Search results

 1. T

  Natafuta dawa inaitwa naloxone

  Habari wana jf natafuta dawa hiyo hapo mimi ni muhanga wa tramadol niko dependant so dawa yaweza nsaidia ni hiyo lakini Tanzania hamna zipo kenya au uganda. ila kuna baadhi ya pharmacy zipo sasa natafuta anaejua anisaidie nizipate.
 2. T

  Msaada wa kutengeneza simu

  Ndugu wanaJamiiForums heshima kwenu. Nilinunua simu ya Sumsung Galax S8 ambayo ni hizi wanaita T-Mobile. Sasa simu ina line 2 lakini inatumia line moja kipart kingine cha kuweka simu hakisomi, 2G na 4G ndo inafanya kazi lakini 39 haifanyi kazi japo inashika ila ukitaka kutumia mtandao...
 3. T

  Wapi naweza kupima ugonjwa wa lupas

  Habari wana jamii, Naomba msaada wa kujua wapi naweza kupimwa ugonjwa wa lupas maana ninashida moja inanitokea mwilini sasa nimemsikiliza dada mmoja hajrati mwenye ugonjwa wa lupas naona kama namimi ni wenyewe lkn nataka nipime kwanza ni wapi kwa dar naweza pata kipimo hicho.
 4. T

  Habari wadau nimeathirika na tramadol yani niko tramadol dependant

  Habari viongozi mimi ni mwanamke wa miaka 40 hivi kuna kipindi niliugua sana kiuno nikawa napewa tramadol nikawa nasikia nafuu kubwa sana. Sasa nimekuwa deoendant siwezi kumeza tramado saivi nameza hadi vidonge vinne kwa pamoja ndo zinafanya kazi. Bila hivo siwezi kufanya chochote bila kumeza...
 5. T

  Naomba kujua bei ya iphone 8

  Ndugu wadau wa jf naomba mwenyekujua bei ya simu hii iphone 8, mpya originala. Kingine naomba mwenyekujua hii simu anijuze nataka kutumia hii simu ikoje katika matumizi yake kati ya hii iphone 8 na iphone 8 + . Na iphone 7 ipi bora japo mimi nimependa iphone 8 kwasababu ni ndogo kuishika...
 6. T

  Simu Samsung Galaxy S8 haishiki mtandao wa Halotel

  Habari wana Jamii Forums naomba msaada mwenye kujua nina simu mpya ya Samsung S8 inashika network ya Tigo na Voda lakimi haushiki Halotel ambao ndo mtandao ambao uko available sehemu ninayoishi. Unakuta inashika network inaandika h+ lakin ukisearch kitu hakiji mfano Youtube haifunguki hata...
 7. T

  Simu haishiki network

  Nimenunua simu aina ya Samsung Galaxy tab A6, haishiki network yoyote lakini nilivoingia ndan kwenye setting - conection ile phone network hilo neno halipo kwenye simu. Je inawezekana simu haina network, au kuna jinsi ya kuinstall kwa kutumia Wi-Fi maana nikiconect na Wi-Fi naweza kudownload...
 8. T

  nikiwasha data kuna aplication zinakuja nidownload na matangazo

  Habari wana jamii forum nima simu sumsung s8 ndo nimeanza kuitumia sasa nashangaa kila nikiwasha data kuna application zinakuja nidowload maana inaandika download app afu inakuja na makelele ajabu usia time to drink water inapiga kelele sivitaki hivo nifanyeje? Kingine vimatangazo tangazo vingi...
 9. T

  Msaada wa kuongeza space kwenye sumsung galax j7prime

  Habari wadau mimi ninatumia sumsung j7prime nime download nyimbo kama 20 na aplication wasap, istagram, c.scaner, vidmate imejaaa hamna nafasi tena. Nikitaka kudownload kitu inaniletea option ya kufuta app zilizopo. Naomba mwenyekujua jinsi ya kuongeza nafasi au kutumia memory card kama internal...
 10. T

  Msaada wa sumsung galax s6edge inapata moto sana

  Habari wana jamii forum nimeamua kujichangachanga nikanunua simu samsung galax s6 edge mpyaaaa kweli kako vizuri ila hii simu nikiwasha data inaapata moto mnooo afu haitunzi charge, nikicharge naweza itumia saa moja tu nacharge tena ila nisipowasha data inakaa hata masaa 4 na kuendelea ila...
 11. T

  Msaada wa kupunguza uzito kwa pills

  Habari wana jf. Naomba mwenyekujua naweza kupata wapi vidonge vya phertamine kwa Tanzania ama dukagani la dawa maana wameniambia inapungiza uzito ila lazima upate prescription ya daktari ambayo Kwangu sio kazi naandikiwa tu ila pakuzipata. Msaada plz
 12. T

  Nijuzeni kuhusu kijana Sungura aliyeuawa Africa Kusini akiwa masomoni

  Habari wana jamiiforums juzi nimesikia kuna kijana aliyeuawa Africa Kusini akiwa masomoni namtambua kwa jina la nyumbani Baraka Sungura kwa anaejua huyu jamaa alipatwa na nini hadi kupelekea mauti yake?
 13. T

  Ni kweli herbal slimming tea inasaidia kupunguza kizito.

  Habari naomba mwenyekujua anisaidie ni kweli herbal slimming tea inasaidia kupunguza uzito? aliye wahi kutumia ama alieshuhudia mtu natumia na kapungua anisaidie nahitaji kupunguza.
 14. T

  Maduka ya simu samsung original

  Msaada wana jf naomba msaada wa kujua samsung original kwa dar ni sehemu gani . naomba mwenyekujua ananambie
 15. T

  Msaada: Hii ni original Samsung galaxy j7 prime?

  Habari sana Jamie forum . Chief_ mkwawa naomba Msaada nimenunua simu samsung galax j7 prime, mbona haina feature za samsung. Japo iko vizuri mtandao, camera, lakini ni nzito tofauti na Samsung nnazozijua, haina ule mstari wa kijani unatokeaga juu na sio amolled , kwa ujumla iko tofauti na...
 16. T

  Msaada WA Kipp cha Sony Experia m4 aquar

  Habari wanna jf Nina kasony kangu kazaman hakasomi kwenye display so natafuta display mpya ntaipata wapi? Na kwa bei gani?
 17. T

  Msaada wa kuweka background nyeusi kwenye SIM

  Habari wanna jf naomba mwenyekujua anisaidie jinsi ya kuweka black background kwenye Simu ya Samsung Galax j7 prime. Yani isiwe wall paper background yote nninapo fungua ukurasa wa contact, message, wasp, na mengineyo yote kwenye Simu. Nashukuru
 18. T

  Msaada wa bei ya sumsung j7 prime

  Wana JF msaada wa simu sumsung galax J7 prime, na J7 pro Samsung laini pia hii teminology ya flag ship ina maana gani?
 19. T

  Ushauri: Mume wangu hanipi tendo la ndoa, najisugua na vidole hadi nafika kileleni

  Habari wana JamiiForums, Mimi ni mwanamke nimeolewa ila mume wangu hataki kunihudumia tendo la ndoa, hataki kukaa karibu na mimi anaishi wilaya nyingine, lakini anajifanya Mchungaji huku anakaa hata mwaka hajaniduu. Sasa uvumilivu ukanishinda nikajitafutia buzi sasa yule buzi ana mke kuonana...
 20. T

  Msaada wa sabufa ipi nzuri

  Naomba wataalam wa vitu hivi mnisaidie sabufa gani ni nzuri quality ina equilizer, base yani vile vitu vyote vizuri, niliwahi kuuliza humu sikupata majibu mazuri nimeenda kununua latech yani likubwaaa zuri la sura sh 170,000. Halina sauti halina equilizer, hamna bluetooth yani hovyo kabisa afu...
Top Bottom