Search results

 1. Moderator

  Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

  Nakusalimu pia Mkuu MalcolM XII
 2. Moderator

  Uchaguzi 2020 Mwana JamiiForums Happiness Essau, achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Bukoba

  Happiness alikuwa Afisa Habari wa Jimbo la Bukoba Mjini katika Mradi wa Tushirikishane uliokuwa ukiendeshwa na JamiiForums mwaka 2017. Hakuwa mwajiriwa wa JamiiForums bali aliajiriwa na mradi na kazi yake iliisha mwisho wa mradi. Zaidi, soma Ajira ya muda katika Jamii Media - Afisa Mawasiliano (9)
 3. Moderator

  Uchaguzi 2020 Mwana JamiiForums Happiness Essau, achukua fomu ya Ubunge Jimbo la Bukoba

  Nia ya wewe kusema uongo ni ipi hasa? Jamii Forums haina Afisa Habari wala Happiness si mfanyakazi wa JF
 4. Moderator

  MREJESHO: Social anxiety, depression, panic attack vinanitesa, vinaniua taratibu

  Nalishughulikia mkuu. Hongera kwa kuzingatia ushauri wa wadau
 5. Moderator

  Watu8 na FaizaFoxy wako wapi?!

  Pengine anamaanisha hii > FaizaFoxy Live Interview Unaweza pitia na hii pia > Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa Asante.
 6. Moderator

  Ulilipokea vipi shambulio la JF?

  Wakuu poleni sana kwa usumbufu.. Hakika mengi yalikosekana. Tutajitahidi kuwa bora na imara zaidi. Tumejifunza!
 7. Moderator

  Kama hutaki kutongozwa funga pm!

  Mambo ya PM yaishie huko huko mkuu. Tafadhali sana. Ama hujazisoma vizuri Sheria na Miongozo ya JamiiForums? Ni kosa..
 8. Moderator

  Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

  Kwa mujibu wa makala ya uchambuzi ya Fikrapevu.com Je, unaifahamu Dawa ya usingizi inayotumiwa na wezi kuwapulizia watu kabla ya kuiba? Inaitwa Chloroform. Kwa muda mrefu kumekithiri vitendo vya uhalifu unaohusisha wezi kuingia kwenye nyumba za watu nyakati za usiku na kuwapulizia dawa ya...
 9. Moderator

  Modi tafadhali nirudishie thread yangu kutoka jukwaa la Dini. Muipeleke jamii intelligence.

  Mkuu, kama huna access tafadhali tuma PM kwa JamiiForums uombe utapatiwa (kama unakidhi vigezo). Haiwezekani uzi huo kupelekwa Jamii Intelligence. Asante.
 10. Moderator

  Nina tatizo la hamu ya ngono mara kwa mara. Je, ni ugonjwa?

  Mkuu Malila, Ni kweli vyakula navyo huchochea hamu ya tendo la ndoa. Ni vyakula gani? Vifahamu kupitia uzi huu > Vyakula vinavyoongeza hamu ya tendo la ndoa kwa haraka kwa mwanamke Hata hivyo kuna madhara ya kushiriki tendo la ndoa mara kwa mara. Madhara yake yaliwahi kuelezwa kwa kina hapa >...
 11. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Mkuu tumepokea malalamiko kuhusu changamoto hiyo na tunaifanyia kazi.. Pole kwa usumbufu.
 12. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Asante kwa ushauri. Tutazingatia.
 13. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Ndugu WanaJF, Tunashukuru kwa mrejesho mnaotupatia baada ya kupokea mabadiliko tuliyoyafanya. Ni kweli kuna tatizo kidogo la kiufundi linaloathiri baadhi ya watumiaji, hivyo kushindwa kupokea notifications na baadhi ya features kwa wakati.. Hata hivyo mambo mazuri yanakuja. Tunafanyia kazi...
 14. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Ndugu WanaJF, Ni kweli kuna tatizo kidogo la kiufundi linaloathiri baadhi ya watumiaji, hivyo kushindwa kupokea notifications na baadhi ya features kwa wakati.. Hata hivyo mambo mazuri yanakuja. Tunafanyia kazi kuhakikisha changamoto hiyo na nyinginezo zote zinamalizika mapema iwezekanavyo...
 15. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Bila shaka mkuu. Tuandikie suala lako kupitia email uliyotumia kujisajilia kwenda support@jamiiforums.com
 16. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Hiyo option haipo na haitokuwepo mkuu. JamiiForums ni sehemu ya mijadala na uhifadhi wa mijadala hiyo. Asante.
 17. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Mkuu Sosoliso, asante kwa feedback. Tunakushukuru kwa kutambua baadhi ya maboresho na kuyaainisha. Tunaendelea kufanya maboresho zaidi kwenye baadhi ya maeneo machache yaliyosalia. Pamoja!
 18. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Bado nini mkuu? Tueleze kama kuna tatizo lolote tulifanyie kazi mara moja.. Karibu!
 19. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Mkuu Elli, maboresho yaliyofanyika ni ya kiufundi kwa upande wa APP.. Huko kwenye threads unaweza kuripoti hayo maudhui ili yapitiwe na mods kama yanakiuka sheria za JamiiForums yashughulikiwe! Asante sana kwa kutuunga mkono kwa kununua tisheti zetu. Tupo pamoja!
 20. Moderator

  Solved: App ya JamiiForums imeboreshwa (Android & iOS)..

  Asante kwa pongezi mkuu. Pole kwa changamoto hiyo. Jaribu kujiondoa tena leo kisha utupatie mrejesho kama bado utaendelea kuzipokea..
Top Bottom