Search results

 1. mzalendoalltz

  Looting and vandalism in South Africa (Nothing remains in Gauteng's rail network)

  Unesahau nchi yako ni maskini wa kufa mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 2. mzalendoalltz

  “Usiogope Covid. Usiache itawale maisha yako." Maneno ya Trump

  My take: Walitakiwa kumsikiliza Rais John Pombe Magufuli alituambia tangu miezi kadhaa iliyopita kuwa tusiogipe, kama dunia ingezingatia ujasiri huu wa Rais huyu mjasiri zaid duniani leo tusingekuwa tunaahirisha shule kama wenzetu Kenya, tungekuwa na COVID-19 free ZONE like Tanzania. Kongole kwa...
 3. mzalendoalltz

  Wizi wa fedha za umma waendelea Kenya

  Mk254 anapita Kimya Kimya Hapa
 4. mzalendoalltz

  Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

  Huru na haki zikitawala CCM mkifikisha 10% Mungu saidia. Ila kwa sababu tume yenu, polisi wenu, mahakama zenu basi hamna budi kujitangaza. Ila mchukue tahadhari kipindi hiki
 5. mzalendoalltz

  Wakenya bana! Kenya in space station deal with China

  Hapa wakenya mnatumika kama toilet paper tu basi
 6. mzalendoalltz

  Uchaguzi 2020 BBC Swahili wamesema kwenye makubaliano yetu na kampuni ya uchimbaji madini ya Barrick kwenye zile asilimia ni kama tumepigwa

  Tundulisi si ana character zote za kibeberu , si bora jiwe ambaye hata kwao hataki kwenda
 7. mzalendoalltz

  Where is CS Mutahi Kagwe?

  Huyu katoa ushauri mbaya sana kwa serikali yake. Ona sasa watu wanahangaika
 8. mzalendoalltz

  TCAA yaziruhusu Ndege za Kenya kutua Tanzania

  [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kaisoma weee ikampendeza kaamua kuirudia kama ilivyo
 9. mzalendoalltz

  Kenya toughens sea warfare team with more marine commandos

  Hawa wanaitisha Somalia, nawaambia Wale Wasomali hawatishiki[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 10. mzalendoalltz

  Uchumi wa Kenya wasambaratishwa na Corona, Tanzania mbele kwa mbele

  Wajirudi tuendelee na maisha huu uoga hausaidii
 11. mzalendoalltz

  Ni ipi akili kubwa hapa? Kufungia watu wafe njaa ama kupambana kwa tahadhari watu wale maisha?

  Nimeangalia ndugu zetu hawa wafuata mkumbo nimegundua mengi sana. Mosi: Kuna wananchi wanadanganywa hapa ati COVID-19 inaongezeka kwa kasi sana, yawezekana hii ikawa ilikuwa janjajanja ya watu fulani kupiga hela. Pili: ina maana gani unamfungia mtu asiambikizwe COVID-19 ili hali mtu huyohuyo...
 12. mzalendoalltz

  Watanzania wakamatwa na vilipuzi wakiviingiza Kenya kimagendo

  Usipoteze Mda na watu wanaofikiri kuwa wao ndio kila kitu. Na Mtu akiwa na fikra hasi na nchi yako huwezi kumbadili, wakati mwingine uwezo wao wa kufikiri umeishia kwenye CORONA
 13. mzalendoalltz

  Ulaya yaanza kupigwa na wimbi la pili la Covid19

  Sio Africa ni Kenya [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 14. mzalendoalltz

  Marekani inatarajia kuiingiza SMIC ya China kwenye vikwazo, yenyewe yakataa kuhusika na jeshi la China

  Trump anatembea na hawa watu Daa. The Chinese GVNT should break her silence
 15. mzalendoalltz

  While Kenya and Tanzania Fight Over Flights, Rwanda Is Making Hay!

  Let Rwanda do whatever, but Tanzania has to cut tie with neighbour Kenya completely. Ukiona unakata majani halafu mtu anakuletea kichwa anawekea sehemu unayokatia majani ati anazuia usikate unapaswa kukata hiyo kichwa pamoja na majani. Nafikiri sasa tuanze kazi moja, Kenya soko lake kubwa sana...
 16. mzalendoalltz

  Rais Magufuli alichukua hatua mzuri ya kutofunga uchumi Tanzania

  Sema hii ni fursa yenu ya kupiga pesa maana ukiondoa Hiyo knockdown hiyo pesa mnayopiga nani atawapa wezi nyie, kazi kudhulumu wananchi maskini kisa Corona.
 17. mzalendoalltz

  Katiba ya Kenya ni nzuri sana ila hawaioni

  Kuna kipindi alikuja mjinga mmoja hapa akasema utamu wa katiba ya kenya na kuponda sana katiba ya tanzania nakubali katiba yetu ina mapungufu na ya kwao ni nzuri ila nashangaa kwann wanataka kuibadilisha to suit some minority needs and not majority. Utamu wa katiba mpya, Wakenya tujifunze na...
 18. mzalendoalltz

  Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

  Kwa mpumbavu pekee ndiye atakayesikia maneno yako kuwa kenya inalinda watu wake. Lakini wakenya wa kweli wanakuambia viongozi wenu wanatumia hiyo kama sehemu ya kupata pesa na sehemu ya kufanya ufisad
Top Bottom