Search results

 1. St. Paka Mweusi

  Ni yupi aliyebakiza kumbukumbu ya kudumu katika suala la mahusiano?

  Katika suala zima la mahusiano na mapenzi watu wanatofautiana. Tofauti hizi huacha kumbukumbu nzuri za kudumu na wakati mwingine majuto ya kudumu. Binafsi nishakutana na wengi. Yupo anayeongoza kwa usafi wa mwili. Yupo mtoto wa kindendeule aliyempindua mtoto wa kifipa kwa uzungushaji wa...
 2. St. Paka Mweusi

  Tanzania mbili tofauti..

  Kwa muda wa takribani wiki tatu nimekuwa nje ya mtandao wa jamii forums. Niliamua kujiweka pembeni ya JF ili nifanye kautafiti kangu binafsi..Nilichogundua ni kuwa kwa sasa tuna Tanzania mbili tofauti. Tuna Tanzania halisi na Tanzania dhahania. Tanzania halisi ni ile niliyoishuhudia ambapo...
 3. St. Paka Mweusi

  Nyumba zinapangishwa.

  Nyumba zipo Kinyerezi kwa makofia umbali wa mita 200 toka barabara ya lami. Zipo ndani ya uzio mmoja na kila nyumba ina sebule na vyumba viwili. Chumba kimoja ni master bedroom na kuna public toilet na jiko kubwa. Umeme na maji ni vya uhakika. Usalama was kutosha. Bei ni Tshs 500,000/- kwa mwezi...
 4. St. Paka Mweusi

  Nimekumis mnato.

  Mara ya mwisho nilikutana nawe mwaka 1994. Toka kipindi hicho mnato nimekutafuta katika mabara yote ya dunia hii, sikubahatika kakutana nawe. Mnato ulikua umebebwa na binti aitwae Victoria. Ulikuwa mnato kweli, mwanzo hadi mwisho. Lakini tokea wakati huo sijakutana nawe tenaa. Kila ninapodhani...
 5. St. Paka Mweusi

  Uchaguzi 2020 Naomba nije kivingine kuhusu Tundu Lissu

  Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa. Tukumbuke kuwa hataongoza peke yake na lazima atahitaji wasaidizi. Tuanze na baraza lake la mawaziri. 1:Rais - Tundu Lissu. 2:Waziri Mkuu - Freeman...
 6. St. Paka Mweusi

  Balozi Ali Karume ampasha mpwa wake Fatma Karume

  Msikilize hapa..
 7. St. Paka Mweusi

  Tunakodisha Sound system na kutoa huduma ya uongozaji sherehe (MC)

  Hii ni kwa shughuli za harusi, send off, birthdays kipaimara ubatizo,mahafali pamoja na shughuli zote zinazohitaji vipaza sauti.. Contact 0657279927/0767683094..
 8. St. Paka Mweusi

  Ulichukua hatua gani ulipogundua kuwa mwenza wako kakuambukiza gonjwa la zinaa?

  Mara nyingi tunaambukizwa na wale tunaowapenda na kuwaamini kupita kiasi. Ni nadra sana kupata gonjwa la zinaa pale unaposema napita tu. Magonjwa ya zinaa yapo mengi sana. Yanayotibika na hili baba lao lisilotibika. Sasa wewe great thinker mwenzangu, ulichukua hatua gani ulipogundua kuwa mwenzi...
 9. St. Paka Mweusi

  Maswali mengine dah!!

  Ni baada ya mechi kukolea mpaka uwanja ukakauka Nikatoa pendekezo, paka mate basi iteleze. Naye bila hiyana akaniuliza nipake wapi sasa mbele au nyuma?? Msukuma nikashindwa kuelewa. Hivi hawa watu wanatufikiriaje wanapotuangalia? Wanadhani kila mwanaume anapenda kuzibua??
 10. St. Paka Mweusi

  Kushindwa kusimika. Ilishawahi kukutokea? Nini kinasababisha?

  Nataka nianze kwa kusema kuwa mimi ni mzima kabisa. Na kama kungekua na dawa ya kupunguza nguvu za kiume ningetumia. Maana katika utu uzima huu wa 45+ bado nina uwezo wa kukimbia hata round tisa. Shida ni kuwa kama miezi miwili iliyopita niliokota kamchepuko sehemu. Cha kushangaza ni kuwa...
 11. St. Paka Mweusi

  Nani huumizwa zaidi kimapenzi kati ya mwanaume na mwanamke?

  Kama mada inavyojieleza. Sote huwa tunaumia tunaposalitiwa na wapenzi wetu. Utakuta nimemgharimia kumsomesha, kumsubiri amalize masomo na kuhakikisha anaishi bila ya matatizo. Anapomaliza bila aibu ananiambia wewe sio type yangu wala hukuwa chaguo langu .Kama gharama sema ni kiasi gani...
 12. St. Paka Mweusi

  Ni kwanini wanawake wanakuwa na wivu??

  Albert Einstein alipata kusema kuwa "If you want to understand life,look deep into nature" Sasa unapoangalia katika viumbe hai wote hakuna kiumbe jike hata mmoja mwenye wivu. Wivu wa wanawake hawa unatoka wapi. Wanalinda nini? Kimsingi wivu wa mwanaume unasababishwa na asili ya kila mwanaume...
 13. St. Paka Mweusi

  Tetesi: Kuonekana kwa Paka wakubwa mijini. (Big cats sightings in urban areas)

  Nawasalimu kwa heshima na taadhima wakuu. Alfajiri ya leo mida ya saa kumi na nusu nilitoka ili nifanye mazoezi ya kukimbia kwa nusu saa. Kilichonishangaza ni kuona mgongo wa mnyama mkubwa kuliko mbwa na anamkaribia simba akitembea katika majani marefu. Sikuweza kuona kichwa chake wala mwisho wa...
 14. St. Paka Mweusi

  Muwe mnatuacha tufanye kazi yetu kwa uhuru. Hamtalalamika.

  Nashangaa simu inaita. Namba ngeni. Nikapokea nasikia sauti ya mwanamke. Anajitambulisha mimi ni mkeo wa zamani. Nani nikumbushe wa zamani mpo wengi mbona. Alijitambulisha. Anhaa ni wewe za masiku. Akanijibu nzuri upo wapi siku hizi? Nipo mkoa nahangaika na wewe upo wapi? Nipo Dar bado...
 15. St. Paka Mweusi

  Mke wa mtu ameniota

  Kama mada inavyojieleza wadau. Nina rafiki yangu ambaye anamiliki Mini supermarket. Na pale amemuweka mke wake aisimamie. Mara kwa mara mimi hufika pale kwa ajili ya kufanya manunuzi na kumuungisha rafiki yangu. Kama mwezi mmoja uliopita huyu mama ambaye ni shemeji akaniambia shemeji leo...
 16. St. Paka Mweusi

  Wanawake hivi huwa ni aibu uoga ama ni kitu gani mnachokiogopa?

  Kuna huyu binti. Namuita binti sababu hajafikisha miaka 20 japo amevuka miaka 18. Ilikuwa kila nikitaka kumsemesha anatimua mbio kama amekutana na mchuna ngozi. Mwanaume nikasema huyu ninaye. Kila nikikutana naye mbio tena kama anakimbizwa. Ilifikia wakati hata akiona gari yangu anageuza njia...
 17. St. Paka Mweusi

  Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

  Kabinti ni karembo kweli. Mzee mzima nikasema wacha nitupe nyavu. Baada ya kutoa ya moyoni nikaambiwa mi nina mtu wangu. Nikamwambia hamna shida basi chukua business card yangu ili kama utanihitaji au kubadili mawazo uweze kuwasiliana na mimi. Akaipokea kwa mikono miwili. Siku mbili baadae...
 18. St. Paka Mweusi

  Naomba msaada wadau.

  baada ya kupotea siku nyingi nimejitokeza tena waungwana nikiwa na ombi dogo tu.Naomba yeyote mwenye picha ya First Lady mtarajiwa au Mrs Magufuli aitupie hapa ili tumfahamu.
 19. St. Paka Mweusi

  Happy Birthday Mtakatifu Paka Mweusi....

  Katika jambo ambalo ningeomba litekelezwe kama ningepewa wasaa huo na mwenyezi Mungu, basi ningeomba anirudishe japo miaka 25 nyuma maana naona kila birthday Mtakatifu anazidi kuzeeka....Ila sina jinsi zaidi ya kusema Happy Birthday to me.....
 20. St. Paka Mweusi

  Ni kweli tumefikia hapa..??

  Jana nilimtembelea dada yangu,katika kuongea na binti yake wa miaka 8 aliye darasa la tatu nikamuuliza ili kumpima uelewa wake katika somo la maarifa ya jamii.Nitajie maadui watatu wa Taifa,nilitegemea jibu liwe umaskini ujinga na maradhi.Cha kushangaza katika kujibu mtoto huyo alianza kwa...
Top Bottom