Search results

 1. doriani

  Muungano una uhalali wa kisheria?

  Kuwepo kwa Muungano wa Tanzania kumekuwa ni jambo la kupigiwa mfano kwa upande mmoja na lenye kutiliwa mashaka kwa upande mwengine kutokana na kukosekana ushahidi wa kisheria unaothibitisha kuwa umefanywa kihalali kwa mujibu wa hati ya Mkataba wa Muungano. Hizi ni nchi mbili ambazo ni Jamhuri...
 2. doriani

  Yaliyojiri siku ya mauaji ya Karume

  Na sio kweli kwamba yeye kaamrisha askari wawauwe wa husika. Hali ilikua hivi: Baada ya taarifa ya kuuwawa kwa Mzee Karume na wauwaji kuikimbia mashamba. Baraza la Mapinduzi walikutana ili kufanya nashauri ya kuwakamata wa husika. Ukweli wengi wa viongizi hao waliziduwa na matumbo kuwa makubwa...
 3. doriani

  Yaliyojiri siku ya mauaji ya Karume

  Kifo cha Karume kilisababishwa na Seif Bakari na Khamis Hemed Nyuni hawa ndio waliokuwa na dhamana ya kikosi maalum cha kumlinda Rais Karume. Tayari aseif Bakari ameshapata taarifa ya kutibiwa kwa silaha na hakuchukuwa hatua ya kulinda Karume angalau mpka zitakapo kamatwa silaha zilizoibiwa...
 4. doriani

  Tanzania tuwe na Tume huru ya Uchaguzi

  Si kweli kilio cha wapinzani siku zote no kudai tume huru. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. doriani

  Muda una maana kubwa sana na tutaifahamu wakati miundombinu inayojengwa ikishaanza kazi kwa ukamilifu

  Hata Kikwete alijenga muundo mbinu. Sent using Jamii Forums mobile app
 6. doriani

  Kesi ya Uhalali wa Muungano kuhamia The Hague

  Hatutaki Muungano la ajabu lipi hapo? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. doriani

  Kesi ya Uhalali wa Muungano kuhamia The Hague

  La ajabu lipi hapo?. Nyerere alitaka Biafra ijitenge na Nigeria unaona ajabu Zanzibar kujitenga na Tanganyika?. Sudani ni nchi moja na imejitenga na sasa kuna Sudan mbili. Acheni Zanzibar ijitenge maana Tanganyika imejigeuza KOLONI. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. doriani

  Dharau ya Waarabu kwa Waafrika Zanzibar, kumbe Mwalimu Nyerere 1957 aliwaonya kwanza kabla ya kuanzisha ASP

  Mbongowakweli. Mbona unatafunia maneno au una asili ya utumwa au una damu ya kiarabu?. Mbona unaibana historia mimi nasikia walikuwa wakiwafira wanaume wa kiafrika na wengi wameuwa mabaradhuli, hii hujaisikia au unamezea kwa vile ni tendo la aibu maana waliowafanyia hata Wayahudi huko ARABUNI...
 9. doriani

  Zitto Kabwe: Kuomba maridhiano kwa Rais Magufuli ni kujipendekeza na unafiki

  Mimi nafikiria Chadema wanaona mbali maana tunaambiwa na wazee kwamba "mtaka cha mvunguni shurti ainame" kaw hivyo Chadema lazima wainame ndio wakioate hicho cha mvunguni bila ya kuonama Hataweza kukipata. Turufu au uti wa mgongo kwa Chama hicho ipo mikononi mwa Tundu Lissu. Kama...
 10. doriani

  Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

  Bwana Mohammed Saidi. Kisiwa cha Zanzibar kina historia ndefu, waandishi wengi wameandika historia ya kisiwa hichi, hata hivyo kuna mambo mengi watoto wetu hawayajuwi kwa vile hayasomeshwi au kupewa nafasi katika vyombo vyetu vya habari. Watoto wetu husomeshwa habari za Mapinduzi, jambo ambalo...
 11. doriani

  Kitabu Cha Wakristo na Biashara ya Utumwa.

  Nyaru kwani hawa mababerian na Vikings hawa washenzi hasa wa kizungu ni watu makatili wa kila nyama mbichi waliuzana kwani hao Maslavia ni wazungu na wanaitwa SLAVIA Maana yake ni Slave.
 12. doriani

  Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

  Battawi. Ukweli fitna zinatoka Bara kuja Zanzibar. Hawa watanganyika ndio chimbuko la fitna yetu. Na hivi sasa wameshakamata serikali na kwenye nafasi nyeti na hivi sasa wanataka kufanikisha kuwepo na Serikali moja. Maana Turufu za Chama cha CCM hivi sasa ni wale wanachama wao wenye uhusiano wa...
 13. doriani

  Kitabu Cha Wakristo na Biashara ya Utumwa.

  Kilicho wa fanya Waingereza kupiga marufuku biashara ya utumwa ni Mapinduzi ya viwanda ambayo yaliweza kuleta afueni ya kuwapeleka watumwa ulaya. Baya zaidi sasa wakaja kuzipora nchi zao hao watumwa wenyewe na kuwatumia katika ardhi zao na kuwalazimisha kuzilima Ardhi zao wenyewe hao watumwa...
 14. doriani

  Kitabu Cha Wakristo na Biashara ya Utumwa.

  Horsishoe tumewekewa "Jukwaa la Historia" Sasa unaposema kwamba mtu anae andika hivi hua hana kazi ya kufanya. Hebu jitathmini uone kosa lako la kukemea mtu anaetumia mlangu huu wa Jukwaa la Historia kuwa ni mpuuzi hana kazi ya kufanya.
 15. doriani

  Kitabu Cha Wakristo na Biashara ya Utumwa.

  Wakurochi unazungumza Waingereza mbona wao ndio walifunguwa Bank ya Barclay kwasababu ya biashara ya utumwa hata hao Waingereza waluzana wao kwa wao katika biashara ya utumwa. Hata Malkia wa I wa Uingereza alifanya biashara sana ya kununua watumwa. Wachina, wahindi, Waafrika na wazungu wote...
 16. doriani

  Kitabu Cha Wakristo na Biashara ya Utumwa.

  Horseshoe. Unajuwa kwako unaona upuuzi kwa vile umeamini ubaya wa Kanisa juu ya biashara ya utumwa. Kama sisi tunvyoamini unyama wa Waarbu walioutenda kwa ndugu zetu. Dogo lako ni kubwa kwa mwenzako. Upuuzi kupewa maandiko na ushahidi wa matokeo ya mapapa na mapadri au na wewe ni miongoni mwa...
 17. doriani

  Kitabu Cha Wakristo na Biashara ya Utumwa.

  Hiki ni kitabu kikongwe katika vitabu vingi hapa Ulimwenguni hata kuzidi kitabu cha Waislamu, na tuangalie kwa pamoja habari hii ya biashara ya watumwa. Utumwa katika dunia. Tukianzia katika miaka ya kiza mwenye nguvu ndie atawale. Vita vinapotokea baina ya nchi na nchi au kabila hii na kabila...
 18. doriani

  Watu weusi Walipokataa madhila ya UTUMWA-Zijue Zanj, Turner na Hait Slave Rebellions

  Soma Makala humu yenye kichwa cha maneno haya: Mtumwa ni nani na utumwa ni nini ameandika bwana dorian.
 19. doriani

  Ukitaka kuua taifa na utaifa, wanyime watu uhuru wa kuhoji na kutowa mawazo yao

  Kawe Alumni. Mbona una kosa nidhamu ya mjadala au lugha yapili kwako ni lugha ya waswahili ambayo wewe kwko sio lugha yako? Kubweka kwenu kwa lugha yenu ya asili manayake nini mwenzangu? Kwani wewe wa Mkoa gani ukinambia nitakufahamu vyema bila ya kulijibu suala nililokuuliza maana ni tajuwa...
 20. doriani

  Ukitaka kuua taifa na utaifa, wanyime watu uhuru wa kuhoji na kutowa mawazo yao

  Ukitaka kuuwa taifa na utaifa, wanyime watu uhuru wa kuhoji na kutowa mawazo yao. Ukitaka kuuwa Demokrasia, wanunue wabunge na wawakilishi wa watu waungane na watawala, wape marupurupu mazuri kutokana na kodi za watawaliwa, wapige msasa wageuke kuwa tabaka maalumu lisiloweza kuhojiwa au...
Top Bottom