwenye nywele zangu zikianza kuwa kubwa zinakuwa nyekundu nitumie mafuta gani? kwasababu kwasasa huwa natumia movit & Olive Sent using Jamii Forums mobile app
 13. K

  Wajuzi misemo msaada

  Naomba msaada wa hiyo kauli nimeambiwa na rafiki yangu Leo " Gharama za kuelimika ni ndogo sana kuliko gharama za kuhifadhi ujinga kichwani." Sent using Jamii Forums mobile app
 14. K

  Msaada wajuzi wa forex

  Msaada, Mimi nilikuwa namtumia broker templer kutoa pesa kupitia m pesa lkn bot wamemfungia nifanyaje kutoa pesa zangu wakuu? Sent using Jamii Forums mobile app
 15. K

  Msanii wa Jumba la Dhahabu anayeitwa Mikala yupo wapi?

  Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu, naomba kujuzwa kuhusu msanii aliyetamba kipindi cha nyuma kidogo katika tasnia ya Bongo Movie hususani katika tamthilia ya Jumba la Dhahabu. Naomba kuwasilisha wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
 16. K

  Profesa anathibitishwa na taasisi gani?

  Kama ilivyo ada katika taalumu kama Law kuna shule ya sheria, uhasibu kuna NBAA nk. Lakini licha ya kufahamu kuwa ili mtu awe Profesa especially Tanzania ni lazima awe na Shahada ya Uzamivu yaani PhD na kufanya tafiti mbalimbali na machapisho, naomba kujua kuna taasisi au tume ya kumthibitisha...
 17. K

  Viva Rais Magufuli Viva Mwakinyo

  Nachukua Nafasi Hii Kuipongeza Serikali ya Awamu ya Tano chini ya jemedari wetu Rais Magufuli kwa Kumlea Vizuri Mwakinyo na Kumtengenezea Mazingira Mazuri ya Ushindi Leo hakika mwakinyo umeiletea sifa Tanzania na Africa kwa ujumla.najivunia kuwa mtanzania Pia Pongezi Kwa UVCCM Mkoa wa Tanga kwa...
 18. K

  Tuliosoma Mzumbe University wakati inaitwa IDM

  Tukumbushane kuhusu mazingira yote ya uswazi juu & chini, Changarawe, malecturer unaowakumbuka.
Top Bottom