Search results

 1. SISIS

  Johny Drille yupo Underrated sana tofauti na ukali wake wa kuimba

  jamaa anatisha ingieni youtube
 2. SISIS

  Johny Drille yupo Underrated sana tofauti na ukali wake wa kuimba

  Kuna watu wanasema sijui ni gundu aukila shetani ana Mbuyu wake yani kama hapa tz watu wanavyoamini alikiba ana kipaji lakini Diamond anampita kwa kila kitu Basi ndio huko Nigeria napo kuna kijana anaitwa Johnny Drille, ni moto wa kuotea mbali, kwenye kuimba hana mpinzani kuanzia nyimbo hadi...
 3. SISIS

  Tufanye tathimini ya janga la corona Tanzania

  mkuu chukua tahadhari zako binafsi tanzania ina watu milioni 60,000,000 hata kama unahisi upo au haupo au kuna watu wanaugua ni ngumu kujua kutokana na population kuwa kubwa, then huu ugonjwa kuna wengine unawajia kama mafua tu kutokana na kinga yao unaondoka bila mtu kujijua, na kuna wengine...
Top Bottom