Search results

 1. MEXICANA

  Uchaguzi 2020 Nikikumbuka janga la Corona, Watanzania tusipomchagua Dkt. Magufuli bila shaka Mungu atatushughulikia kivingine

  Kumbuka. "Man without God can not, and God without man will not" "Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe" Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye...
 2. MEXICANA

  Dah! Kanisa litammiss Askofu Gwajima katika doctrine ya wokovu

  Ni kweli Askofu Gwajima ameamua kupanua Huduma yake,ila kusema ukweli sjaona pale kanisani kwake anayeweza kufundisha doctrine ya wokovu kama yeye. Vijana wake ni kweli wako vizuri lakini baado Sana kumsogelea kimafundisho baba yao, bado hawajawa na kipawa cha kufundisha na kuhubiri kama baba...
 3. MEXICANA

  Uchaguzi 2020 Nimemsikia MC wa CHADEMA Shinyanga anasema namkaribisha mke wa Rais mtarajiwa Awamu ya Sita (6)

  Hivi hizi awamu huwa ni miaka mingapi, maana kama ingekuwa ni kila baada ya miaka 5 nafikiri zingekuwa zimeshazidi Awamu 5. Mwenye kufahamu hili anifumbue macho.
 4. MEXICANA

  CCM ili kuokoa jahazi Bukoba Mjini Ubunge, Mch. King James atafaa

  Mimi si mzawa wa Bukoba ila nazijua vizuri siasa za Bukoba. Kwa sasa hivi CCM haina mtu wa kumtikisa mgombea ubunge wa CHADEMA Ndg. Chief Kalumuna. Nasema ukweli kabisa bila kuficha, Chief anatakiwa apambanishwe na vichwa vyenye nguvu ya ushawishi kama King James otherwise wanaCCM tujiandae...
 5. MEXICANA

  Uchaguzi 2020 Chief Kalumuna: Mgombea Ubunge pekee wa CHADEMA atayeitikisa CCM kwa Kanda ya Ziwa

  Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake. Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri...
 6. MEXICANA

  Kutawala Vs Kupinga

  Mambo mengine ni vigumu kuyajua mpaka uwe na macho ya rohoni. Nmewaza sana,ni kwanini kwa wazungu hasa west huwa Mara nyingi hawaiti vyama visivyo madarakani kuwa ni vyama vya upinzani. Mara nyingi utasikia " KIONGOZI WA CHAMA KISICHO MADARAKANI KASEMA...." Tukumbuke mwanadamu aliumbiwa kutawala...
 7. MEXICANA

  Tuliosoma shule za msingi kwa kulipa karo

  Tanzania tumetoka mbali saaana. Leo nimekumbuka enzi zile nikiwa Primary School kuna siku nilirudishwa nyumbani kufuata karo. Kwanza kabla ya kurudishwa unachapwa fimbo za kutosha kama sita hivi
 8. MEXICANA

  Uchaguzi 2020 2015 ilikuwa zamu ya CHADEMA, 2020 ni zamu ya CCM

  To be honesty, CHADEMA 2015 mlikula bata Sana katika uchaguzi ukilinganisha na CCM, pamoja na kwambaMzee Lowassa hakuwa na hoja na nguvu ya kushawishi watu,lakini bado watu tulikuwa tumefall in love to CHADEMA without any reason behind. Kwanini? Kuna sababu kama mbili za msingi. 1. Kuchoshwa...
 9. MEXICANA

  Kuhusu kuongeza mishahara ya watumishi wa umma awamu ya utawala huu, alternative hii ingetumika

  Annual increament ni haki ya kila mtumishi wa umma kupata. Ila kwangu Mimi sioni impacts yake katika maisha ya sasa maana ni hela ndogo sana. Ningekuwa mimi mhe. Raisi wa Jmt ningechukua maamuzi ya kuwalipia madeni yote watumishi wa umma kwenye kila taasisi walikokopa particularly mabenki...
 10. MEXICANA

  Mtandao wa halotel umeanza kufyonza data bundle kama kunguni

  Ulikuwa ni mtandao mzuri kwa kweli kwa upande wangu, Bundle la data la sh 10,000 nilikuwa natumia mwezi mmoja lakini kwa sasa hata wiki halikatishi. Nafkiria kuitupilia mbali kule halotel nihamie mtandao mwingine.
 11. MEXICANA

  CHADEMA kama wangekata rufaa dhidi ya hukumu wangejiweka pazuri zaidi 2020

  Kukubali hukumu hii ya kesi iliyokuwa inawakabili viongozi wa CHADEMA katika mbinu za kisiasa hasa kuelekea uchaguzi mkuu 2020 ni mbinu dhaifu Sana. Ikumbukwe bado mna hoja nzito ya tume huru ya uchaguzi,na mazingira yaliyopelekea mpaka mnatiwa hatiani,kisababishi ni hiyo hiyo tume ya uchaguzi...
 12. MEXICANA

  Spiritualy, labda ni kweli hii kitu inatenda kazi kwa Rc wetu

  Watumishi wa Mungu aliye hai huwa wana msemo wanautumia hasa wakiudhiwa "Usicheze na masihi wa BWANA" Nakumbuka kuna bifu kali kati ya RC mpendwa na masihi wa BWANA. Ila nakumbuka masihi wa Bwana alitoa maneno makali Sana kibiblia yanaitwa LAANA. Najaribu kuwaza tu,kwamba it was a matter of...
 13. MEXICANA

  Hivi ni wakina nani wakosoaji wa wakosoaji?

  Nimekaa nimewaza kuhusu dhana ya kumkosoa mtu, kikundi au serikali juu ya jambo fulani analoona mkosoaji anataka kukosoa. Nikagundua kumbe ni kazi kabisa kama kazi zingine. Sasa nimejiuliza ikiwa kukosoa ni kazi kabisa kama kazi zingine, je ikiwa mkosoaji hatendi kazi yake vizuri ya ukosoaji...
 14. MEXICANA

  Inakuwaje kwa baadhi ya Mikoa Wanawake wengi wana ndevu?

  Kuna baadhi ya maeneo kwa kweli sijui kama watu wa molecular biology mnaweza kulielezea. kwa wastani mkubwa kwa Ukanda wa Ziwa na pia Uganda na Rwanda wanawake wana ndevu kabisa yani kama wanaume. Yaani kati ya wanawake 10 wawili hukosi wenye ndevu. Kisayansi hii sijui ina maana gani
 15. MEXICANA

  Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kutokulipwa posho yao, (is it a reverse reaction?)

  Nawasalimu kupitia ,Newton's third law of motion which states that, "To every action there is an equal action but opposite in direction" Kuna taarifa zimeanza kuvuma kuwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi hawatapata chochote maana kazi waliyokuwa wametumwa kuifanya imefikia tamati,yaani the game...
 16. MEXICANA

  Napendekeza Mwanri aje Morogoro na Kebwe aende Tabora

  Wanajukwaa,husikeni na pendekezo tajwa hapo juu. Kwa kuwa Mwanri ni mtaalamu aliyebobea kuhandle mambo ya ujanja ujanja na kusawazisha mambo. Pia ikumbukwe kuwa Rc Mwanri ni RC pekee anayeweza kusoma alama za nyakati na kuendana nazo,achilia mbali kuwa yeye ni born town kitambo pamoja na...
 17. MEXICANA

  YES,NA HUO NDIO MJI WETU SISI MASHUJAA WAONGOZA NJIA.

  Tunashukuru sana watu wote mliofika kutufariji sisi ndugu zenu watanzania wenzenu katika msiba huu mkubwa wa shujaa mwongoza njia,Mungu amuweke mahali anapostahili kuwa.amen. Wengine inawezekana ni mara yenu ya kwanza kukanyaga bukoba,huku ndiko mji ule tunaousifia sana tukiwa mikoani kwenu japo...
 18. MEXICANA

  Mkoa wa Kagera hauendani na wao wanavyoudhania

  Inshomile rejea mada tajwa hapo juu yahusika. Biblia inasema tutawatambua kwa matunda ya kazi zao.... Kiukweli kati ya miji iliyoduni katika karne hii ya 21 mji wa bukoba siwezi kuacha kuacha kuutaja. Duni kwa kila kitu,miundombinu,huduma za jamii,watu wasio enda na nyakati[laggards]...
 19. MEXICANA

  Mana ministry(christopher&diana mwakasege) wako wapi?

  Shalom! kwa mda kama mwezi mmoja hivi siwaoni hawa wapendwa live kwenye mtandao eg.u stsream wakifanya huduma wanaifanya kila mwaka tanzania na nje ya tz,sjui kuna tatizo gani upande wa it au wameamua kufanya kimya kimya.Kwa anayejua wako wapi kwa sasa anipe updates.thanks
 20. MEXICANA

  Taasisi ya Jakaya Kikwete itakuwa msaada mkubwa sana kwa jamii

  Kwanza napenda kumpongeza sana rais wetu mstaaf JK kwa kuendelea kuonesha ari kubwa ya kusaidia jamii ya watanzania kupitia maono aliyonayo ndani ya taasisi hii kubwa aliyoizundua jana pale ikulu. Mimi kama kijana nimekuwa naifuatilia kwa karibu kuona namna gani naweza kuwa mnufaika wa hii...
Top Bottom