Search results

 1. S

  Uchaguzi 2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

  Mbona hata hao wenye sera, wanaishia kuweka ahadi ya kutekeleza mambo ya wenzao.
 2. S

  Uchaguzi 2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

  Kitendo chako cha kuondoa baadhi ya vyama, kinaonesha kuwa huna nia nzuri na Taifa. Hata baada ya kupata uongozi, mtandelea kuwa wabaguzi. Ni kwa nini hajaacha vyama vyote ili wapiga kura waamue wenyewe ? Hii in amaana uko tayari kua hicho Chama.
 3. S

  Zingatia wazungu wanaposema life begins at 40

  Mambo mengine ni kutishana tu, yaani kwa elimu ya kobongobongo at 40s ndo unaanza kupata kipato halafu uanze kujifungia, maisha unaanza kuyala lini sasa ?
 4. S

  Uchaguzi 2020 Ujenzi wa daraja jipya la Wami wafikia 45%

  Hii ni hisani au ni wajibu wa Serikali ? Hata kama sio yeye ni lazima lingejengwa tu.
 5. S

  Droni zawapa changamoto kubwa waongoza ndege

  Hicho ki-drone si kinapeperushwa na upepo huko mbali kabisa
 6. S

  Je, Kipeperushi Hiki cha CCM Kimesajiliwa? Mbona Kinapotosha Wananchi?

  Uchaguzi sio wa jukumu la Chama cha siasa bali ni jukumu la Tume ya Uchaguzi, hivyo kipeperushi kinachowaelekza watu namna ya kupiga kura, kinatakiwa kutenda haki kwa wagombea wote. Kwa nini hicho haioneshi wagombea wote ?
 7. S

  TANZIA Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed afariki dunia

  Hee, kumbe JF kuna watu ambao wamekaula chumvi kiasi hicho !!!!!
 8. S

  Uchaguzi 2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

  Hongera CDM kwa kushutka mapema, vinginevyo, angekuwa nawapiga kutoea ndani. Ni afadhali ss anatokea nje.
 9. S

  Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Jina Langu Lipo Namba Moja, Usihangaike Kuangalia Kwingine

  Binasi naona katika huo mpangilio, Tume umetenda haki. Kilichofanywa na Tume ni kuwapanga washindani Wakuu katika hali ambayo ni rahisi kuonekana. Kama CCM ingekaa mwanzo, halafu CDM iwe katikati au hata namba 2, ingekuwa vigumu kuonekana . Lakini sasa kila chama kinaonekana kwa urahisi, kazi ni...
 10. S

  Car4Sale Toyota Premio

  Imeishatembea km ngapi ?
 11. S

  Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndani ya Mwendokasi kuelekea Kariakoo

  Hiyo ni kazi ya Chama na Serikali yoyote iliyoko na itakayokuwa madarakani. Kufanya maendeleo kwa wananchi sio hisani bali ni lazima kwa sababu ni kodi za wananchi na mikopo ambayo italipwa nao.
 12. S

  Hebu piga picha kama Tundu Lissu asingerudi

  Bila Lissu waliobaki wote ni mawakala wa Chama Tawala, hakuna ambaye angeguswa kama ilivyo sasa. Unaona wanaguswa ? Labda ACT - Wazalendo kidogooo.
 13. S

  Uchaguzi 2020 Lissu ni mtu jasiri, jaribio lolote la kuiba kura zake litaleta shida

  Kwani Polisi wao walikuwa kivulini ? Kwa taarifa yako jana, ile ilikuwa ni kampeni ya uchaguzi kubwa sana tena ikiendeshwa kwa gharama za Jeshi la Polisi.
 14. S

  Aisee kumiliki gari kumbe gharama hivi? Nimetumia 505,000/= kufanya service!!

  Kupigwa kuko pale pale na umepigwa tu, mafundi na wazuza spair ni kitu kimoja, hizo bei tayari kuna cha juu cha fundi hapo. Ndo maana unaona mara nyingi bei za ufundi zinakuwa chini ili kukuvuta siku nyingine uende, lakini kwenye spair ndo anapata faida.
 15. S

  Kulikuwa na faida gani ya kubadili jina la shirika letu la habari kutoka TVT (Televisheni ya Taifa) na kuitwa TBC (Tanzania Broadcasting Corporation)?

  Ilikuwa ni lazima watumie lugha ya kiingereza ? Kwani isingekuwa Shirika la Utangazaji la Taifa ?
 16. S

  Uchaguzi 2020 Kumbuka: Karatasi za kupigia kura zitakuwa na picha ya Bernard Membe kama Mgombea Urais wa ACT Wazalendo

  Hizo kura nyingi zaidi ya wagombea wengine zitatoka wapi kama Tundu Lisu tu hataweza pata kura nyingi ?
 17. S

  Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20?

  Kamaa huamini kuwa huamini kuwa Corona imepungua Tanzania, onesha ndugu, jamaa au rafiki yako ambaye kafa kwa Corona. Aidha, pitia pia marafiki zako wa kwenye mitandao kama vile Whatsap, Facebook n.k, kuna aliyefariki ?
 18. S

  Mwalimu auawa kikatili Tarime

  Unaweza kuwa umekuwepo siku za hivi karibuni, lakini huwezi kufahamu kuliko wenyeji wa hapo. Kumbuka kuwa eneo hilo ni kubwa; na vijana wanaojiandaa kwa tohara ni wengine, je ni wote wanafanya hizo fujo ?
 19. S

  Mwalimu auawa kikatili Tarime

  Sio kweli, nathani kuna tatizo mwaka huu. Haijawahi kutokea katika historia ya tohara, huenda Wazee wanaowandaa vijana kisaikolojia kwa ajili ya tohara na kuingia kwenyu umri wa utu uzima, hawajafanya kazi yao. Aidha, kuhusu huyo Mwalimu, inategemeana aliwaambia nini hao vijana, labda ni mwalimu...
 20. S

  Mwalimu auawa kikatili Tarime

  Hapa umeongopa Mkuu, tohara haifanyiki kila mwaka, ulikutana nao mwaka jana wakiwa wanaenda wapi ? Maana mwaka jana hakukuwa na tohara.
Top Bottom