Search results

 1. B

  Kuna siri gani kwa wahindi

  Watu wanatokea nchi tofauti na tabia zao zinakuwa tofauti na zetu kutoka na mazingira waliotokea. Mfano mzuri wa karibu ni Kenya. Wakenya sio watu wa msaada ingawaje ni majirani zetu. Hii ni kutokana na mfumo wa maisha wa nchi yao. Wamejengwa katika system ya kujitegemea kwa asilimia 100, hakuna...
 2. B

  IGP Sirro: Gari lililomteka Mo Dewji ni la nchi jirani. Kwa sasa hatuhitaji msaada wa vyombo vya uchunguzi kutoka nje. Tuviamini vyombo vyetu

  None sense kabisa. Kuna maswali ya kujiuliza mengi tu kutoka hiyo taarifa ya Sirro. 1. Ni kwanini watoe namba ya gari leo wakati imeshapita siku 8? Namba ya gari ilitakiwa itoke masaa machache tu baada ya tukio ili watu wakiiona watoe taarifa. Hii leo hao jamaa si watakuwa wamefika hadi...
 3. B

  Kangi Lugola: Ni marufuku kuanzisha mijadala juu ya kutekwa kwa Billionea Mo Dewji

  Haya ndiyo matokeo ya kuteuliwa watu kuwa viongozi wa idara bila ya kuzingatia elimu zao na vigezo maalum vya kumfanya astahiki kuwa kiongozi wa idara hiyo. Tunaongozwa na viongozi wasiokuwa na hekima na busara za uongozi. Ndiyo maana unasikia kila leo kiongozi mmoja anaripuka kuongea upuuzi tu...
 4. B

  Haji Manara akamatwa, ahojiwa tukio la kutekwa Mo Dewji

  Hata kama kadanganya kuwa yeye ni msemaji wa familia bado haimfanyi kuwa ni suspect. Polisi wafanye kazi yao na sio kukamata watu hovyo hovyo tu.
 5. B

  Pigo kwa USA : F 35B ya Marekani yaanguka huko Carolina

  Hii Maada ni sawa na mtoto wa shule amejikwaa halafu ukatangaza kwenye huu Uzi. Ni jambo la kawaida kwa nchi hizo na Walla halihitaji majadiliano yoyote.
 6. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Zipi hizo fikra za kisasa??? Zipi hizo fikra za kale????
 7. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Hafufuki ila aliyekufa. Inamaana YESU alikufa??? Yaani MUNGU alikufa??Halafu alipokufa huyo MUNGU dunia hii ilikuwa inaendeshwa na nani wakati alipokuwa KAFA???? Yaani kwa kweli Common sense haifanyi kazi mbele ya Imani. Munadanganywa kama watoto wadogo kwenye Biblia YENU.
 8. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Sasa ngoja tukonyeshe uongo wako; Nakunukuu; 2. “Believers, do not ask about things which, if revealed to you, would disappoint you. Some people before you did ask such questions, and on that account LOST THEIR FAITH.” (Quran. 5: 101-102) Hiyo[emoji121]️ tafsiri yako ya uongo umeizusha na...
 9. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Kama ulishaona hivi karibuni Bondia wa wa Kibongo Hassan alipigana na Bondia wa kiingereza na kumpiga. Baada ya hapo alikuja mkalimani mmoja ambaye alikuwa anatafsiri maneno ya Hassan kwa kizungu wakati akihojiwa na mwandishi wa habari wa Uingereza. Huyo mkalimani alikuwa anaongea maneno tofauti...
 10. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Tunaelewa kuwa Imani ni kitu kigumu kuachana nacho. Utaona watu wanaabudu Kya, Mwezi, Mvua, Ng'ombe, hata Mapumbu. Lakini ukimwambia hiyo sio sahihi hakuelewi. Kwa sababu amezaliwa kujua hivyo na kufundishwa hivyo miaka yote. Si rahisi kumuelewesha. Nanyi hivyo hivyo, mumekuwa kujua kuwa kiumbe...
 11. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Ungesema uongo upi? Manake maelezo yote yako wazi na yanajieleza yenyewe kutoka kwenye Bible na Quran. Hakuna neno nililolibuni. Sasa kama uliona nililolisema uongo wewe ungeliweka sawa na ungetoa ushahidi wa kutoka Quran au Biblia yako. Kusema wewe "muongo" bila kielelezo chochote ni kukubali...
 12. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Ungejibu ningeshangaa. Manake hapo huna la kusema.
 13. B

  Theft at Dar Airport last checkpoint. Be aware!

  Not a chance. It was stolen right there. 100% sure.
 14. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Hayo majibu yako hayaendani na maelezo yangu. Nimekupatia Quotes za Bible za YESU kusema kuwa YEYE ameletwa kwa ajili ya wana wa ISRAEL pekee. Sasa wewe mbona unajibu upuuzi??? Kwa ukumbusho tu; soma nilichokuandikia awali kisha linganisha na jibu lako. Ni vitu viwili havifanani.
 15. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Hapa hatuongei based on personal opinion. Hapa tunaongea vitu kwa ushahidi tu. Kwani hapa ndiyo sehemu ya kujifunza. Sasa kila mmoja ni vyema aweke personal opinion pembeni na alete facts tu. Jenga hoja kwa maandiko ya either Biblia ambayo ndiyo kitabu chako au Quran ambacho ndiyo kitabu chetu...
 16. B

  Theft at Dar Airport last checkpoint. Be aware!

  Theft at the FINAL Security Checkpoint in Dar Int'l Airport I am writing this personal experience not to get any sympathy from the reader but to raise awareness to the public out there not to fall Victim as I have. I wouldn't want to see or read any of you getting the same or a similar...
 17. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Ni kweli na sisi tunakwambia hivyo hivyo. Wewe abudu umtakaye na sisi wacha tuabudu tumtakaye. Shika njia nenda zako. Huna hoja hapa.
 18. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  🤣🤣🤣🤣 baba Kasim???? Nani huyo???? We sakala kweli!
 19. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Wewe ni Katika watu ambao hawana hoja ya kuchangia. Yaani ulichokituma na unachokiongea ni vitu viwili tofauti. Yaani hauna tofauti na chizi anayetembea barabarani na kuongea vitu visivyoeleweka. Unahitaji utafakari hali uliyokuwa nayo kwanza. Mazungumzo yako hayana tija. Nimekwambia waache...
 20. B

  Mtume Muhammad: Jamii isipotoshwe; Jua huzama katika Chemchemu ya matope Meusi na Mazito

  Matthew 15:22-28 New International Version (NIV) 22 A Canaanite woman from that vicinity came to him, crying out, “Lord, Son of David, have mercy on me! My daughter is demon-possessed and suffering terribly.” 23 Jesus did not answer a word. So his disciples came to him and urged him, “Send her...
Top Bottom