Search results

 1. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Kitambo, ndo maana 1st post imeweka na update
 2. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Unatumia App? Umefanya update ya App?
 3. Maxence Melo

  JamiiForums Usiku wa manane

  Nawatakia mkesha mwema 😊
 4. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Hahaha, asante mkuu wangu. Naamini katika kutoa taarifa mapema kwa wadau ili wasishtuke nini kimetokea. Landa iwe emergency ambayo hakuna jinsi zaidi ya kufanya haraka sana
 5. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Huduma zimerejea sawa baada ya dakika 55. Asanteni sana
 6. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Dakika chache zijazo, itabidi kufunga tovuti kwa muda ili process ichukue muda mchache zaidi. Asante
 7. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Kumradhi, hakuna mabadiliko yanafanywa!
 8. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  2015 kabla ya Uchaguzi hukuona maintenance notice kama hii. Hata hivyo, after the incident tulitoa taarifa ya kilichotokea na tulichofanya kukabiliana na mashambulizi yale.
 9. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Hakuuliza hivyo, lakini nimhakikishie kuwa hakuna kitu kama hicho. 2015 tuliposhambuliwa tulitoa taarifa na maandalizi ya sasa ni katika kuhakikisha hali hiyo haijirudii
 10. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Nani kasema JF itazimwa kabisa siku ya Uchaguzi? Au ndio unauliza? Taarifa hii inahusu saa kadhaa zijazo, haitazimwa bali kutakuwa na downtime kwa wengi na ni kutokana na ufafanuzi niliotoa hapo juu
 11. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Itakuwa muda mfupi, naamini haitawaathiri sana
 12. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Hii unaweza kupendekeza kwenye Jukwaa Husika ili isipite bila kufanyiwa kazi. Asante
 13. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Sithubutu tena mkuu wangu. I hope ulinielewa kuwa nia haikuwa mbaya
 14. Maxence Melo

  JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

  Wakuu, Leo usiku wa manane, kati ya saa 8 na saa 10, tutakuwa na marekebisho kadha wa kadha katika miundombinu yetu yanayoweza kupelekea kusimama kwa baadhi ya huduma (na wakati flani huduma zote kusimama). Hii ni katika kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuongeza uwezo wa kuhimili...
 15. Maxence Melo

  Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala katika JamiiForums

  Kutumia majina halisia lakini lazima uthibitishe kuwa ni majina yako kwa kutupa utambulisho (copy) wa ID yoyote official
 16. Maxence Melo

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  Mhhhh, hapana. Unadhani ni sawa kuweka hiyo? Tutaingilia faragha au kuwakatisha tamaa wasioweza kuvumilia kwa namna flani.
 17. Maxence Melo

  Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

  Hapana, haiwezekani jina langu litumiwe na mtu kwa niaba yangu. Kila mmoja katika team anatekeleza wajibu wake. Nashukuru kwa recognition
Top Bottom