Search results

  1. dricks

    Maelezo ya kina kuhusu Uber usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

    Uber ni nini? Uber ni application inayokuwezesha kupata usafiri wa bei ya chini na salama katika sehemu nyingi za mkoa wa Dar-es-Salaam, kwa kupitia simu yako ya mkononi. Usafiri huu ni wa kutumia magari madogo yanayoweza kubeba kuanzia mtu mmoja hadi watu wanne. Kujisajili na Uber Nenda...