Search results

 1. Ciril

  Kufuatia mgomo wa mashine,Arusha napo wafunga maduka muda huu

  Kufuatia mgogoro kati ya wafanyabiashara na Serikali nchini hali imeendelea kuwa mbaya kiuchumi kufuatia wafanyabiashara wa jijini Arusha nao wafunga maduka yao.Maeneo mengi ya jiji la Arusha wamefunga maduka yao(Stand ndogo/Stand kuu ya mabasi/Mtaa wa majengo/Makao mapya/Chini ya...
 2. Ciril

  Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

  Hali sio nzuri maduka mengi ya wafanyabiashara yamefungwa na kwa sasa ni mabomu ya machozi yanalipuliwa. Polisi imepambana na watu wanaodaiwa ni waumini wa Kiislam walioandamana maeneo ya Kariakoo kudai dhamana ya Sheikh Issa Ponda
 3. Ciril

  Wanachama Wa ccm waandamana mkoani Mwanza

  Wanachama wa chama cha Mapinduzi ccm wameandamana mkoani Mwanza kupinga mgomo Wa madaktari unaoendelea hivi sasa hapa nchini mwetu na kuwataka madaktari waache migomo na kurudi kazini kwa ajili ya uwajibikaji kwa Watanzania wanaongamia kwa sasa kutokana na mgomo wao(Madaktari) Soosss! Star...
 4. Ciril

  Kauli ya Mwigulu Nchemba yaiponza Serikali

  Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema kimeitaka Serikali ithibitidhe ama kukanusha habari aliyoisema mbunge wa Iramba mashariki Mwigulu Nchemba aliyoitoa huko Dodoma kuwa wapinzani wanasukumwa na nchi za nje kuipinga bajeti ili kuleta machafuko nchini ili kuja kuchota mali asili...
 5. Ciril

  CHADEMA hakitoingia ikulu Cuf ikiwa hai

  Chama cha wananchi CUF kimesema CHADEMA hakitoingia ikulu CUF ikiwa hai, hayo yamesemwa na naibu katibu mkuu Tanzania bara Jullius Mtatiro.Alisema CUF imenyaka nyaraka za siri za Chadema zinazoonyesha jinsi CHADEMA kilivyowanunua baadhi ya wanachama wake ktk operation (M4C) yake iliyofanyika...
 6. Ciril

  Kwa nini makinda aliirudisha ripoti iliyokuwa ikimchunguza jairo bila kujadiliwa na w

  Wadau nna wasiwasi kuwa hapa tunataka kuja kupigwa changa la macho.Sheria ya marekebusho ya kupata katiba mpya ulijadiliwa Bungeni kwa maslahi ya taifa .Hii ripoti iliyokuwa ikimchunguza ndugu Jairo kwa nini spika Makinda aliiiamulia mwenyewe kuwa aliona kasoro zinazopaswa kwenda...
 7. Ciril

  CHADEMA acheni kuwadanganya wana wa Arusha - Estomi Malla

  Aliekuwa diwani Wa Chadema kata ya Kimandolu ms naibu Meya Estomi Malla amesema kuwa Chadema iache kuwadanganya wakazi wa jiji la Arusha kwamba watafanikiwa kumwondoa Meya wa jiji la Arusha bwana Gaudensi Limo. Souce:Mtanzania/Habari Leo/Uhuru. Ni nini anachopima huyu msaliti Wa Chama?,ni...
 8. Ciril

  Kamanda Siro ktk kivuli cha Siasa

  Ktk taarifa ya habari jana kupitia ITV,vurugu zilizotokea Jana Kati ya Wamachinga na migambo wa jiji pamoja na jeshi la polisi kamanda Siro amesema pana tetesi kuwa vurugu hizo zilichochewa kisiasa na atazifanyia uchunguzi na ikithibitika hatua Kali za kisheria kuchukuliwa. •Ni kwa nini tatizo...
 9. Ciril

  KASHFA: Mbunge atetea TAKURURU baada ya kufutwa kesi yake ya ufisadi

  Ktk MAKADIRIO YA MATUMIZI YA OFISI YA RAISI, mbunge viti maalumu CCM Mh.Munde Tambwe Abdala amesema wikiliksi walisema uongo kuwa TAKUKURU Inashindwa kuwakamata wala rushwa wakubwa sababu raisi anahusika. Kawalaani pia wanaomtukana raisi majukwaani, kasema TAKUKURU imeshawapeleka wala rushwa...
 10. Ciril

  Maduka mtaa wa Pangani (Arusha) yanawaka moto

  Maduka ya mtaa wa Pangani mjini Arusha yanawaka moto huku kukiwa na kikosi kazi cha zimamoto wakijitahidi kuuzima moto huo.Polisi wapo kuhakikisha ulinzi kwa vibaka wowote watakaotaka kupora vitu ktk maduka hayo
 11. Ciril

  Katibu mkuu CHADEMA (Dr. Slaa) atoa tamko

  Katibu wa chama cha Demokrasia Chaema bwana Willbrodi Slaa amesema wabunge wa Chadema hawataingia ktk vikao vya Bunge Kama Serikali haitomwachia mwenyekiti wa Chadema bwana Freeman Aikaeli Mbowe bila masharti yeyote magumu Sourse ITV habari 8:00pm
 12. Ciril

  Hivi kujiuzulu ni tija?

  Hata kama sektetary ya ccm viongozi wake wamejiuzulu pana tija gani kwa taifa!?,huu unaweza kuwa mchezo wa kisiasa kuwanyamazisha wananchi wakiingia wengine wanakula vilevile kiasi mpaka mje mstukie wananchi watakuwa wanarudi nyuma badala ya kwenda mbele
Top Bottom